Nani anajua elimu ya mwandishi Ulimwengu?

Unaweza kuhoji makala zake, lakinj unapohoji elimu ya Jenerali Ulimwengu unaonyesha ni jinsi gani ulivyokuwa mteke kwenye siasa za Tanzania na historia ya ukombozi kusini mwa Afrika. Ulimwengu ni mhitimu wa chuo kikuu dar es salaam na amejiendeleza sehemu mbalimbali duniani.
 
..amehitimu shahada ya SHERIA toka Udsm.

..lakini pia ni mtu anayependa kujisomea sana, na ni mmoja kati ya waandishi wa habari nguli hapa Tz na Afrika Mashariki.
Mjengwa alishawahi kunipigia simu akisema yeye sio muandishi wa habari bali ni mwandishi wa makala......kama hii ni kweli basi Generali sio muandishi wa habari
 
Mjengwa alishawahi kunipigia simu akisema yeye sio muandishi wa habari bali ni mwandishi wa makala......kama hii ni kweli basi Generali sio muandishi wa habari

..kweli kabisa.

..hata mimi sikuwa 100% comfortable nilipoandika Jenerali ni mwandishi wa habari.

..hapa umenisaidia ndugu yangu, na nakushukuru kwa hilo.
 
Back
Top Bottom