Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

Status
Not open for further replies.
KWA WANAOMJUA HUYU MWANASIASA,nimekua nikijiuliza ni kwa nini mbunge huyu wa kuteuliwa amekua muhimu katika baraza la mawaziri akipewa wizara nyeti na zinazohitaji weledi na integrity ya hali juu.WHAT'S SO SPECIAL ABOUT THIS WOMAN
 
kairuki_angela.jpg
 
Nadhani mimi pia kama wewe huwa sijui kwa kweli huwa namwangalia tuu nabaki kusema ngoma ugonile
 
Atakua na weledi wa daraja la kwanza bila shaka. Mageuzi makubwa aliyofanya utumishi ni dhahiri huwezi kupuuza ueledi wake
 
Naona Angela Jasmine Kairuki (Anayetajwa kuwa mtoto wa Dr Salim Ahmed Salim) amekuwa maarufu kweli kwenye mitandao siku hizi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom