Nani arithi nini JF.. Nani arithi mikoba ya nani JF?

Nani arithi nini JF.. Nani arithi mikoba ya nani JF?

Umesahau mkoba wa kupost picha za wadada wenye makebo
Kama huyu? Ah huyu!
bb7af30f-6b0d-4a50-b3d3-a6903ba0c94d.jpeg
18141ada-1f30-43ee-b696-4d511f83e723.jpeg
 
Time is "makangability" (Time is making ability)

Waswahel wanasema WAKATI UKUTA na Jr anasema WAKATI SI MILELE

Kuna udumavu mkubwa kwa wakongwe.. Age go.. Natumai udumavu huo ni huku tu JF na si mpaka pale kwenye pepo ya dunia😭

Wahenga walisema.. Fainali uzeeni... Ujana maji ya moto... Sasa yameshapoa😩 hakuna kusimama dede tena! Inaogofya sana sana!

Anyway tuna damu changa.. Very active!
Nani ungependa kurithi mikoba yake!😀
Nani ungependa kurithi "tabia zake"🤣
Nani ungependa uwe reincarnation yake!

Kumbuka.. perception creates reality.....🔥View attachment 3588914
Naomba nikabidhiwe mikoba ya bwana RIKIBOY 🙃😂
 
Wengine hatujawahi kuwa A' list kwa jf. Kwa hiyo hatuna vya kurithi wala kurithisha.
Ila cha msingi naamini ikifika miaka ambayo kizazi kijacho kitatafuta info za nyuma. At least na mimi insights zangu ziwasaidie kwenye hizo topics

Na hiyo ndio contribution ambayo hata mimi ilinivuta jf 🙏🏽🙏🏽
 
We're loving @lexwilsontype take on this special t.jpeg
 
Back
Top Bottom