ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,777
- 48,546
- Thread starter
- #161
Masikini weeeNitafanyaje na umri umeshanitupa mkono 🤗
Masikini weeeNitafanyaje na umri umeshanitupa mkono 🤗
Ngoja nipite kando kama farisayo!!!Jamani, si anayeweka kwa mwenzake ikamezwa ndiyo analiwa
Hasa mkielewana faida ipo, ila mkiishi kwa kuviziana huku kila mmoja akitafuta makosa ya mwenzie lile tendo utaliona adhabu kabisaWatu wa ndoani mnafaidi 🤗
Aisee ni matumaini yangu kwako hali ni shwaliHasa mkielewana faida ipo, ila mkiishi kwa kuviziana huku kila mmoja akitafuta makosa ya mwenzie lile tendo utaliona adhabu kabisa
Basi sawa.Sehemu ya uke inameza sehemu ya uume
👍Basi sawa.
Namshukuru MunguAisee ni matumaini yangu kwako hali ni shwali
Hongera sana mkuu furahia wakati wakoNamshukuru Mungu
Dah, nafikiria kuliwa yani ngumu sana kumesa hili neno kwa mwanaume!🥲🥲🤣🤣 baaasii kwisha wewe mkuu
Sisi tulitanguliza furaha yetu mbele, ukabila tukauacha kuleee!Kwa mujibu wa Mila na desturi za kabila letu, ni kosa Mwanamke kumfanya Mwanaume
Sasa mzee mwenzangu "kuzungusha kiuno" tu sio ufundi. Mnaogopana nini!. Inaonekana wewe hujawahi kubanwa vizuri. Kuna namna anakushika huwezi kufurukuta anakukula mpaka akuonee huruma yeye, wakati huo unarusha rusha miguu huko chini kama kuku aliyekatwa kichwa 😆🙌Zaidi zaidi labda ataongeza ufundi kidogo wa kuzungusha kiuno chake chenye shanga 12 basi 🤭
Kizuri kula na mgogo mwenzio.Unaomba nini?
Wewe ni mgogo?
😅😅 Hilo kwetu haiwezekani, nitahisi amenidharau pakubwaSisi tulitanguliza furaha yetu mbele, ukabila tukauacha kuleee!
Ndio maana anaweza kunikunja na nikatii kweli
Kuna ufundi gani siku hizi zaidi ya kufinyiwa ndani, kuimbiwa na maiki pamoja na kumegewa kiunoSasa mzee mwenzangu "kuzungusha kiuno" tu sio ufundi. Mnaogopana nini!. Inaonekana wewe hujawahi kubanwa vizuri. Kuna namna anakushika huwezi kufurukuta anakukula mpaka akuonee huruma yeye, wakati huo unarusha rusha miguu huko chini kama kuku aliyekatwa kichwa 😆🙌
Acha kuwa serious kwa kila kitu mkuu kila mtu ana Uhuru wa kuwa huruMtu una muheshimu vizuri una mkuta kwenye uzi huu ana elezea jinsi anavyo kulana
NSFW!😅😅 Hilo kwetu haiwezekani, nitahisi amenidharau pakubwa
Kuna ufundi gani siku hizi zaidi ya kufinyiwa ndani, kuimbiwa na maiki pamoja na kumegewa kiuno
Unaweza kutana na wanawake 10 wa nyakati hizi, lakini ni mabinti 2 ama mmoja pekee ndiyo utamkuta na hizo skills 🙌
Zamani ilikuwa 10/10 🤭
Kirefu chake ni nini?NSFW!
Not safe for work.Kirefu chake ni nini?
Ndiyo mjue zamani ilikuwa RahaNot safe for work.
Nimesoma hiyo aya ya pili imebidi nishushe koti langu nikae vizuri
G/GWakishiba wote wamekulana safii