Nani anao huo wimbo?

Nani anao huo wimbo?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,251
Reaction score
44,586
Nimetafuta miaka nenda rudi wimbo wa "Mkono wa Idi" bila ya mafanikio. Sijui kama ni Salum Abdallah akiwa na Cuban Marimba au wakati akiwa Morogoro Jazz... mwenye kuwa nao naomba mnitumie mwanakijiji@klhnews.com
 
Jaribu RTD, ukiupata nifahamishe na mimi nautaka sana. Nadhani ni Salum Abdallah but I am not 100% sure.
 
Nimepita pita huko nimepata nyimbo tano za Salum Abdallah akiwa cuban marimba... lakini huo sijaupata.
 
Kwa habari nilizozipata muda si mrefu, mara baada ya wewe kupost hili tangazo, Lowassa alikimbia haraka kwenda kununua rights zote za huo wimbo. Sasa kazi kwako..... lol
 
Nikimpigia magoti kubembeleza itakuwa ni ufisadi? na akitokea kunipa bure kwa masharti "mepesi" nikubali? Well nitamuambia "what happened between us was nothing personal"... LOL
 
Ha ha ha ha atakwambia if there was nothing personal between you and me then you have to delete all messages that you wrote about me on JF. Je utaliweza sharti hilo? 🙂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom