Battor
JF-Expert Member
- Mar 21, 2019
- 2,204
- 3,975
Sema sasa inakuwa complicated sababu sisi ndo tuna dominate mchezo mara vikofi vya hapa na pale, mara mwanamke aililie LAKINI ingekuwa kinyume na hapo basi moja kwa moja hakuna ubishi.Si ndio kinachomezwa kimeliwa