Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,725
- 2,410
Mkuu setellite sio lazma kwa internet... hiyo ilikuwa zamani ila sasa sehemu nyingi duniani wanatumia undermarine fiber optic cableAlisema hivyo kwa sababu, kampuni almost zote zinazoratibu mtandao huo wa computer wa dunia (internet) aidha zipo Marekani, Marekani ilihusika katika kuanzishwa kwake, ilikuja kuziweka 'under her captivity' au ilikuja kuzimiliki baadaye, si unajua dunia hii mwenye nacho huongezewa na ubabe ndio unaotawala dunia? Zipo ideas nyingi za uratibu wa internet ambazo USA hakuhusika ila kwa kuwa yeye ni mbabe wa kiuchumi/kijeshi alikuja akaziteka baadaye!
Pia usisahau kuwa miundombinu mikubwa inayounga dunia yote hasa kwenye sekta ya internet ni SATELLITE! Unajua ni nchi gani inayomiliki Satellite nyingi dunia hii? Ni USA Baby!
Mwenye nguvu...................!
Habarini wataalamu
Napenda kujua nani ndie mmiliki wa internet.... I mean pale tunapolipia huduma hii je mtu wa mwisho ktk jumuisho kuu wa makusanyo n nani?
NOTE: Najua maana ya internet vzur, ila napenda kujua mmiliki wa huduma hiii pia anapatikana nchi gani.......?
Nawakilisha
Wao pia wananunua huduma toka kwa watoa huduma wakubwa huko duniani na wanalipa subscriptions kama wewe unavyolipa kwaoLa kujiuliza hizi bando za MBs na GBs wanazipata kwa nani hawa watu wa mitandao???
Internet is a vast connection of computer networks worldwide. kinachotokea ni kwamba wewe dunia nzima kuna servers mbalimbali ambazo watu wanaeka data zao kisha hizo server wanaziconnect kwenye network ili watu wengine from other places waweze kuziaccess, hiyo network ndio inaitwa internet kwakuwa imekusanya network nyingi ndogo ndogo.Habarini wataalamu
Napenda kujua nani ndie mmiliki wa internet.... I mean pale tunapolipia huduma hii je mtu wa mwisho ktk jumuisho kuu wa makusanyo n nani?
NOTE: Najua maana ya internet vzur, ila napenda kujua mmiliki wa huduma hiii pia anapatikana nchi gani.......?
Nawakilisha
All this are Networking infrastructure. Miliki ni huyo ISP holders niliokuonyesha hapo juuMkuu setellite sio lazma kwa internet... hiyo ilikuwa zamani ila sasa sehemu nyingi duniani wanatumia undermarine fiber optic cable
Au jaribu kuGoogle undersea fiber optic au marine fiber optic utapata kila kitu
Ingia kwenye deep web utajuaHabarini wataalamu
Napenda kujua nani ndie mmiliki wa internet.... I mean pale tunapolipia huduma hii je mtu wa mwisho ktk jumuisho kuu wa makusanyo n nani?
NOTE: Najua maana ya internet vzur, ila napenda kujua mmiliki wa huduma hiii pia anapatikana nchi gani.......?
Nawakilisha
uko nondo. ila tofautisha matumizi ya irabu na h. aina-haina, hutakuta hukanusha kitu. kinyume na maana yako kulingqna na sentesinternet aina mmiliki .maana ya internet ni maisha ya jamii ambayo hutakuta kazi zote uchumi,michezo biashara,sanaa,kazi,muongozo,habari n.k mnapo unganika kujua basi yanaitwa mawasiliano na hili mpate mawasailiano lazima mtu hakufikishie mawasiliano .
kumbuka internet ni mali ya jamii na mawasiliano ni mali ya mtu mmoja au wengi
internet na cdm ni vitu viwili tofauti mkuu. GT wanapingana kwa hoja si matusiWeka ukweli au kaa kimya kenge unakuwa kama chadema kazi kupinga bila kutoa mbadala... nyie ni nyani hamtaki kujenga ati tutajenga kesho kila siku msemo huo nyumba haijengwi
Sasa mbona kuna watu wanasema internet haina mwenyewe!! Kama kuna mtu anaweza kuzima internet basi internet ina mwenyewe.alikiwa akimaanisha kuwa atakata mawasiliano yetu na server zilizopo uko kwao kwa disconnect izo backbone cable au fiber optic au kuzui izo setelite zao kutupatia iyo huduma ya internet kumbuka izo setelite zinamilikiwa na wao na pia sis afrika atuna izo setelite nyingi tunategeme kutoka kwao ili afrika kuwa kama kijiji
Kama Trump anaweza kuizima..hilo neno "haina mwenyewe" msiliongee tena hapa.Nimekuelewa pia ikumbukwe kwa sis tunalipia huduma ya internet inayotolewa na izi kampun kama voda ,tigo ila akuna mliki wa intetnet pia usisahu kuwa hata ww ni internet
Jibuni hili, hapa ndio kwenye swali.....yaani tunavyomlipa Voda na yeye anamlipa nani? Mpaka tumjue mtu wa mwisho.Naona watu wanazunguka tu, nauliza kivi nani n mpishi wa data??
Afadhali mkuu wewe umejibu. INTERNET INAMILIKIWA NA MAREKANI.Alisema hivyo kwa sababu, kampuni almost zote zinazoratibu mtandao huo wa computer wa dunia (internet) aidha zipo Marekani, Marekani ilihusika katika kuanzishwa kwake, ilikuja kuziweka 'under her captivity' au ilikuja kuzimiliki baadaye, si unajua dunia hii mwenye nacho huongezewa na ubabe ndio unaotawala dunia? Zipo ideas nyingi za uratibu wa internet ambazo USA hakuhusika ila kwa kuwa yeye ni mbabe wa kiuchumi/kijeshi alikuja akaziteka baadaye!
Pia usisahau kuwa miundombinu mikubwa inayounga dunia yote hasa kwenye sekta ya internet ni SATELLITE! Unajua ni nchi gani inayomiliki Satellite nyingi dunia hii? Ni USA Baby!
Mwenye nguvu...................!
Mkuu uwe unafikiri.Internet haimilikiwi na mtu ni Huduma kama barabara ,maji , umeme , n.k
Kuhusu gharama anaetoa Huduma hiyo ndio mnufaika.
Kwa nilivyoelewa mimi Swali la nani Mmiliki wa DATA au Msambazaji Mkuu??Mkuu uwe unafikiri.
1. Barabara zinamilikiwa na serikali na ndio maana kuna sheria mbalimbali ukiharibu barabara kuna mtu wa kukushitaki(serikali)
2. Umeme unamilikiwa naTanesco kila mtu anajua. Hata ule wa pale Tegeta tunajua mmiliki wake ni IPTL na tunamlipa hela tukituma umeme wake. NIAMBIE INTERNET INAMILIKIWA NA NANI, NANI TUNAMLIPA HELA (usiniambie voda,tigo)