Jambo la kwanza ambalo unatakiwa kuelewa:
1. Anayeanzisha hayo mahusiano ambaye mara nyingi ni mwanaume na mwanamke anapokea
2. Anayeanzisha hilo hitaji haswa la kula, mara nyingi mwanaume ndie ataanza kumshawishi mwanamke hata kama itikio la mwanamke litakuwa kubwa, kama ulivyosema kuonyesha manjonjo na kila kitu
3. Tendo lenyewe, mchakarikaji mkubwa ni mwanaume hata kama mwanamke ataonyesha jitihada kutokana na muitikio wake, lakini bado matarajio ni mwanaume amfikishe mwanamke kileleni, ushasikia mwanaume analalamika haijafikishwa kileleni?
Na ikitokea mwake hajafika kileleni lawama zinakuja kwa mlaji sio mpishi