Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

Status
Not open for further replies.
Hoja yako wewe iko wapi? Umekuja hapa kutetea utumbo (kama kaandika yeye) ulioandikwa na huyo msichana. Ndio hoja hiyo? Get the hell up on outta here...

Useless ni wewe unayetetea ujinga na useless ni huyo msichana anayedaiwa kasomea sheria na ataenda kuwa useless kwenye bunge useless. Get it boy?

"Makuadi Hawana Hata Chembe ya Ujasiri mara Mambo yanapoharibika (Chachage, 2002)"

Nadhani umeprove point yangu kwamba huna uwezo wa kudiscuss "Vitu" na ndio maana umeshindwa kuiona hoja yangu.. Huo utumbo unaosema ameuandika kwenye mtandao unakuhusu nini?? au unawahusu nini watanzania?? Useless Kuadi,,,, na hii ni messege kwenu nyie wote msiopenda kuangalia vitu na mmekalia kudiscuss watu.. Its time to change, na kama sisi tunaolilia change hatuta change, then we're wasting our time..

Ni ukweli mtupu mashambulizi yako (NYANI NGABU) sio kitu ambacho unaweza kukitumia kuwafundisha kizazi kijacho.. Na huwezi kutumia "pointless" ulizozitoa ili kuleta mabadiliko nchini kwetu.. Kubali kwamba leo umechemsha sio lazima ushinde kwenye mtandao huu,, Nenda kwa shigongo ndio size yako,, tena wameweka picha za uchi za wasanii wa kitanzania nadhani zitakufaa na zinaendana na mind yako..
 
Bwana Ngoshwe na wewe ningekuona unabusara zisizotosha flash disc endapo unge attach baadhi ya kazi (katika PDF) alizowahi kuzifanya (Bi Angella kairuki) kama watu walivyosema ameshiriki kuandika na kuandaa sheria mbalimbali. Badala ya ku attach piza za mume wake, mama yake, nadhani umekosa za watoto wake tu.... huu sio uungwana kabisa ndugu zanguni,

Tunamengi ambayo tunaweza kuongelea kuhusu bi Angella hasa ambayo yatakua na tija kwetu, kuliko sasa hivi ooh mara mama yake alienda safari na mama kikwete,, ooh mara Rosta Aziz,, ooh mara Tughe hawamjui,,,,, what a crap man,, anyways tunatofautiana sana kimtazamo na kiupeo.. kwa hiyo endelea kugoogle picha zake na uziweke.. ila kumbuka kuna vijana wangeweza kujifunza mengi ya maana zaidi kupitia topic hii,

haya
 
"Makuadi Hawana Hata Chembe ya Ujasiri mara Mambo yanapoharibika (Chachage, 2002)"

Nadhani umeprove point yangu kwamba huna uwezo wa kudiscuss "Vitu" na ndio maana umeshindwa kuiona hoja yangu.. Huo utumbo unaosema ameuandika kwenye mtandao unakuhusu nini?? au unawahusu nini watanzania?? Useless Kuadi,,,, na hii ni messege kwenu nyie wote msiopenda kuangalia vitu na mmekalia kudiscuss watu.. Its time to change, na kama sisi tunaolilia change hatuta change, then we're wasting our time..

Kama anaandika hivyo wakati yeye ni "learned sister" ni hatari. Nilitegemea zaidi ya hayo niliyoyasoma. Kwa utetezi wako nadhani wewe umefikia kikomo cha upeo wako na unasukumwa na hisia zaid. Unauliza alichoandika kinawahusu nini Watanzania? Really? Kama hujui inawahusu nini Watanzania basi hakuna haja ya kujadiliana na wewe shauri lolote lile.

Na lazima tujadili watu kwa sababu vitu vyao na wao havitengamani. Wewe mbona upo hapa unanijadili na kunitaja kwa jina?

Ni ukweli mtupu mashambulizi yako (NYANI NGABU) sio kitu ambacho unaweza kukitumia kuwafundisha kizazi kijacho.. Na huwezi kutumia "pointless" ulizozitoa ili kuleta mabadiliko nchini kwetu..

Ila utetezi wako wa ujinga ndio utaleta mabadiliko nchini kwetu sio? No wonder why we are in the state we are in....

Kubali kwamba leo umechemsha sio lazima ushinde kwenye mtandao huu,, Nenda kwa shigongo ndio size yako,, tena wameweka picha za uchi za wasanii wa kitanzania nadhani zitakufaa na zinaendana na mind yako..

Kwanza sijui Shigongo ni nani. Pili sijachemsha kitu. Usitake kulazimisha. Mchemfu ni huyo mwanasheria wenu aliyesomea UK na aende huko bungeni kwa wachemfu wenzake waendelee kuchemsha.
 
Bwana Ngoshwe na wewe ningekuona unabusara zisizotosha flash disc endapo unge attach baadhi ya kazi (katika PDF) alizowahi kuzifanya (Bi Angella kairuki) kama watu walivyosema ameshiriki kuandika na kuandaa sheria mbalimbali. Badala ya ku attach piza za mume wake, mama yake, nadhani umekosa za watoto wake tu.... huu sio uungwana kabisa ndugu zanguni,

Kwa nini usifanye hivyo wewe unayemtetea? Weka hapa hizo sheria unazosema au zinazosemwa alishiriki kuandika na uweke bayana mchango wake haswa ni upi ktk sheria hizo au kwa maneno mengine ni kipi alichoandika yeye mwenyewe kwa kutumia kichwa chake.
 
Kama anaandika hivyo wakati yeye ni "learned sister" ni hatari. Nilitegemea zaidi ya hayo niliyoyasoma. Kwa utetezi wako nadhani wewe umefikia kikomo cha upeo wako na unasukumwa na hisia zaid. Unauliza alichoandika kinawahusu nini Watanzania? Really? Kama hujui inawahusu nini Watanzania basi hakuna haja ya kujadiliana na wewe shauri lolote lile.

Na lazima tujadili watu kwa sababu vitu vyao na wao havitengamani. Wewe mbona upo hapa unanijadili na kunitaja kwa jina?

Ila utetezi wako wa ujinga ndio utaleta mabadiliko nchini kwetu sio? No wonder why we are in the state we are in....

Kwanza sijui Shigongo ni nani. Pili sijachemsha kitu. Usitake kulazimisha. Mchemfu ni huyo mwanasheria wenu aliyesomea UK na aende huko bungeni kwa wachemfu wenzake waendelee kuchemsha.

Mbona mjadala sasa unapoteza dira.....naona matusi sasa yanaporomoka na tambo zisizokuwa na maana yoyote. Hivi mtu kusoma UK ni tatizo? Mbona naona sasa hapa kuna aina ya ushindani, wivu, kejeli na chuki binafsi......LETS GROW UP, acheni UTOTO!
 
Hakuna wivu hapa. Wivu utoke wapi? Ana nini huyo msichana nisicho nacho mimi?

Madudu yanayodaiwa ni yake yamewekwa hapa na watu tumeyajadili...wengine wanaingia na kuanza kurusha makombora. Sasa tubaki kimya tu? No way...

Ila wivu hakuna hapa. Hana cha kuonewa wivu
 
Nafunga mjadala na wewe ambaye unaona "Spelling and grammar" ya mheshimiwa mtarajiwa ina impact kwenye nchi yetu na nikitu ambacho inabidi tukijadili,,,, ama kweli mungu ana maajabu yake... na ninakutakia kila la kheri..

Pia nikuambie inabidi ujue kutofautisha kumshambulia mtu na kushambulia hoja,,, naomba usiniite mjinga na wala usirudie kwa sababu unajitukana mwenyewe ambaye umeambiwa ukweli kwamba ulichoandika ni Ujinga mtupu,, mtu mwenye uelewa hawezi toa point siku nzima ambayo haina tija..

Pia umenikumbusha kwamba najadili na mtu ambaye hana upeo baada ya kuniambia eti "niweke hizo sheria ninazozisema Bi angella ameshiriki kuzitunga".. Hii ni challenge ambayo nimewapa nyie mnao mdiscuss bi angella, kwamba tuonyesheni kwamba kweli hana uwezo kwa kutuonyesha kazi alizowahi kuzifanya na tuzichambue then tuseme kweli hana uwezo.. Kuliko kutuletea "Spelling and Grammar"

eti kitu gani alichonacho wewe hauna,,, wewe huna upeo na ndio maana unajadili kwa kujificha kwa sababu watu tungekujua basi tungesema,, oooh kumbe ndio yule, kweli anafanana na hoja anazotoa"
Wanasema ficha upuuzi wako kwa kuonyesha busara ulizonazo
 
Ni bora uondoke tu kwa sababu hata hueleweki. Nimepoteza muda wangu bure.
 
eti kitu gani alichonacho wewe hauna,,, wewe huna upeo na ndio maana unajadili kwa kujificha kwa sababu watu tungekujua basi tungesema,, oooh kumbe ndio yule, kweli anafanana na hoja anazotoa"
Wanasema ficha upuuzi wako kwa kuonyesha busara ulizonazo

Lol...nauna kweli umekunwa na nilichosema maana mipovu ilivyokujaa mdomoni utadhani umekula Omo...

Anywho, tell 'ole girl to step her game up....

Chunkin' up the dueces....I'm out
 
Naona JK kampatia uwaziri Angela Kairuki kutokana na zile ziara za mwaka jana za Kamati ya Wabunge kwenda UK kudai pesa za rada zirudishwe hazina, ambapo hatimaye walifanikiwa. Kwa mtazamo wangu, Angela Kairuki alionekana akizungumza kwa machungu makubwa na hasira wakati akiweka wazi msimamo wa Serikali mbele ya Wabunge wa UK kwenye taswira na video zilizotolewa wakati huo

Hivi huyu mdada ni chotara, na ana wasifu gani kwa maana ya umri, elimu, marital status, na kadhalika?
 
Ana watoto wangapi, mkuu? Na vipi kuhusu umri na kiwango chake cha elimu?
 
Ana watoto wangapi, mkuu? Na vipi kuhusu umri na kiwango chake cha elimu?

Mkuu swali kwamba ana watoto wangapi na umri wake una relevance gani kwa kazi yake ya Unaibu Waziri? La maana hapa la kufahamu ni elimu yake. Kwa mujibu wa tovuti ya Bunge mheshimiwa huyu ni Mwanasheria, ni Wakili wa Mahakama Kuu, na kabla ya uteuzi wake alikuwa ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala.

Ukiachilia mbali michango yake mingi Bungeni inayohusu utetezi wa haki na maslahi ya wafanyakazi (malipo ya pensheni ya wafanyakazi wa Tazara, waalimu waliosimamishwa Chuo cha Ustawi wa Jamii, wafanyakazi wazalendo wa migodini wanaolipwa kipato tofauti na wageni kule Barick) mheshimiwa huyu aliongoza debate ya maoni ya wadau kuhusu muswada wa sheria ya Katiba kule Dodoma....pale ndipo alipo display skills za hali ya juu,kwa ku accomodate mawazo ya pande zote pasipo ushabiki.

Mpaka anateuliwa nafasi ya naibu Waziri wa Katiba na Sheria, alikuwa ni Katibu Mkuu wa Tanzania Women Parliamentarian Group (TWPG) inayojumuisha wabunge wanawake kutoka vyama vyote, pia alikuwa Mmoja wa wawakilishi wa Bunge la Tanzania katika Interparliamentarian Union (IPU) ambapo alichaguliwa na taasisi hiyo kuwa Mjumbe wa Kamati ya Haki za Binadamu.
 
Mkuu hapa chini ni reference za yale niliyoabarisha:

Kuhusu IPU- http://www.ipu.org/conf-e/126/list.pdf ( nenda page 56); pia angalia MICHUZI: Tanzania yapata nafasi nyingine IPU

Kuhusu TwPG:
http://www.chathamhouse.org/sites/default/files/public/Research/Africa/240112summary.pdf

Kuhusu haki za wafanyakazi:
Tazara hansard ya swali kwa PM: https://parliament.go.tz/index.php/primeminister/question/all/10/30

Wafanyakazi wa majumbani: Parliament of Tanzania

Wafanyakazi wa ustawi wa jamii Parliament of Tanzania

Wafanyakazi wa migodini:

Wabunge walalamikia wageni kuchukua ajira za wazalendo
Na Sharon Sauwa

Wabunge wamelalamikia suala la wafanyakazi wa kigeni kupewa ajira zinazoweza kufanywa na wazalendo.

Wakichangia hotuba ya makadirio ya matumizi yya Wizara ya Kazi na Ajira kwa mwaka 2011/2012, walisema pia wafanyakazi wageni wamekuwa wakilipwa malipo makubwa kuliko wale wazalendo ingawa wana sifa zinazofanana.

Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Angela Kairuki, alisema wafanyakazi wa kigeni katika Mgodi wa Marmo Granitor ambao uko mkoani Mbeya, wapo 32, lakini wote wanafani za mafundi mchundo, madereva na mlinzi.

"Hivi kweli ni wafanyakazi wazalendo hawawezi kufanya kazi hata ya ulinzi ya kuwafungulia milango watu, hii ni aibu hatuwezi kukubali," alisema.

Pia alisema wafanyakazi wazalendo wenye sifa sawa na wengine wa kigeni katika kampuni moja wamekuwa wakilipwa Sh. 800,000 wakati wa kigeni wamekuwa wakilipwa na Sh. milioni 11.

Hii ni reference yake alivyohojiwa na gazeti la Guardian la Uingereza
BAE urged to pay £29.5m fine to Tanzania | Global development | guardian.co.uk

Pia anayo website yake kuhusu masuala ya wafanyakazi...tembelea
http://www.angellahkairuki.com

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom