bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,371
- 3,946
Katika wanachama wote wa jumuiya,nani ndio mnufaika mkubwa kushinda wenzake?Je ni Kenya? au Tanzania?
Na ukiangalia kwa sasa namna hii jumuiya ilivyo hai katika agenda zake ni wazi kua kuna manufaa makubwa ambayo yatatokana na EAC.
Maeneo muhimu yakiwa kwenye sekta ya mindombinu haswa sekta ndogo ya barabara ambayo kwa kiasi kikubwa inategemeana na Bandari za Dar,Tanga,Mombasa,Mtwara Na hata Lamu.Na pia ugunduzi wa mafuta na gesi katika Uganda huu.