Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 48,322
- 39,126
hivi kwanini waganga hawawez kutumia vitu vya kisasa kufanyia uganga wao? Na kwanini hutumia zaidi kuku mweusi au mweupe pe au viungo vyake?
natamani kuona wakianza kutumia vitu vya kisasa kama antena labda ya startimes au azam kutafuta signal za uchawi wao badala ya kutumia miguu yakuku 🐒