ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,023
- 49,076
- Thread starter
- #101
Akuuuuu hiyo kazi yako binti nitue๐๐๐๐
Kamiss biriani hebu fanya ukampakulie au utamwambia ajipimie mwenyewe!!๐
Wangu ananishinda huku ๐๐ผ
Akuuuuu hiyo kazi yako binti nitue๐๐๐๐
Kamiss biriani hebu fanya ukampakulie au utamwambia ajipimie mwenyewe!!๐
Sawa tajiri mkuuSwa tajiri
Msinipeleke niacheni TanganyikaInabidi tukupeleke visiwan, huko nyege zitakwisha
Ndiyo uanze kunitembelea saivi, nisije kuanza kusahau hadi jina lako sasa ๐คWe subiri kutolewa njee uanikwe kwenye jua kama ulezi ๐คฃ
Mambo mazito mazito ila lile tendo kwa kweli liheshimiwe..ndio maana wanauana..mana mtu akiwaza ile mikunjoo..vilioMizungu mingi ๐คฃ
We jifie taratibu nitakuja siku ya msiba ๐คฃNdiyo uanze kunitembelea saivi, nisije kuanza kusahau hadi jina lako sasa ๐ค
We acha tu kinachouma ni mtu akianza kuvuta kumbukumbu anasikia kitu kinanyonga kwenye koo๐ ๐Mambo mazito mazito ila lile tendo kwa kweli liheshimiwe..ndio maana wanauana..mana mtu akiwaza ile mikunjoo..vilio
Kuweni na huruma na Wazee ๐คญWe jifie taratibu nitakuja siku ya msiba ๐คฃ
Yule anikalishe mimi vile halafu aniache hapanaa...ina maana anampa yote yule ๐ ๐ ๐ anamkaliaWe acha tu kinachouma ni mtu akianza kuvuta kumbukumbu anasikia kitu kinanyonga kwenye koo๐ ๐
Huruma sio malezi babu ๐ฅKuweni na huruma na Wazee ๐คญ
Na wanaume huaga mnajifanya inawauma sana hamjui hata kikeni inafurukuta ๐ ๐Yule anikalishe mimi vile halafu aniache hapanaa...ina maana anampa yote yule ๐ ๐ ๐ anamkalia
Mkuu sikiaa kwa mtu...unawaza mikunjo ...fujo fujo...then unaona kweliiii boda anamkunja kuzidi mimi???Kweli jamaa na kitambi anamkunja kama mimi...oyaaaaaaaaNa wanaume huaga mnajifanya inawauma sana hamjui hata kikeni inafurukuta ๐ ๐
Acha hizoooo mrembooo! Kizuri kula na nduguyo!๐๐!Akuuuuu hiyo kazi yako binti nitue
Wangu ananishinda huku ๐๐ผ
Koh koh kohHuruma sio malezi babu ๐ฅ
Kuna kulipana kumbe?Anayelipwa ndiye analiwa, na mlipaji ndiye mlaji...
Usiwe na haraka utayakutaWakubwa mna faidi
Punguzeni imagination ๐คฃMkuu sikiaa kwa mtu...unawaza mikunjo ...fujo fujo...then unaona kweliiii boda anamkunja kuzidi mimi???Kweli jamaa na kitambi anamkunja kama mimi...oyaaaaaaaa