Nani atanipeleka White Party?

Nani atanipeleka White Party?

Nipo hapa mwanaume wa ukweli

great! lets get the ball rolling then si unajua deadline ya kulipa leo...kama hutajali kuuziwa mbuzi kwenye gunia (of which you will never regret) lipia mapema kabla m-pesa haijaanza vimbwanga vyake
 
unamwamini white party? nasikia ni babu alistaafu ualimu mwaka 1989!
 
Ai! Kama ni hivo basi simtaki tena ndio maana nilikimbia kutoka ulaya haya haya ya kulea wazee!

Bye bye white party (mtu) sio event
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom