Nani ananufaika zaidi na East African Community(EAC)

bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,371
3,936
Katika wanachama wote wa jumuiya,nani ndio mnufaika mkubwa kushinda wenzake?Je ni Kenya? au Tanzania?

Na ukiangalia kwa sasa namna hii jumuiya ilivyo hai katika agenda zake ni wazi kua kuna manufaa makubwa ambayo yatatokana na EAC.

Maeneo muhimu yakiwa kwenye sekta ya mindombinu haswa sekta ndogo ya barabara ambayo kwa kiasi kikubwa inategemeana na Bandari za Dar,Tanga,Mombasa,Mtwara Na hata Lamu.Na pia ugunduzi wa mafuta na gesi katika Uganda huu.
 
Kukosekana kwa Viongozi wenye maono Tanzania kumeifanya siku zote ibaki tu kama msindikizaji kwenye kila kitu.

Kenya wanahitaji Unga wa mahindi badala ya kuhamasisha Watanzania walime kwa wingi usindike unga uuze Kenya unakimbilia kufunga mpaka. Hiyo ni kukosa akili au ni kuwaza kwa makalio.
 
Mbona kama walifunga mahindi ghafi ili yasagwe na kusindika then wapeleke nje unga,PM alisema hivyo.Uongezaji wa thamani ndio ilikua sababu ya ban.
 
Kwa matamshi ndiyo lakini hebu saga Tani zako 20 upitishe Sirari, Namanga, Tarakea, Holili au Horohoro ndio utajua Tanzania ina vikwazo vya kiuchumi dhidi ya wananchi wake haitaki watoke inataka wawe masikini
 
every country can take advantage of the EA community but it seems others are more aggressive than others as my countryman rightly put it....there are many benefits that will come about due to this amalgamation since investors are attracted to large markets and as per now, EA has over 150 mil ppl...therefore a large middle class exists in major cities like Nairobi, Dar, Kigali and Kampala..in aviation, Kenya is benefiting more because of its JKIA airport hub status...tourists who want to come to TZ, UG or Rwanda have to pass through Nairobi first and Nairobi hotels are benefiting a whole lot...the Kenyan carrier KQ and the Mombasa port both serve as the investors' entry into the region..
 
Ethiopia's entry into the community would also be beneficial but the country is very protectionist...
 
Tanzania tends to benefit more thou most of its trades are informal (small scale traders) as it shares borders with 4 countries Kenya benefits more from sectors as aviation,tourism (Kilimanjaro, Serengeti,and the nearby tourist attractions from tz ).. Tz gains a lot than Kenya thats for sure

Rwanda and Burundi benefit more politically and the free movt of people though most of em gain exposure and not financial benefits, South Sudan will begin to benefit when they get rid of civil war.
 
Hakuna anayenufaika kuliko mwingine, maana EAC ina potential nyingi na pana sana ambayo bado hatuja anza kuzitumika vizuri. Kwa mtazamo wangu nadhani tunatumia 5-10% ya uwezo wetu kiuchumi (EAC). Bado ni kikwazo kuwa na mawasikiano bora kutoka nchi moja hadi nyingine ukizigatia hizi ni nchi zilizo pakana. Bado hatuzalishi umeme wa kutosha, chakula bado ni shida maana kinacho zalishwa sehemu moja ya EAC kinaweza kuchukuwa zaidi ya wiki moja kufika sehemi nyingine ndani ya EAC. Bado tunategemea bidhaa nyingi sana kutoka nje, vitu ambavyo tunaweza kuzalisha wenyewe hapa jhapa EAC kuanzia TV, magari, nguo, dawa, mpaka chakula. Siwezi kusema kama kuna nchi moja inanufaika zaidi ya nyingine kwa hivi sasa maana wote bado tunapapasa juu juu tu wala hatujaanza kukuna ile kisawa-sawa.
 
Kenya will benefit more when East Africa Road Network Project along Arusha Moshi Voi road will openly "expose" northern Tanzania to Mombasa Port.
 
What major transport corridor allow larger passage of goods.The northern corridor from Mombasa Kampala Kigali or the central corridor from Dar Moro Singida Nzega Mutukula/Rusumo?
 
Hakuna anayenufaika kuliko mwingine, maana EAC ina potential nyingi na pana sana ambayo bado hatuja anza kuzitumika vizuri. Kwa mtazamo wangu nadhani tunatumia 5-10% ya uwezo wetu kiuchumi (EAC). Bado ni kikwazo kuwa na mawasikiano bora kutoka nchi moja hadi nyingine ukizigatia hizi ni nchi zilizo pakana. Bado hatuzalishi umeme wa kutosha, chakula bado ni shida maana kinacho zalishwa sehemu moja ya EAC kinaweza kuchukuwa zaidi ya wiki moja kufika sehemi nyingine ndani ya EAC. Bado tunategemea bidhaa nyingi sana kutoka nje, vitu ambavyo tunaweza kuzalisha wenyewe hapa jhapa EAC kuanzia TV, magari, nguo, dawa, mpaka chakula. Siwezi kusema kama kuna nchi moja inanufaika zaidi ya nyingine kwa hivi sasa maana wote bado tunapapasa juu juu tu wala hatujaanza kukuna ile kisawa-sawa.
Kweli swala la transport cost bado ni kikwazo,si EAC bali Afrika yote.Japo East African Community Customs Management Act inataka vizuizi vya mzigo vipunguzwe ila bado hali sio ya kuridhisha.

Tanzania ina sekta changa ya viwanda ukilinganisha na jirani yake wa kaskazini Mashariki.Bidhaa nyingi sana za Kenya zilisambaa Tanzania,haswa mikoa ya kaskazini supermarkets shelves zilipendezeshwa na bidhaa toka Kenya.

Na ndio maana Kukatokea mgogoro kati ya hizi nchi sababu ya TZ kuhisi inaliwa.

Kwa wakulima wa mazao ya biashara wanawajua wanunuzi wa Kenya,hivyo vitunguu sijui mahindi,wakulima wote wa tz wanakusanyia mazao yao Kenya then Kenya ndio inayapeleka nje sometimes wakiwa wameyachakata.

Suala la nishati nafikiri Tanzania itakuja kua na inawezekana kua katika nafasi nzuri ikifanikiwa kuunganisha natural gas yake kwenye grid na naona kuna mipango ya kwenda kuuzia gesi majirani zake kama Uganda , Kaskazini Mashariki ya Kongo na Rwanda& Burundi.
 
Everybody will benefits big markets means every seller have more chance to find buyers and and buyers can get better price because of the increased competition.

Free movement of people will help to increase tourism in all countries and more opportunity to find jobs for everybody.

Best education institutions will find more students and students easily find best schools / Colleges and University which offer the best education for affordable price. Therefore benefiting both students and Schools , Colleges and Universities.

Free movement of capital and good will increase efficiency, competition and reduce price for buyers everywhere.

More businesses and jobs will be created. Simply because : - more opportunities to find customers because of the size of the markets.

Stability and Peace: - If our economies depend on each other, we are less likely to fight each other. More likely we will sit on table and find solutions by solving our problems on the table.

Cultural enrichment, lower cost of travels and because we are bigger Institution we can negotiate with other powerful entities EU, China, India and USA from stronger position than if we do as individual countries.

Win win situation for everybody.
 
Kweli swala la transport cost bado ni kikwazo,si EAC bali Afrika yote.Japo East African Community Customs Management Act inataka vizuizi vya mzigo vipunguzwe ila bado hali sio ya kuridhisha.

Tanzania ina sekta changa ya viwanda ukilinganisha na jirani yake wa kaskazini Mashariki.Bidhaa nyingi sana za Kenya zilisambaa Tanzania,haswa mikoa ya kaskazini supermarkets shelves zilipendezeshwa na bidhaa toka Kenya.

Na ndio maana Kukatokea mgogoro kati ya hizi nchi sababu ya TZ kuhisi inaliwa.

Kwa wakulima wa mazao ya biashara wanawajua wanunuzi wa Kenya,hivyo vitunguu sijui mahindi,wakulima wote wa tz wanakusanyia mazao yao Kenya then Kenya ndio inayapeleka nje sometimes wakiwa wameyachakata.

Suala la nishati nafikiri Tanzania itakuja kua na inawezekana kua katika nafasi nzuri ikifanikiwa kuunganisha natural gas yake kwenye grid na naona kuna mipango ya kwenda kuuzia gesi majirani zake kama Uganda , Kaskazini Mashariki ya Kongo na Rwanda& Burundi.

Nakubalina na mengi uliyoyasema hapa, na ni kweli Tanzania kama nchi ina nafasi nzuri ya kunufaika na EAC maana ndio lengo la EAC (kunufausha wanachama wake)

Lakini tukotoka kwenye dhana ya nani anafaidika zaidi ya mwenzake, EAC imefuata muundo wa EU, na wenzetu wa EU wamepunguza kwa kiwango kikubwa sana gharama za kufanya biashara ndani ya EU. Mitaji inahama kutoka nchi moja kwenda nyingine bila kodi au vikwazo. Unaweza kufungua biashara nchi nyingine ndani ya EU bila hata wewe kwenda huko. Japo wenzetu wanauwezo wa kiuchumi na kisomo cha kutosha lakini utaona hata sisi EAC bado tunasafari ndefu ila tuna fursa nzuri ya kufanya maajabu ikiwa wanasiasa wataamza kufikiri kama wafanyabiashara.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom