Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,781
- 6,142
Mi nimekuta Sagolaga ya kuchagua nguo mtumbani.
Umenikumbusha mbali sana.
Umenikumbusha mbali sana.
Yeah,nikweli but chagula ilikuwa inafanywa sana sana mikoa ya shinyanga na tabora,mana ndo mikoa iliyokuwa inaongoza kwa ngoma yaani mbina.chanzo kikuu cha chagula ilikuwa ni ngoma.ila saivi haipo kabsa.Niliwahi kuishuhudia hii kule Igunga. Ila mila nyingine za makabila yetu hmmmm! miaka hiyo zilionekana bomba siku hizi zitaonekana ni udhalilishaji wa wanawake.
hiyo mila sio saguraga inaitwa chagulaga mkuu!Wanasiasa waliwaongoza watanzania kupitia bungeni na nje ya Bunge kupinga kwa nguvu zote mila potofu ya ukeketaji ambayo ni ukatili na unyanyasaji dhidi ya wanawake hasa wasichana. Taasisi, Mashirika yasiyo ya serikali, asasi zisizo za kiserikali, taasisi za dini, watu binafsi walishiriki kwenye vita hii dhidi ya ukeketaji.
Lakini kwa wasukuma kuna mila yao maarufu kwa jina na "sagulaga" ambayo kwa hali yoyote ile ni ukatili lakini pia ni udhalilishaji dhidi ya wanawake. Binti mdogo labda chini ya miaka 14 anafukuziwa na kuzingirwa na wavulana na wakati mwingine na hata vijana wa umri wa miaka 35 mara nyingi akiwa anatokea ngomani na kutakiwa kuchagua mmojawapo ili afanye naye mapenzi.
Cha ajabu ni kwamba binti huyo kwa siku mmoja hutakiwa kwa nyakati tofauti kuchagua mtu zaidi ya mmoja na kufanya naye mapenzi na wakati mwingine huku vijana wanaosubiri "zamu yao" ifike wakisubiria pembeni wakitizama. Si lazima vijana hawa wamuoe binti anayelazimika kuchagua wa kuwa naye kwa siku hiyo!
Jee huu si ubakaji wa ki-kikundi (a Gang rape)? Mabinti hawa wanaolazimika kuishi kwenye mila hii ya kionezi utu wao unaheshimiwa kweli. Tofauti iko wapi kati ya kukeketa na chagulaga? Jee ni mwanasiasa gani ambaye atasimama na kuanzisha harakati za kuitokomeza mila hii Potofu na ya kiudhalilishaji kama ilivyokuwa kwa harakati za kutokomeza ukeketaji nchini mwetu?
Mila sa kisukuma nyingi zimemkandamiza sana mwanamke,hiyo mila ya chagulaga ilikuwa worse zaidi among mila zote za kikandamizaji huku kwetu usukumani.Chagulanga ilikuwa ikifanyika zaidi kipindi cha mavuno June/July watu wameshauza Pamba,sasa wanasherekea kwa Mbina (ngoma )in Swahili.Kulikuwa na walengi kina kushosha,manono kusebha wengi kibao nimesahau majina yao,Babu yangu na bibi walinisimulia.Baada ya mbina kuisha ndo sasa jioni chagulaga mayu inafuata.Kuna mila zingine kandamizaji ambazo bado zipo ,nitaandika baadaeNiliwahi kuishuhudia hii kule Igunga. Ila mila nyingine za makabila yetu hmmmm! miaka hiyo zilionekana bomba siku hizi zitaonekana ni udhalilishaji wa wanawake.
Kumbe wewe pia ni Msukuma?Acha uzushi,hiyo chagulaga ilishakufa na kuzikwa,naona umesimuliwa tu,ukajuwa bado inaexist.Ilishakufa long time.Sisi pia tumekuta simulizi tu.
Mkuu bado ipo nimempigia babu yangu mzee Bashite kule kwetu Kolomije amesema ipo lakini mpaka June-JulyAcha uzushi,hiyo chagulaga ilishakufa na kuzikwa,naona umesimuliwa tu,ukajuwa bado inaexist.Ilishakufa long time.Sisi pia tumekuta simulizi tu.
Kubali wasukuma wana mila za hovyo... waafrika karibu wote mila zetu zilikuwa hovyo, makabila mengine wameziacha za hovyo, nyinyi bado mnazikumbatia! Hata wazungu walikuwa na mila zahovyo, with civilization wakaziacha!Kama zipi hizo mila za hovyo!?Msijenge chuki bandugu wote tunajenga taifa moja...karibu sana Shinyanga vijijini.
nitaandika baadae
Huijui CHAGULAGA wewe.Bila shaka umehadithiwa, umekimbilia kupostWanasiasa waliwaongoza watanzania kupitia bungeni na nje ya Bunge kupinga kwa nguvu zote mila potofu ya ukeketaji ambayo ni ukatili na unyanyasaji dhidi ya wanawake hasa wasichana. Taasisi, Mashirika yasiyo ya serikali, asasi zisizo za kiserikali, taasisi za dini, watu binafsi walishiriki kwenye vita hii dhidi ya ukeketaji.
Lakini kwa wasukuma kuna mila yao maarufu kwa jina na "sagulaga" ambayo kwa hali yoyote ile ni ukatili lakini pia ni udhalilishaji dhidi ya wanawake. Binti mdogo labda chini ya miaka 14 anafukuziwa na kuzingirwa na wavulana na wakati mwingine na hata vijana wa umri wa miaka 35 mara nyingi akiwa anatokea ngomani na kutakiwa kuchagua mmojawapo ili afanye naye mapenzi.
Cha ajabu ni kwamba binti huyo kwa siku mmoja hutakiwa kwa nyakati tofauti kuchagua mtu zaidi ya mmoja na kufanya naye mapenzi na wakati mwingine huku vijana wanaosubiri "zamu yao" ifike wakisubiria pembeni wakitizama. Si lazima vijana hawa wamuoe binti anayelazimika kuchagua wa kuwa naye kwa siku hiyo!
Jee huu si ubakaji wa ki-kikundi (a Gang rape)? Mabinti hawa wanaolazimika kuishi kwenye mila hii ya kionezi utu wao unaheshimiwa kweli. Tofauti iko wapi kati ya kukeketa na chagulaga? Jee ni mwanasiasa gani ambaye atasimama na kuanzisha harakati za kuitokomeza mila hii Potofu na ya kiudhalilishaji kama ilivyokuwa kwa harakati za kutokomeza ukeketaji nchini mwetu?
Mila sa kisukuma nyingi zimemkandamiza sana mwanamke,hiyo mila ya chagulaga ilikuwa worse zaidi among mila zote za kikandamizaji huku kwetu usukumani.Chagulanga ilikuwa ikifanyika zaidi kipindi cha mavuno June/July watu wameshauza Pamba,sasa wanasherekea kwa Mbina (ngoma )in Swahili.Kulikuwa na walengi kina kushosha,manono kusebha wengi kibao nimesahau majina yao,Babu yangu na bibi walinisimulia.Baada ya mbina kuisha ndo sasa jioni chagulaga mayu inafuata.Kuna mila zingine kandamizaji ambazo bado zipo ,nitaandika baadae
Hahahahahaaa,haipo bwanaMkuu bado ipo nimempigia babu yangu mzee Bashite kule kwetu Kolomije amesema ipo lakini mpaka June-July
Hahahahahaaa,haipo bwana
Mila number moja kandamizi kisaiokolijia ni ile mwanamke akitumwa kuleta maji ya kunywa ,anatakiwa apige magoti mpaka huyo mtu anaekunywa maji amalize,nyingine mwanamke mbele ya mwanaume ni mdogo hata kama mwanaume ni mdogo kiumri,mwanamke anatakiwa apige magoti anapomsalimia mwanaume kwa mfano mdogo wake wa kiume,always unapiga magoti unapomsalimia mdogo wako wa kiume na anakuambia Ng'waguku,binafsi mimi hii siikubali kabisa na kamwe simpigii magoti mdogo wangu wa kiume.Mila nyingine mbaya kandamizi ni ile ukiolewa ukweni wewe ndo utakuwa kama house girl,na ukiamka asubuhi unapomsalimia mkwe unapiga goti mpaka jini unaganda hapo mpaka salaam ziishe,moja ya sababu iliyonifanya nisiolewe usukumani.Nasubiri hapa.
Itakuwa hata Davi haijuiHahahahahaaa,haipo bwana
Zitaje hizo mila hapaKubali wasukuma wana mila za hovyo... waafrika karibu wote mila zetu zilikuwa hovyo, makabila mengine wameziacha za hovyo, nyinyi bado mnazikumbatia! Hata wazungu walikuwa na mila zahovyo, with civilization wakaziacha!