S
Small minds discuss people great minds discuss issues.Jamaa aliulizia profile ya Generali sasa wewe inakuuma nini?
Small minds discuss people great minds discuss issues.Jamaa aliulizia profile ya Generali sasa wewe inakuuma nini?
Nadhani tunahitaji kutathimini kazi zake, zikiwa mbaya ndo tutafute Elimu yake. Kama kazi zake ziko poa basi hata akiwa na Elimu ya Chekechea haina shida.Hivi mwandishi wa magazeti hapa Bongo ajulikanaye kama Ulimwengu ana Elimu gani? Kwa maana hakuna mahali ninapoweza kusoma elimu yake, isijekuwa ni Mbowe type!
Kama wewe ni kweli una masters basi hii nchi haitokaa ipate maendeleo kamwe kama tuna wasomi wenye akili ndogo kama wewe.Generali Ulimwengu ni nick name huyu bwana anaitwa "Twaha" ni mhaya wa kamachumu, Muleba mkoa wa Kagera.
Shule ya Msingi amesoma Kamachumu
Secondary amesoma "Ihungo" na ndiko alipopata Jina la Generali Ulimwengu.
Nimesoma naye "Masters" 1992/94 pale UDSM "Media management" akiwa tayari na B-Law ya hapo hapo mlimani.
Alikuwa kwenye programe ya Phd 2001 nisijue aligraduate lini?
Mtu anayelipwa for cheap propaganda kama wewe unayeshinda mitandaoni kupost umbea na majungu in the name of kutetea ccm sidhani kama una credibility ya kuhoji elimu za watu wengine let alone Ulimwengu!Hivi mwandishi wa magazeti hapa Bongo ajulikanaye kama Ulimwengu ana Elimu gani? Kwa maana hakuna mahali ninapoweza kusoma elimu yake, isijekuwa ni Mbowe type!
Missing the point...Na wewe una PHD nini? Naona Bongo hakuna kazi ni ku worship PHD tu. Wakati mnaendelea ku worship PHD nchi za wenzenu zinaendelea. Kagame naye ana PHD eeh? Acheni ushamba jamani mnatia aibu. Bahati nzuri hizi comments zinaandikwa kwa kiswahili, ingekuwa kwa kiingereza naona watu wange tuchora sana.
Ni maajabu mtu anajifanya mchambuzi wa Siasa za Tanzania halafu hamjui Jenerali UlimwenguNyie watoto mna matatizo sana! Mnatia shaka kwa mtu kama Jenerali kuwa msomi? Really? Anaweza kuwa na mapungufu mengine kama binadamu yeyoye lakini sio elimu katika anachokisimamia!
Kuulizia si shida lakini angalia alivyomalizia swali lake- unategemea ajibiweje?Mtu kuomba au kujua elimu ya mtu sio kosa na watu wamekosa busara
Anaeza kua ni mtu ambae amefauraishwa na makala za jeneral ulimwengu akaona ni mtu wa namna gani huyu ndio mana akataka amfahamu vizuri kielimu
Watu wa mlengo huu wa kisiasa mnakatisha tamaa hata watu wanàopenda kujadili mambo bila ushabiki, hivi mtu akitoa mawazo yenye kukosoa utendaji wa MTU Wa upande wenu ndo chanzo cha kuanza kutafuta elimu yake, uraia wake, familia yake, marafiki zake, vinywaji anavyopendelea na nini sijui.? Watu wenye Id za sehemu tunazoziheshimu kama yako hukupaswa kuwa na mawazo ya ovyo kama hayo, au umekosoa jina lako halina "wi" baada ya "m"? Na wewe tuanze kutafuta ulisoma shule gani maana umeandika "Generali" badala ya General au Jenerali!! Hatuna Generali kwenye lugha ya kiswahili. Hivi Mara siku hizi wanazaliwa watu Wa aina yako kweli? Masikini Mara!! Ulikuwa unazalisha Viongozi na watu wenye maono Leo "unatotoa" wambea na wachimba chumvi wanaotafuta kasoro za watu badala ya kufanyia Kazi au kukosoa kwa hoja mawazo yao!!? Kama unahusudu umbea badilisha ID uwafuate waliozoea Kazi hiyo, usiwadhalilishe watu jasiri Wa Mara vinginevyo tutakuita m**senge1993 ili uendane na mawazo yako. Haya; "Mzee Ulimwengu ni darasa la 8, hana mke , ana hawala 2, anapendelea konyagi na mvinyo wa Kirusi, hana Kazi maalum, anàongea baadhi ya maneno ya kiingereza kwa sababu alikaa karibu na ubalozi Wa Uingereza" Haya ndo ulikuwa huyajui juu yake.
Umeandika hivi makusudically because all you questions have already been answered!Ndalama you are not right, knowledgeable how? Talk of the talking? Huyu ni Mbowe type tu. Si unaona huwa ni mlopokaji tu na hajui kujenga hoja. Kama angekuwa na elimu ya ukweli, CV yake ingekuwa inajulikana na hata chuo alichohitimu kingejulikana na watu aliosoma nao wangejulikana na gata walimu waliomfundisha wangejulikana. Hili jamaa ni KIHIYO.
Ana elimu kama yako..Hivi mwandishi wa magazeti hapa Bongo ajulikanaye kama Ulimwengu ana Elimu gani? Kwa maana hakuna mahali ninapoweza kusoma elimu yake, isijekuwa ni Mbowe type!
Mkuu na ww PHDMwenye/wenye PhD vipi is /are they performing to satisfaction of a PhD holder?
Sina, nina bachelor of science with EducationMkuu na ww PHD
Hongera sanaSina, nina bachelor of science with Education