Nani anawadanganya Wakenya kuwa wana Ubavu wa Kushindana 'Kijeshi' na Tanzania inayoogopeka 'Kijeshi' na 'Kiujasusi' Ukanda wa Maziwa Makuu?

vita sio pesa, vita ni ujasusi, rwanda amekaa pale nchi yake ndogo lakin hakuna anaetaka kupigana nae maana jamaa sio mtu wa kawaida, inasemekana yeye ni raisi wa congo na rwanda mpaka sasa
 
Bro kuna uhusiano mkubwa kati ya ukubwa, wa, uchumi, na nguvu za, kijeshi, Kenya, uchumi wake ni mkubwa kuzidi nchi zote za, Africa mashariki kwa, pamoja,
 
Ukiona jirani yako anakukera kila siku, labda si yeye mwenye tatizo huenda ni wewe ndiye umekaa sana dirishani badala ya kuendelea na shughuli zako."
 
Tanzania inaogopeka kijeshi na kijasusi Kwa Nchi zenye idadi kubwa ya watu wendawazimu tu lakini wenye kujitambua huiona Tanzania ni kama taka taka tu kutokana na mambo yake ya kijinga yanayofanywa na serikali
 
Sijui hata wasawahili Wana satellite ipi ama logistics muscle ipi sembuse technology ipi ya kupambana kivita na Kenya,
wala msitupake harufu mbaya ya uduni nyie watanganyika.
 
Naona vilema mnatambiana, east Africa yote Bado ipo matakoni mwa dunia.
Nyuzi kama hizi mmarekan au mchina akisoma anacheka mbavu Hana.
Sisi siyo vilema ewe mtanganyika,mnaogelea utovu HUKU wenyewe mmepotoka,makajamba Tu!
 
Wenda una mahaba na Rwanda na Uganda pia. Lakini kibajeti, kirasilimali, kivifaa, kimawanda na kiutalamu Rwanda na Uganda watoe kwenye jeshi imara ukanda wa maziwa makuu.

Tanzania na Kenya wanaweza tunishiana misuri kwenye Jeshi, wana jeshi la aina moja kama hufahamu vizuri.

Rwanda ana ardhi 28,300 KM²
Kenya ana ardhi 530,600 KM²

Ushauri: Usiendekeze sana "utoto" wa Muhoozi kwenye analysis zako. Get your facts right man.
 
Watu wajinga kama wewe mnadanganywa kirahisi sana. Nani huyo amekudanganya kwamba rwanda inaifahamu zaidi Tanzania kullko nchi zingine na inaifahamu Tanzania kivipi hasa?
 
Watu wajinga kama wewe mnadanganywa kirahisi sana. Nani huyo amekudanganya kwamba rwanda inaifahamu zaidi Tanzania kullko nchi zingine na inaifahamu Tanzania kivipi hasa?
Watu wenye akili za kenge kama nyie ni mpaka muone damu.

Rwanda ameshawafanyia udhalilishaji mwingi wa dhahiri, kuonesha anawajua.

Ninyi mmefanya lipi??

 
Tanzania inaogopeka kijeshi na kijasusi Kwa Nchi zenye idadi kubwa ya watu wendawazimu tu lakini wenye kujitambua huiona Tanzania ni kama taka taka tu kutokana na mambo yake ya kijinga yanayofanywa na serikali
Labda zamani ila si kwa sasa, hata top 10 ya majeshi yenye nguvu afrika hawapo.
Achen kuish kwenye past, mambo yamebadilika
 
Serikali ya Kenya na Tanzania akili ya kupigana vita hazipo kwenye vichwa vyao.

Kuna maeneo ambayo Tanzania ya mipaka ambayo ni risk kwa Tanzania, Iła sio Kenya.

Kwenye EAC mpaka na uhusiano wa Kenya na Tanzania ni more predictable. Hizo wishes zenu za uchawi hazipo. Tanzania na Kenya hazifokuwa na vita miaka 8000 quit with the wishful thinking.
 
Jeshi limeshindwa kuunda hata🔪 kuna wanyama wa mtaani walikuwa wanatarent ya kutengeneza bunduki walishikwa wote badala ya kuendelezwa wapo tu wanazeekea kijjni na watakufa na vipaji viunoni
 
Umeandika KINAFIKI sana.
 
Jeshi limeshindwa kuunda hata🔪 kuna wanyama wa mtaani walikuwa wanatarent ya kutengeneza bunduki walishikwa wote badala ya kuendelezwa wapo tu wanazeekea kijjni na watakufa na vipaji viunoni
Bahati mbaya kwako ni kwamba Tanzania na Kenya wana namna ya kumaliza upumbavu wao.

Na kwa leo Tanzania na Kenya aziwezi ingia kwenye hiyo migogoro mnayotuombea.
 
Jeshi la Tanzania lilikuwa juu miaka ya 80. Ila kwa sasa tupo nyuma sana.

Tumeshindwa kuwaasaidia Msumbiji kuwapiga magaidi wao waliopo karibu na mpaka wa Tanzania. Rwanda wameenda kuwaasaidia.

Tumeshindwa kuwapiga M23 mpaka kapteni wa jeshi letu amerudi kupitia mpaka wa Rwanda na Tanzania ni aibu kubwa sana.
 
Umeandika KINAFIKI sana.
Sisi ndugu kama hujui, ndio maana Tanzania aifanyi mazoezi ya kijeshi mipaka ya Kenya.

Mtatuombea sana, migogoro yetu itashia kwenye maneno na kuwafunda wakenya kuelekea integrated EAC.

Tanzania na Kenya differences ni ndogo sana kabla ya kuwa kitu kimoja.

Shida zaidi Kenya mataahira na ukabila wao.

Lakini ni watu wamoja, jeshi la Tanzania na la Kenya, sidhani kama upande unafikiria invasion ya upande wa pili.

Jeshi la Tanzania na jeshi la Kenya ha wafanyi border exercises.

Vinginevyo jeshi la Tanzania linafanya border exercises Rwanda, Burundi, Malawi, Congo, Mozambique.

Sasa jiulize kwanini sijataja mipaka niliyotaja.

Kenya ni least of Tanzania problem, hawa ni cousins waliovurugwa ambao inataka muda kuelewana.

Kuombea vita Tanzania na Kenya lazima uwe mtu wa mpaka wa maeneo ya vita, ambae unadhani kugombana na majirani ni mambo ya kawaida.

Ngumu kuelewa Mkiambiwa mnasomwa, but then we won’t give up kuhakikisha tunaondoa hizo chuki zenu na EAC inakuwa supranational.

Ukubwa dawa kwa upande wa Tanzania
 
Achana na hizi threads TOLU

baki na zole za soka na majungu zinakupendeza zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…