kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 10,398
- 17,108
sitaki nataka, we sema haujakutana na mwanamme mwenye gari.
Imenibid tu nicheke

sitaki nataka, we sema haujakutana na mwanamme mwenye gari.

Anadhani sie hatujui chenye hua anafanya, unajua haya maisha ujinga unaopitia usihisi unaupitia peke ako Koo unaeza kumdanganya kila mtuHa ha ha ha ha
Sio kwamba humiss mkuyenge aka muhogo wa jhang'ombe No!, si kwamba I don't miss good moments
Ila hiyo kitu tamu. Ha ha ha ha haanadhani sie hatujui chenye hua anafanya, unajua haya maisha ujinga unaopitia usihisi unaupitia peke ako Koo unaeza kumdanganya kila mtu
Simple, ukitaka ufurahie maisha tafta mwanaume mwenye attitudes kama ww, aki hutobowekaSijui niiteje hii hali.... four years ago niliachana na this guy!!!!
Damn I had to go through hell... niliumia mno I reached a point naongea mwenyewe ni kama nilikua half crazy au almost crazy.
Well with time nikaanza zoea na kupona, nkasahau yote. but sijui n woga sijui ni nin I can't move on si kwamba nampenda yule bwana hapana maana amewai jaribu ntafuta majibu niliompa atakua alienda jiangalia kwenye kioo kama kweli n mwanaume na yale maneno yote n yake.....
Sijui n ganzi ya moyo sielewi!!! sijui ni psychological problem sijui???!! leo nilikua nachat na jamaa ambae I can say somehow nilimuelewa, but within me kuna kitu hua kinakataa kabisa Inapokuja kuanza relationship mpya
Nimemjibu simple tu "achana na mim akili angu naijua mwenyewe nsije kupa kichaa bure"
But si kwamba nina relationship, si kwamba I don't miss good moments... I just don't... just don't... with no reason mwanaume anaechukua namba angu ataishia kuangalia meme coz I love posting memes ata 20 per day. but when it comes to love jamani mtu akiingiza Ayo Mambo najikuta nachukia adi nakosa pumzi.
But nikikaa tena najiuliza for how long ntaishi ivi??!!
Aroo acheni tu am going through hell in mind and body and I've zero idea when will this end??!!naumia nyie acheni tu.
Mkuu shikamoo. Nimejikuta ninacheka sana. Nitaomba uni-tag mkuu akikujibu.Apo ulipo umevaa Barakoa.??
Pole msamehe na ujisamehe ili uanze upya maishaSijui niiteje hii hali.... four years ago niliachana na this guy!!!!
Damn I had to go through hell... niliumia mno I reached a point naongea mwenyewe ni kama nilikua half crazy au almost crazy.
Well with time nikaanza zoea na kupona, nkasahau yote. but sijui n woga sijui ni nin I can't move on si kwamba nampenda yule bwana hapana maana amewai jaribu ntafuta majibu niliompa atakua alienda jiangalia kwenye kioo kama kweli n mwanaume na yale maneno yote n yake.....
Sijui n ganzi ya moyo sielewi!!! sijui ni psychological problem sijui???!! leo nilikua nachat na jamaa ambae I can say somehow nilimuelewa, but within me kuna kitu hua kinakataa kabisa Inapokuja kuanza relationship mpya
Nimemjibu simple tu "achana na mim akili angu naijua mwenyewe nsije kupa kichaa bure"
But si kwamba nina relationship, si kwamba I don't miss good moments... I just don't... just don't... with no reason mwanaume anaechukua namba angu ataishia kuangalia meme coz I love posting memes ata 20 per day. but when it comes to love jamani mtu akiingiza Ayo Mambo najikuta nachukia adi nakosa pumzi.
But nikikaa tena najiuliza for how long ntaishi ivi??!!
Aroo acheni tu am going through hell in mind and body and I've zero idea when will this end??!!naumia nyie acheni tu.
Kesho na keshokutwa kanakuja kadume na id yake ya kiume kuomba msamaha kwa kujifanya mwanamke. Wanaume tushtuke.

Hiyo Ded umepatia haswaah.Ruhusu tu moyo wako kupenda hata usiuzuie kabsa,Safari ya kwenda kanani haijawahi kuwa rahisi hata siku moja lazima ukutane na vitoto vya farao kwanza vikuumize kichwa.Ded;Moyo by Vanessa Mdee![]()
Sikia Binti, nyota ya mapenzi na mafanikio imesha vurugwa na wachawi tena mtu wa karibu yako anahusika! anaekuonea wewe wivu au anamuonea mama yako wivu!! binadamu wengi wako ivo!Sijui niiteje hii hali.... four years ago niliachana na this guy!!!!