Nani anayejua hili?

Nani anayejua hili?

namanyele

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,852
Reaction score
611
Habari wanajamvi wenzake!
naomba kwa yeyote anayefahamu sumu ya kuua PAKA anijuze,kuna Paka wa mtaani wasio na makazi rasmi wananisumbua sana nyumbani kwangu kwani ni wezi wa mboga na wanaleta viroboto ndani,nimejaribu kuwategea sumu mbalimbali lakini hawafi
naombeni anauejua sumu yao inayopatikana kirahisi
 
Hauna panga?

mkuu panga lipo lakini hayo mapaka yakiona tu mtu mbio na hurudi badae kukiwa hakuna watu
naskia sumu nikiwatilia kwenye samaki ndo rahisi kuwamaliza,nilikuwa naomba anayefahamu hiyo sumu
 
Wamekuwa wengi sana siku hizi, kila baa wanayouza nyama wapo wanene, wanazaliana kinoma. Kuna kipindi Halmashauri zilijuwa zinawapiga risasi ila wamekuja hawa mameya wa sasa sioni hata kitu wanachofanya.
 
Karanga sisage halafu nyunyizia kidogo kamchuzi ka samaki changanya na cement upate uji mzito pembeni mtengee maji kidogo, hapati haja hadi kifo kutokana na tofali la block ulilolifyatua
 
Karanga sisage halafu nyunyizia kidogo kamchuzi ka samaki changanya na cement upate uji mzito pembeni mtengee maji kidogo, hapati haja hadi kifo kutokana na tofali la block ulilolifyatua

kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk........umenichekesha sana mkuu
 
Habari wanajamvi wenzake!
naomba kwa yeyote anayefahamu sumu ya kuua PAKA anijuze,kuna Paka wa mtaani wasio na makazi rasmi wananisumbua sana nyumbani kwangu kwani ni wezi wa mboga na wanaleta viroboto ndani,nimejaribu kuwategea sumu mbalimbali lakini hawafi
naombeni anauejua sumu yao inayopatikana kirahisi

We unasema paka wa mtaani isije kuwa ni misukule maana mipaka hii ya mitaani ina mambo ya ajabu sana. Unaweza ukawa uwani una pika, wao (paka) wakisikia harufu ya chakula wanaruka ukuta na kukutishia wewe kwa sauti za hajabu. Ukikimbia wanabeba sufuria yako. Mambo ya mujini haya, ni laana kweli. Na paka wa namna hii hawafi kwa sumu hata iweje kwani wanajuwa na ukilazimisha kuwawekea hiyo sumu wanakugeuzia wewe kibao. Unacheza na paka wa ushwahilini weye?
cat-human-hybrid.jpg human cat.jpg
 
Kwanini waiacha milango wazi?? funga mlango wa sehemu unakoweka mboga zako
 
Karanga sisage halafu nyunyizia kidogo kamchuzi ka samaki changanya na cement upate uji mzito pembeni mtengee maji kidogo, hapati haja hadi kifo kutokana na tofali la block ulilolifyatua

nIMEIPeNDa Sana TEh tEh .........
 
Paka anakufa hata kwa sumu ya panya. Tena yeye anaathirika hata kwa panadol, flagyl ama aspirin. Google kuhusiana na cat kisha utaona kuna mahali wameandika mambo yanayomwua paka kirahisi.
 
Kama upo Dar kuna sumu huwa ukiwawekea Kunguru weusi(wa Zanzibar) wanakufa nadhani
ukiwawekea hiyo unawauwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom