Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,912
Najua kuna jambo, nikitoka mihangaikoni leo nina wewe 🤣🤣Nina ushuhuda anway🏃♀️🏃♀️
Najua kuna jambo, nikitoka mihangaikoni leo nina wewe 🤣🤣Nina ushuhuda anway🏃♀️🏃♀️
HakunaaaaaNajua kuna jambo, nikitoka mihangaikoni leo nina wewe 🤣🤣
Umeshakuwa wewe achana na hizi mada haziendani na umri wako.Time is "makangability" (Time is making ability)
Waswahel wanasema WAKATI UKUTA na Jr anasema WAKATI SI MILELE
Kuna udumavu mkubwa kwa wakongwe.. Age go.. Natumai udumavu huo ni huku tu JF na si mpaka pale kwenye pepo ya dunia😭
Wahenga walisema.. Fainali uzeeni... Ujana maji ya moto... Sasa yameshapoa😩 hakuna kusimama dede tena! Inaogofya sana sana!
Anyway tuna damu changa.. Very active!
Nani ungependa kurithi mikoba yake!😀
Nani ungependa kurithi "tabia zake"🤣
Nani ungependa uwe reincarnation yake!
Kumbuka.. perception creates reality.....🔥View attachment 3588914
I’ve surpassed that level completely. They know who they’re dealing with. 😎Dis ting can't bit black magik😎
Natamani zaidi kua na tabia kama za Yesu Kristo, na hatimae niurithi ufalme wa Mungu gentleman,
na ni tamaa yangu kwa wadau wote wa JF, kuurithi huo ufalme wa Mungu 🐒
They tried to summon darkness against me, forgetting I was already part of it. 😅😅😅That's great dude🔥💪🏿
Mpaka muda huu nareply hapa, iko sawa.Basi staff wa zamu wa tcra kwa siku hiyo walisinzia.
Nami kuna siku niliona hivyo, hadi nikaja humu na kuwatonya wadau kuwa: 'jamanieeh, tayari mambo gawiza'!
Kumbe wapi bhana!
They tried to summon darkness against me, forgetting I was already part of it. 😅😅😅
👇👇
Soon, the beginners will learn under my command.
View attachment 3589072
Shetani anasoma biblia