Nani anawadanganya Wakenya kuwa wana Ubavu wa Kushindana 'Kijeshi' na Tanzania inayoogopeka 'Kijeshi' na 'Kiujasusi' Ukanda wa Maziwa Makuu?

Hakuna cha siri kuna vitu vya siri ila kwa bajeti hiyo huwezi nunua kifaa cha kisasa chochote vifaa vya kijeshi sio maandazi
 

Unachekesha kweli. Mliingia Kongo na mikwara mingi eti kunguru apigwe. Ila Juzi M23 kawateka nyara wote ikabidi muende kuomba msamaha awsruhusu muondoke kupitia Rwanda. Jezi la Tanzania lijiondoe kwenye siasa na kubaki neutral ndipo litaheshimika.
 
Mmepigwa kwenye cyber kaa kwa kutuliaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.
 
Hata huku ugonjwa huo upo! Kama wewe siyo mtoto au ndugu wa mjeda hutoboi.
Kwa upande wa rushwa ya ajira Kenya wapo mbele yetu mara 1000, watu wapo tayari kutoa Ksh 500,000 hadi 1mil (Tzs 10mil > ) ili kupata hizo kazi
 
Ilikuwa zamani enzi za mchonga. Leo, hawana hamu na M23 ya PK. Waulize wenzao wa SA.
 
wakenya wanazungumzia freedom of speech & human right protection, wewe unazungumzia uwezo wa kijeshi na kupigana.

Ndiomana wanatutukana "watanzania ni incompetent".....std3 wa kenya ni university material TanzaniaπŸ˜‚
 
wakenya wanazungumzia freedom of speech & human right protection, wewe unazungumzia uwezo wa kijeshi na kupigana.

Ndiomana wanatutukana "watanzania ni incompetent".....std3 wa kenya ni university material TanzaniaπŸ˜‚
Sana tz ushenzi mwingi vichwani, makenya Yameelimika sana ndio maana sio mazwazwa.
 
labda inaogopeka kwa kuteka ,kuua na kulawiti wananchi wapinzani wakilianzisha sisi kama watanzania tutawaunga mkono ili kuleta mabadiriko nchini
 
Unazungumzia hilijeshi lililo pata tabu pale kibiti KWA watu 7 au hatuombei vita ndio maana kilakitu hufundishwa na watu huonyesha wamefundishwa nini vita nikitu kingine naukizungumziamajeshi hapo itabidi utwambie weunapata wap taarifa maana hizo ni nyeti mkuu angaria hata bajeti za haya majeshi
 
Tatizo ni kuwa hawajawahi kupigana ili tuone. Sisi tuliipiga Uganda na tukaonekana, labda Uganda ni dhaifu, ukimpiga mtu dhaifu utatamba kuwa wewe ni shujaa?
 
Unazeeka vibaya!
 
Baruti
 
kwa hayo magobole mliyojaza huko kwenye kambi zenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hapa East African coast ni nyie peke yenu mnatumia ngalawa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Siku hizi amna vita za chini za kina rambo na wavietnam jeshi sio namba jeshi ni teknolojia watu kumi wanaweza control drone 250 ndani ya dkk30 zkifanikiwa kufikia target zote madhara yake ni wanajeshi wako 5M wa ardhini na magobole yao na vike vilipuzi vya mjerumani watakachokfanya kwa miaka 8. Yote ya yote vita sio mchongo kabsa mleta mada acha uchochezi na hisia za movie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…