Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

Status
Not open for further replies.
Le Mutuuz are we comparing chairperson here? and we have be asking CV ya naibu waziri ambaye ni wa taifa sio upande wowote? this left a lot of question for politician of this country....
 
- Duh! jamani imetossha sasa maana this is simply overqualified, sasa tuwe objective na openminded kama watu tulioenda shule somo kama hili tunatakiwa tulinganishe, hebu huko upande wa pili leteni CV ya Mwenyekiti ili tukate mzizi wa fitina, ni maoni yangu tu! ha! ha! ha!

William.

Mi sidhani kama ni 'overqualified' kwa maana degree ni moja tu na mengine ni mapambo ambayo kwa yeyote aliyewahi kuishi ulaya, kupata certificates ni jambo lisilotisha sana kwa kuwa kila summer waweza kuzipata tu. Lakini pia tukumbuke kuwa certificates hata zingekuwa 20 hazitengenezi hata Diploma moja, vivyohivyo diploma hata ziwe 100 hazitengenezi degree hata moja na degree za kwanza kama za Mugabe hata ziwe 30 hazitengenezi hata degree moja ya uzamili na uzamili hata 10 hazina PhD hata moja.

Kwa kufaa nafasi hiyo anafaa kwa kuwa TZ ndivyo ilivyo na hakuna apataye bila kujulikana, ila kwamba ndiye mwamba na kinara kwa waTZ wote sidhani kama ni sahihi labda ni sahihi tu kwamba ndiye aliyeonekana na mheshimiwa anayeteua au anayeteuliwa kipindi hiki
 
Ni mke wa mtoto wa mwisho wa marehemu Dr. Hubert Kairuki aliyefunguaga hospitali ya Mikocheni. yaani hao Kairuki ndio wanaomiliki hospitali hiyo.
 
Mi sidhani kama ni 'overqualified' kwa maana degree ni moja tu na mengine ni mapambo ambayo kwa yeyote aliyewahi kuishi ulaya, kupata certificates ni jambo lisilotisha sana kwa kuwa kila summer waweza kuzipata tu. Lakini pia tukumbuke kuwa certificates hata zingekuwa 20 hazitengenezi hata Diploma moja, vivyohivyo diploma hata ziwe 100 hazitengenezi degree hata moja na degree za kwanza kama za Mugabe hata ziwe 30 hazitengenezi hata degree moja ya uzamili na uzamili hata 10 hazina PhD hata moja.

Kwa kufaa nafasi hiyo anafaa kwa kuwa TZ ndivyo ilivyo na hakuna apataye bila kujulikana, ila kwamba ndiye mwamba na kinara kwa waTZ wote sidhani kama ni sahihi labda ni sahihi tu kwamba ndiye aliyeonekana na mheshimiwa anayeteua au anayeteuliwa kipindi hiki

- FULL STOP!!

William!
 
- Duh! jamani imetossha sasa maana this is simply overqualified, sasa tuwe objective na openminded kama watu tulioenda shule somo kama hili tunatakiwa tulinganishe, hebu huko upande wa pili leteni CV ya Mwenyekiti ili tukate mzizi wa fitina, ni maoni yangu tu! ha! ha! ha!

William.

Na wewe mgogo lete yako tuone umetumikia meli ngapi za wagiriki!!
 
- Duh! jamani imetossha sasa maana this is simply overqualified, sasa tuwe objective na openminded kama watu tulioenda shule somo kama hili tunatakiwa tulinganishe, hebu huko upande wa pili leteni CV ya Mwenyekiti ili tukate mzizi wa fitina, ni maoni yangu tu! ha! ha! ha!

William.
mwenyekiti wake wa kamati ya katiba na sheria ni mhe. pindi chana, ambaye alitaka uwaziri apewe yeye, kwa hiyo Degree yake ya russia. mwenyekiti wake pindi chana alikesha kwa waganga kule bagamoyo akimloga JK ampe uwaziri, wapi bwana kumbe JK halogeki. angela anastahili, siyo pindi chana.
 
Wakuu , natanguliza salamu za pole kwa Msiba wa watoto wetu wa kule Arusha , halafu nafuatia na pole ya mvua kwa wale wote waliokumbwa na mafuriko .

Kichwa cha habari chajieleza , nadhani ili kuonyesha kwamba anayoyatenda ndani ya wizara yake ni sahihi , basi ni vema mkuu huyu naye tukafahamu mle alimopitia hadi kufika hapo alipo , pili naomba kukiri kwamba mimi sina cheti feki na wala sijawahi kufanya kazi yoyote ya kuajiriwa na Serikali ya Tanzania .

Nafahamu kuna watakaosema niangalie CV yake kwenye tovuti ya bunge , hilo nalifahamu lakini halitakidhi kiu ya ninachotaka kukifahamu ,

Natanguliza shukrani .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom