Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ngoshwe, Aug 17, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,088
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Miongoni mwa wagombea walipitishwa na NEC ya CCM kupitia viti maalumu kuwakilisha kundi nyeti la wafanyakazi (Workers) ni Ndg. Angellah Jasmin Kairuki and Zainab Rashid Kawawa.

  Sina hakika sana iwapo huyu Zainabu Kawawa ni wa kutoka familia ya Mhe. Hayati Simba wa Vita (R.I.P) na ndugu moja na Mhe. Vita Kawawa amabye amepitishwa kugombea jimbo la Namtumbo.

  Kwa upande wa Angellah Jasmin Kairuki pia , wasifu na nasaba yake kama kuna anayejua zaidi atusaidie.

  Jitihada za kupitia mtandaoni zinaleta matokeo yafuatao kuhusu jina hili:


  Angellah Kairuki, - State Attorney. Attorney Generals Chamber

  Angellah Kairuki, - Partner - KMS Attorneys (private law firm based in Dar es Salaam)
  :: Meet The Firm - KMS Attorneys ::

  Angellah J. Kairuki - Member of the DIT Governing Body from AG Chambers DIT: Dar es Salaam Institute of Technology
  Angellah Kairuki = Hurbert Kairuki Hospital ????
  Hi,
  I am looking for the CNG Dispenser Machines. How mcuh are your Prices for One Complete set of a Machine? Also, What is The Minimum Order?

  Do you also Sell CNG Conversion Kits for the Cars? How much? I fnot can you recommend a Manufacturer?

  Also, How mUch is the price for a complete Fule Dispenser?

  Please Provide your Specifications and the prices for the Machines.

  If a Person wants to become your Sole Distributor What is The Proceudre/ requirements?

  regards,

  Angellah Jasmine Kairuki
  CNg Gas Dispenser Machines - Industrial Supplies - ?????? _?????????????_??????????  [​IMG]

  Meneja Huduma ya Muuguzi Mission, wa Hospitali ya Mikocheni, Valentina Msechu (kulia) akitoa maelekezo ya junsi ya kujipima Saratani ya Matiti kwa Mkazi wa Mbezi Mdumbwi jijini Dar es Salaam, Stara Migira, wakati wa zoezi la upimaji wa Virusi vya Ukimwi na Saratani ya Matiti, lililofanyika Kawe jijini jana. Kutoka (kushoto) ni Mwenyekiti wa UWT, Kawe, Hilda Rwebangila, Mama Mlezi, Angellah Kairuki na Katibu, Getrude Mandilindi.

  Mr. Mbelwa Kairuki = Angellah Kairuki = Hon. Benard Kamillus Membe

  [​IMG][​IMG][​IMG] HKMU and the California State University Dominguez Hills sign MoU
  Hubert Kairuki Memorial University (HKMU), and the California State University, Dominguez Hills (CSUDH) have agreed to cooperate and collaborate in the areas of research, teaching, and other relevant educational development activities, especially those pertaining to human health delivery services and opportunities. The signing of a Memorandum of Understanding(MoU) was held at the CSUDH in USA. HKMU was represented by the Vice Chancellor Prof. Keto Mshigeni and Mr. Mbelwa Kairuki, member of the HKMU Board of Trustees.


  Mr. Mbelwa Kairuki, National Secretary, Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, Tanzania

  Kitabu cha Mawasiliano Serikalini • 2009 (http://www.utumishi.go.tz/index.php?option=com_docman&task=doc_view&gid=288)

  MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS AND INTERNATIONAL COOPERATION

  Kivukoni Front; Telephone: 022 2111937/40, 022 2111906/12

  1 Hon. Benard Kamillus Membe (MP)


  2. [SIZE=1][SIZE=3]Mr. Mbelwa Kairuki ( [B][U]Personal Assistant I[/U][/B]) [/SIZE][/SIZE]


   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 36,099
  Likes Received: 7,674
  Trophy Points: 280
  Social climber fulani hivi ambaye anahitaji coaching ya kuandika.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Aug 17, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 77,846
  Likes Received: 39,867
  Trophy Points: 280
  Ndio mwanasheria huyu?
   
 4. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 4,239
  Likes Received: 4,360
  Trophy Points: 280
  Nyani Ngabu huamini kama ni mwanasheria au ni swali kama ni mwanasheria?? lol
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Aug 17, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 77,846
  Likes Received: 39,867
  Trophy Points: 280
  Siamini kama ni mwanasheria
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,408
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Alihusika katika sakata la uletaji wa maziwa ya watoto fake kutoka S Africa mwaka juzi?
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 23,115
  Likes Received: 6,755
  Trophy Points: 280
  Na ndio Waziri wa Jinsia na Watoto ajaye.....more faked milk formulae for our millions of kids...Hallelujah!!!!!!
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 23,115
  Likes Received: 6,755
  Trophy Points: 280
  Angellah Kairuki
  State Attorney
  Attorney Generals Chamber
  PO Box 9050
  (255) 713482827
  angelkairuki@yahoo.com
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 23,115
  Likes Received: 6,755
  Trophy Points: 280
  Angellah Kairuki
  Partner
  KMS Attorneys
  Unit 11A, third floor,
  Tanzania Library Services Building,
  Plot No. 1/1,
  Bibi Titi Mohamed/Ali Hassan Mwinyi Road,
  P.O Box 5234,
  Dar es Salaam
  Tel. No. +255-22-2151700,
  Fax No. +255-22-2151259
  Mobile No. +255-754- 710 854/
  +255-713-482 827
  E-mail: kairuki@kmsattorneys.co.tz

  Mimi sio mwanasheria sasa sijui kama hili linakubalika kuwa mwanasheria kwenye vyombo viwili vinavyoweza kukinzana...itakuwaje mimi nikiishitaki serikali na mawakili wangu ndio hawa KMS Attorneys?
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 23,115
  Likes Received: 6,755
  Trophy Points: 280
  Ms Kairuki holds a Bachelor of Laws degree from the University of Hull (UK) and a Post Graduate Diploma in Legal Practice from Staffordshire University (UK) which were attained in 2001 and 2002, respectively. Currently, she is pursuing a Master of Law degree at Staffordshire University. Ms Kairuki passed bar exams in 2005 and she is due for admission as an advocate of the High Court of Tanzania and courts subordinate thereto in June 2010.

  Ms Kairuki has worked as a Legal Officer with Hoseah and Co. Advocates and later as a State Attorney and a Parliamentary Draftsman in the Legislative Drafting Department at the Ministry of Justice and Constitutional Affairs. In 2008, Ms Kairuki joined Vodacom Tanzania Limited as the Ethics and Compliance Officer and Money Laundering Reporting Officer.

  Ms Kairuki's areas of practice include telecommunication laws, competition laws legislative drafting, corporate governance, labour laws and arbitration laws. Ms Kairuki has done a number of business ethics consultancies to some entities in the private sector.

  Membership to Associations: Ms Kairuki is a qualified Arbitrator since 2009 and is also a member of the Tanzania Institute of Arbitrators and the Association of Certified Anti-Money Laundering Specialist (USA).
   
 11. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,828
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mwanasheria, Amesoma UK, ni aibu kama hata kuandika Kiingereza FASAHA hawezi! Kama haitoshi anapewa Ubunge!
   
 12. L

  Lorah JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2010
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0


  Namfahamu sana Angela Kairuki, ni mwanasiasa mzuri sana na ataleta challenge kubwa Bungeni naamini..
  Kinachoniogofya ni tetesi ninazozisikia kwamba amekuwa Supported na Rostam kama alivyomsaport Ngeleja.
  Eti alimtoa Angela kwa AG akampeleka Vodacom then akampenyeza kwa viti maalum....
  Angela nakuaminia wewe sio mbabaishaji na we women tunasubiri mambo makubwa kutoka kwako...
  Believe me ur better than Rostam Aziz u dont need backup from him lol
  then tunakutegemia kuwa Rais ajae, bila huyo fisadi
   
 13. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,088
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Oky Oky Oky...
  Labda tusaidie ndugu, sina hakika kama ni kweli kutoka vyanzo kuwa huyu binti ni Mkwewe Marehemu Hurbet Kaiuruki (kaolewa na Kijana wa Kairuki) yeye ni mtoto wa huyu mama E. Mkwizu hapo chini. Ni huyu ambae awali alikuwa pale Chemba ya Werema (AG Chambers) aliwahi pia kuwa Katibu/ Mbeba mikoba wa Mama Maria Nagu alipokuwa Waziri wa Sheria na Katiba (enzi zile )???.


  [​IMG]
  kutoka kulia Mkurugenzi wa 4Layers (T) Ltd., Nashesha Mvungi, Mlezi Mrs Esther Mkwizu mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundations, Meneja Masoko 4 Layers (T) ltd Levis Paul na Mr Jackson Sinkolongo Sales and Marketing Manager Macmillan Bookstore.  [​IMG]
  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoka nje ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Beijing, mji mkuu wa China, akifuatana na Balozi wa Tanzania nchini China, Ramadhan Omar Mapuri (kulia), aliyefika kumpokea na kushoto ni Bibi Esther Mkwizu, Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation, ambaye yuko kwenye msafara wa Mama Salma. Mama Salma Kikwete yupo nchini China kuhudhuria mkutano wa 'Global Summit on Women' unaofanyika nchini humo kuanzia leo.

  [​IMG]

  Angellah Jasmine Kairuki
   
 14. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tatizo langu siyo uadilifu wa Angela, kama kweli amesoma Hull, etc, etc, napata shida kuamini wabunge wa namna hii wanazijua shida za watanzania wa Kangunga, Ng'waluzwilo, n.k, je siku hizi ukitokea kijijini huwezi kupata nafasi thithiem? Tunakoenda kama thithiem itaendelea madarakani kutakuwa na tabaka la watawala na tabaka la watawaliwa.. ukiangalia viti maalumu vina sura ya matabaka ya hali ya juu katika jamii yetu. wenzangu na mimi waliosoma shule za Senge, Runazi, Katoro, watendelea kupewa khanga na chumvi pamoja na chenji mpaka watakaposema sasa basi ili tuanze tena upya.
   
 15. A

  August JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,572
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  ok nimeona maelezo ya watu wote chanya, na hasi pia, na elimu yake nk, lakini najiuliza ile impartiality yake/independence itakuwepo, maana inaonekana ana mahusiano na watu walio serikalini na katika biashara ambao wana nasaba au uhusiano na ufisadi au kuulinda ufisadi, sasa kufanya kwa werema advocate, sijui ya hosea, vodacoma kwa mfadhili wetu, bunge , sasa akienda huko kwa mbeleko ya hao jamaa atakwenda kutetea maslahi ya nchi au ya watu
   
 16. Mtu66

  Mtu66 Senior Member

  #16
  Aug 17, 2010
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  NASHAWISHIKA kumwona muungwana ...kwamba anaongoza nchi hii kutoka home...Salma Connection Smelling here!!
   
 17. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,088
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  AMINI AMINI NAWAAMBIA ...YU AJA UPESI, SHIKA SANA KILE ULICHO NACHO ILI MWIZI ASIJE AKAKUPOKONYA>>>>

  "....... Amin, amin, nawaambia, Mkimwomba JK neno lo lote atawapa kwa jina langu. Hata sasa hamkuomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata, furaha yenu iwe timilifu"

  ... nao wamejaliwa neema maishani mwao, wataendelea kula neema mpaka mwisho wa dahali...


  ..........Naaaaam, Kwa mtini jifunzeni mfano huu: Mara tu matawi yake yanapoanza kuwa laini na kuchanua majani, mnajua kwamba wakati wa kiangazi umekaribia. Hali kadhalika nanyi mtakapoona mambo haya yote yakitendeka, jueni kwamba yuko karibu sana."
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Aug 18, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 77,846
  Likes Received: 39,867
  Trophy Points: 280
  Hivi kweli huyu ni mwanasheria huyu?

  Wanasheria wa kibongo bongo bana....hovyo hovyo kabisa. Kuandika hawajui...kuongea hawajui...mbaya zaidi wanalazimisha lugha ya Kiingereza ambayo na yenyewe hawaijui. Just pure fuckery...
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 36,099
  Likes Received: 7,674
  Trophy Points: 280
  Pure "truthiness"!!!!
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Aug 18, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 77,846
  Likes Received: 39,867
  Trophy Points: 280
  Ma dude, would you hire her to be your legal counsel?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...