lukubha lugosha
Senior Member
- Oct 5, 2016
- 105
- 55
Cyo wasukuma, tu makabila Mengi wakikutana kwenye matambiko wanapigana miti, ( cwezi kuyataja, busara iwepo)
Acha kuposti kitu usichokijua "SAGULAKA ndoo nini? Mimi najua kulikuwa na CHAGULAGA ambayo kwa sasa imebaki historia kama ile ya msichana wa kichaga au kihaya kubebwa kwa nguvu kwenda kuolewa nayo yote hayo katika jamii hizo yamebaki historia tu. Kwa sasa hakuna vitu kama hivyo. Kabla ya kuposti kitu unatakiwa ujiridhishe kwanza vinginevyo unadhihirisha wewe ni zero brainWanasiasa waliwaongoza watanzania kupitia bungeni na nje ya Bunge kupinga kwa nguvu zote mila potofu ya ukeketaji ambayo ni ukatili na unyanyasaji dhidi ya wanawake hasa wasichana. Taasisi, Mashirika yasiyo ya serikali, asasi zisizo za kiserikali, taasisi za dini, watu binafsi walishiriki kwenye vita hii dhidi ya ukeketaji.
Lakini kwa wasukuma kuna mila yao maarufu kwa jina na "sagulaga" ambayo kwa hali yoyote ile ni ukatili lakini pia ni udhalilishaji dhidi ya wanawake. Binti mdogo labda chini ya miaka 14 anafukuziwa na kuzingirwa na wavulana na wakati mwingine na hata vijana wa umri wa miaka 35 mara nyingi akiwa anatokea ngomani na kutakiwa kuchagua mmojawapo ili afanye naye mapenzi.
Cha ajabu ni kwamba binti huyo kwa siku mmoja hutakiwa kwa nyakati tofauti kuchagua mtu zaidi ya mmoja na kufanya naye mapenzi na wakati mwingine huku vijana wanaosubiri "zamu yao" ifike wakisubiria pembeni wakitizama. Si lazima vijana hawa wamuoe binti anayelazimika kuchagua wa kuwa naye kwa siku hiyo!
Jee huu si ubakaji wa ki-kikundi (a Gang rape)? Mabinti hawa wanaolazimika kuishi kwenye mila hii ya kionezi utu wao unaheshimiwa kweli. Tofauti iko wapi kati ya kukeketa na chagulaga? Jee ni mwanasiasa gani ambaye atasimama na kuanzisha harakati za kuitokomeza mila hii Potofu na ya kiudhalilishaji kama ilivyokuwa kwa harakati za kutokomeza ukeketaji nchini mwetu?
Mhhh. Usidanganye humu wewe sema tu ukweli kwamba ulikosa vigezo vya kuolewa na msukuma. Wasukuma tuko sekective sana.Mila number moja kandamizi kisaiokolijia ni ile mwanamke akitumwa kuleta maji ya kunywa ,anatakiwa apige magoti mpaka huyo mtu anaekunywa maji amalize,nyingine mwanamke mbele ya mwanaume ni mdogo hata kama mwanaume ni mdogo kiumri,mwanamke anatakiwa apige magoti anapomsalimia mwanaume kwa mfano mdogo wake wa kiume,always unapiga magoti unapomsalimia mdogo wako wa kiume na anakuambia Ng'waguku,binafsi mimi hii siikubali kabisa na kamwe simpigii magoti mdogo wangu wa kiume.Mila nyingine mbaya kandamizi ni ile ukiolewa ukweni wewe ndo utakuwa kama house girl,na ukiamka asubuhi unapomsalimia mkwe unapiga goti mpaka jini unaganda hapo mpaka salaam ziishe,moja ya sababu iliyonifanya nisiolewe usukumani.
Ndiyo sababu hiyo kutaja SOMANDA tu tayari una uchotara wa msukuma na mnyiramba.Sukuma pure,Mama Somanda na Baba kutoka Magu.Nimekulia Bariadi.
Endeleeni kukesha mitandaoni wakati wasukuma tunasambaa karibu 2/3 ya Tanzania.Utakuwa umehadithiwa na mtu aliyekuhadithia hajui vizuri kuhusu hilo.
Kwanza jila lenyewe kama si kutamkwa, pia haliandikwi hivyo.
Pili, dhumu ya ngoma hiyo siyo hicho ulichokiongea na hakijawahi kufanyika kitu kama hicho labda kule MTO KATELERO.
Tatu, mila hiyo ishaishaga hata kabla ya mila zenu za kukeketana hazijaanza kuongelewa.
Saivi siye tunasonga mbele na maendeleo na sasa tunamikoa ya kutosha tu tunaimiliki lengo ikiwa ni kumiliki TZ nzima.
OVA!
Msukuma pure,acheni tuja hapa.Ndiyo sababu hiyo kutaja SOMANDA tu tayari una uchotara wa msukuma na mnyiramba.
Hahahahahahah,ulina na makoye.Mhhh. Usidanganye humu wewe sema tu ukweli kwamba ulikosa vigezo vya kuolewa na msukuma. Wasukuma tuko sekective sana.
Gete nkoyi utalembageHahahahahahah,ulina na makoye.
Hata majina wanyiramba na wanyantunzu wanachangia k.m. Mangu mnyiramba na Mangu mnyantuzu. Kwa vyovyote vile wewe ni chotara.Msukuma pure,acheni tuja hapa.
Ushindwe kabisa,pure chapa ng'ombe,wewe unajuwaje ?what if huyo Mangu alichukuwa jina la msukuma alieacha shule ?refer Ng'wigulu Nchemba.Poor reasoning kabisa ng'wanikeHata majina wanyiramba na wanyantunzu wanachangia k.m. Mangu mnyiramba na Mangu mnyantuzu. Kwa vyovyote vile wewe ni chotara.
sio umekuta siimulizi... ni hadithi na hijawahi kuwepoAcha uzushi,hiyo chagulaga ilishakufa na kuzikwa,naona umesimuliwa tu,ukajuwa bado inaexist.Ilishakufa long time.Sisi pia tumekuta simulizi tu.
wwe umesikia wapi baba kafa kisa hakupigiwa magoti na binti yake wakati anasalimiwa....Hivi ni Elimu ndio inatukengeusha kiasi hiki au ni kutojitambua tumetoka wapi?...siyo mkwe tu! mkubwa yeyote shurti upige goti chini.....Ulisikia wapi binti kafa akisalimia baba yake kwa sababu ya kupiga magoti....??!...Ujuaji mwingine
Sagulaga =chagulaga,Wanasiasa waliwaongoza watanzania kupitia bungeni na nje ya Bunge kupinga kwa nguvu zote mila potofu ya ukeketaji ambayo ni ukatili na unyanyasaji dhidi ya wanawake hasa wasichana. Taasisi, Mashirika yasiyo ya serikali, asasi zisizo za kiserikali, taasisi za dini, watu binafsi walishiriki kwenye vita hii dhidi ya ukeketaji.
Lakini kwa wasukuma kuna mila yao maarufu kwa jina na "sagulaga" ambayo kwa hali yoyote ile ni ukatili lakini pia ni udhalilishaji dhidi ya wanawake. Binti mdogo labda chini ya miaka 14 anafukuziwa na kuzingirwa na wavulana na wakati mwingine na hata vijana wa umri wa miaka 35 mara nyingi akiwa anatokea ngomani na kutakiwa kuchagua mmojawapo ili afanye naye mapenzi.
Cha ajabu ni kwamba binti huyo kwa siku mmoja hutakiwa kwa nyakati tofauti kuchagua mtu zaidi ya mmoja na kufanya naye mapenzi na wakati mwingine huku vijana wanaosubiri "zamu yao" ifike wakisubiria pembeni wakitizama. Si lazima vijana hawa wamuoe binti anayelazimika kuchagua wa kuwa naye kwa siku hiyo!
Jee huu si ubakaji wa ki-kikundi (a Gang rape)? Mabinti hawa wanaolazimika kuishi kwenye mila hii ya kionezi utu wao unaheshimiwa kweli. Tofauti iko wapi kati ya kukeketa na chagulaga? Jee ni mwanasiasa gani ambaye atasimama na kuanzisha harakati za kuitokomeza mila hii Potofu na ya kiudhalilishaji kama ilivyokuwa kwa harakati za kutokomeza ukeketaji nchini mwetu?
Mimi cyo ng'wanike. Ni baba tena mtalaam wa historia ya sukumaland. Hata iwe mchana au usiku wewe ni chotara tu.Ushindwe kabisa,pure chapa ng'ombe,wewe unajuwaje ?what if huyo Mangu alichukuwa jina la msukuma alieacha shule ?refer Ng'wigulu Nchemba.Poor reasoning kabisa ng'wanike