Nani anatoa 'kitita' cha kuwahamisha Wamasai kutoka Ngorongoro? Tunapata faida gani kama Taifa?

Nipo hapa Arusha. Jana nami niliyashuhudia (lakini sikushiriki) maandamano ya amani ya CHADEMA katika viunga vya jiji la Arusha. Sikwami wala kuogopa kusema kuwa yalikuwa ni maandamano makubwa; washiriki walikuwa wamejipanga kila anga na yalipeperusha hoja za haja.

Kabla ya jana, nilioneshwa (na wahusika hasa) nyaraka za operesheni ya kuwaondoa/kuwahamisha Wamasai kutoka kwenye hifadhi ya Ngorongoro kuwapeleka wilayani Handeni mkoani Tanga. Nimeona kuwa hadi sasa, zaidi ya kaya/familia elfu moja zimeshamishiwa Handeni.

Kwa mujibu wa nyaraka husika, kila kaya inayohamishiwa Handeni inapewa nyumba, shamba na pesa taslimu shilingi milioni kumi. Kimahesabu, hadi sasa kumeshatumika zaidi ya shilingi bilioni moja ya pesa taslimu-achilia mbali zile za ujenzi wa nyumba na mashamba.

Nani anagharimia zoezi hili linalotumia mabilioni ya shilingi? Kama ni Serikali, bajeti ya zoezi hili imepangwa/imetengwa kwenye wizara gani na ni kwa bajeti ya mwaka upi wa fedha? Faida gani itakayopatikana, ikilinganishwa na hasara, kutokana na zoezi hili?

Sukari imekuwa hatari!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Sombetini, Arusha)
Nenda kamwulize mbunge wako.
 
Hilo eneo lilishauzwa kwa waarabu kipindi cha mwinyi ambapo mkapa aliwanyang'anya eneo hilo na kuwatimua. Alipoingia mama Samia alitembelewa na rais mwinyi kuambiwa hilo suala ambapo alienda UAE na ndege ya rais ilishikiliwa kutokana na wao kunyang'anywa eneo lao licha ya kuwa na documents za hati ya mauziano. Baada ya kuzungumza nao ikabidi wawarudishie eneo na kupelekea kuwatoa wamasai waliokuwepo kwenye hilo eneo.
Maneno hata chiriku anaongea,tuwekee ushahidi
 
Nipo hapa Arusha. Jana nami niliyashuhudia (lakini sikushiriki) maandamano ya amani ya CHADEMA katika viunga vya jiji la Arusha. Sikwami wala kuogopa kusema kuwa yalikuwa ni maandamano makubwa; washiriki walikuwa wamejipanga kila anga na yalipeperusha hoja za haja.

Kabla ya jana, nilioneshwa (na wahusika hasa) nyaraka za operesheni ya kuwaondoa/kuwahamisha Wamasai kutoka kwenye hifadhi ya Ngorongoro kuwapeleka wilayani Handeni mkoani Tanga. Nimeona kuwa hadi sasa, zaidi ya kaya/familia elfu moja zimeshamishiwa Handeni.

Kwa mujibu wa nyaraka husika, kila kaya inayohamishiwa Handeni inapewa nyumba, shamba na pesa taslimu shilingi milioni kumi. Kimahesabu, hadi sasa kumeshatumika zaidi ya shilingi bilioni kumi ya pesa taslimu-achilia mbali zile za ujenzi wa nyumba na mashamba.

Nani anagharimia zoezi hili linalotumia mabilioni ya shilingi? Kama ni Serikali, bajeti ya zoezi hili imepangwa/imetengwa kwenye wizara gani na ni kwa bajeti ya mwaka upi wa fedha? Faida gani itakayopatikana, ikilinganishwa na hasara, kutokana na zoezi hili?

Sukari imekuwa hatari!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Sombetini, Arusha)
NGORO NGORO ILIKUWA INAKWENDA KUGEUKA JIJI, HONGERA SEREKALI KWA MAAMUZI HAYA YA HEKIMA, BAADA YA KUGEUKA JIJI NA WANYAMA KUHAMA NADHANI NDICHO CHADEMA WALICHOKIHITAJI.I
#Si kila mtanzania ni nyumbu asiye na akili.
 
Nipo hapa Arusha. Jana nami niliyashuhudia (lakini sikushiriki) maandamano ya amani ya CHADEMA katika viunga vya jiji la Arusha. Sikwami wala kuogopa kusema kuwa yalikuwa ni maandamano makubwa; washiriki walikuwa wamejipanga kila anga na yalipeperusha hoja za haja.

Kabla ya jana, nilioneshwa (na wahusika hasa) nyaraka za operesheni ya kuwaondoa/kuwahamisha Wamasai kutoka kwenye hifadhi ya Ngorongoro kuwapeleka wilayani Handeni mkoani Tanga. Nimeona kuwa hadi sasa, zaidi ya kaya/familia elfu moja zimeshamishiwa Handeni.

Kwa mujibu wa nyaraka husika, kila kaya inayohamishiwa Handeni inapewa nyumba, shamba na pesa taslimu shilingi milioni kumi. Kimahesabu, hadi sasa kumeshatumika zaidi ya shilingi bilioni kumi ya pesa taslimu-achilia mbali zile za ujenzi wa nyumba na mashamba.

Nani anagharimia zoezi hili linalotumia mabilioni ya shilingi? Kama ni Serikali, bajeti ya zoezi hili imepangwa/imetengwa kwenye wizara gani na ni kwa bajeti ya mwaka upi wa fedha? Faida gani itakayopatikana, ikilinganishwa na hasara, kutokana na zoezi hili?

Sukari imekuwa hatari!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Sombetini, Arusha)
Na kama ni mwarabu hii ni pure treason! Mahakama ihusike haraka!!
 
Faida anapata muwekezaji, hakuna cha bure dunia hii, kuna mstaafu moja alikuwa anasema ukitaka Kula lazima uliwe
 
Nipo hapa Arusha. Jana nami niliyashuhudia (lakini sikushiriki) maandamano ya amani ya CHADEMA katika viunga vya jiji la Arusha. Sikwami wala kuogopa kusema kuwa yalikuwa ni maandamano makubwa; washiriki walikuwa wamejipanga kila anga na yalipeperusha hoja za haja.

Kabla ya jana, nilioneshwa (na wahusika hasa) nyaraka za operesheni ya kuwaondoa/kuwahamisha Wamasai kutoka kwenye hifadhi ya Ngorongoro kuwapeleka wilayani Handeni mkoani Tanga. Nimeona kuwa hadi sasa, zaidi ya kaya/familia elfu moja zimeshamishiwa Handeni.

Kwa mujibu wa nyaraka husika, kila kaya inayohamishiwa Handeni inapewa nyumba, shamba na pesa taslimu shilingi milioni kumi. Kimahesabu, hadi sasa kumeshatumika zaidi ya shilingi bilioni kumi ya pesa taslimu-achilia mbali zile za ujenzi wa nyumba na mashamba.

Nani anagharimia zoezi hili linalotumia mabilioni ya shilingi? Kama ni Serikali, bajeti ya zoezi hili imepangwa/imetengwa kwenye wizara gani na ni kwa bajeti ya mwaka upi wa fedha? Faida gani itakayopatikana, ikilinganishwa na hasara, kutokana na zoezi hili?

Sukari imekuwa hatari!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Sombetini, Arusha)
Watanzania tupo kama kiroba unqkirundika KOKOTE unakiachq Nouma hakuna tunaswagwa kama ndezi
 
Hilo eneo lilishauzwa kwa waarabu kipindi cha mwinyi ambapo mkapa aliwanyang'anya eneo hilo na kuwatimua. Alipoingia mama Samia alitembelewa na rais mwinyi kuambiwa hilo suala ambapo alienda UAE na ndege ya rais ilishikiliwa kutokana na wao kunyang'anywa eneo lao licha ya kuwa na documents za hati ya mauziano. Baada ya kuzungumza nao ikabidi wawarudishie eneo na kupelekea kuwatoa wamasai waliokuwepo kwenye hilo eneo.
Duuh
 
Hilo eneo lilishauzwa kwa waarabu kipindi cha mwinyi ambapo mkapa aliwanyang'anya eneo hilo na kuwatimua. Alipoingia mama Samia alitembelewa na rais mwinyi kuambiwa hilo suala ambapo alienda UAE na ndege ya rais ilishikiliwa kutokana na wao kunyang'anywa eneo lao licha ya kuwa na documents za hati ya mauziano. Baada ya kuzungumza nao ikabidi wawarudishie eneo na kupelekea kuwatoa wamasai waliokuwepo kwenye

hilo eneo.
Hilo eneo lilishauzwa kwa waarabu kipindi cha mwinyi ambapo mkapa aliwanyang'anya eneo hilo na kuwatimua. Alipoingia mama Samia alitembelewa na rais mwinyi kuambiwa hilo suala ambapo alienda UAE na ndege ya rais ilishikiliwa kutokana na wao kunyang'anywa eneo lao licha ya kuwa na documents za hati ya mauziano. Baada ya kuzungumza nao ikabidi wawarudishie eneo na kupelekea kuwatoa wamasai waliokuwepo kwenye hilo en
Sia mini aiseeh mwinyi aliwaza nini kufanya hivi?
 
Rudisheni maeneo yote ya makabila hata barabara zifutwe sababu zinapita katika maeneo ya makabila - turudi kuishi misituni sote.
Wamasai wenyewe wanafaidika na rasilimali zinazo toka maeneo ya makabila au mikoa mingine.
Acheni ujinga dunia inasonga mbele hakuna tena eneo la kabila fulani lisiguswe ikiwa kuna maslahi ya taifa
Masrahi ya taifa mkuu unataka kuniambia mpaka bunge linajua kuhusu hili Jambo?
 
Rudisheni maeneo yote ya makabila hata barabara zifutwe sababu zinapita katika maeneo ya makabila - turudi kuishi misituni sote.
Wamasai wenyewe wanafaidika na rasilimali zinazo toka maeneo ya makabila au mikoa mingine.
Acheni ujinga dunia inasonga mbele hakuna tena eneo la kabila fulani lisiguswe ikiwa kuna maslahi ya taifa
Maarahi ya taifa mkuu unataka kuniambia mpaka bunge linajua kuhusu hili Jambo?
 
Back
Top Bottom