Nani anajua elimu ya mwandishi Ulimwengu?

Hivi mwandishi wa magazeti hapa Bongo ajulikanaye kama Ulimwengu ana Elimu gani? Kwa maana hakuna mahali ninapoweza kusoma elimu yake, isijekuwa ni Mbowe type!
Nadhani tunahitaji kutathimini kazi zake, zikiwa mbaya ndo tutafute Elimu yake. Kama kazi zake ziko poa basi hata akiwa na Elimu ya Chekechea haina shida.
 
Screenshot_2017-01-01-12-03-11.png

Generali ulimwengu
 
Kwa mfano ukiambiwa ni form failure utafanyaje sas??kwamba kila alichokifanya na anachokifanya kwenye tasnia ya habari ni pumba au!!??
 
I am Jenerali Ulimwengu, born in 1948 in Ngara, Kagera. I got my early education entirely in Bukoba, first at Khamsa Swalawat Muslim Primary School, Kamachumu (1955-1958); then at CMS Middle School, Katoke (1959-1962); after which I joined Nyakato Secondary School(1963-1966) and Tabora Boys’ (1967-1968). In July 1969, after National Service (Nachingwea and Mafinga (January-June) I entered the University of Dar es Salaam where I studied Law.
sW5wpSlrZuy.png

Awards
LLB Hons (UDSM) 1972
 
Generali Ulimwengu ni nick name huyu bwana anaitwa "Twaha" ni mhaya wa kamachumu, Muleba mkoa wa Kagera.
Shule ya Msingi amesoma Kamachumu
Secondary amesoma "Ihungo" na ndiko alipopata Jina la Generali Ulimwengu.
Nimesoma naye "Masters" 1992/94 pale UDSM "Media management" akiwa tayari na B-Law ya hapo hapo mlimani.
Alikuwa kwenye programe ya Phd 2001 nisijue aligraduate lini?
Kama wewe ni kweli una masters basi hii nchi haitokaa ipate maendeleo kamwe kama tuna wasomi wenye akili ndogo kama wewe.

Jenerali Ulimwengu ni nick name? Unajuwa maana ya nick name?

Hata waliosoma na Jakaya Kikwete walimjuwa kwa jina la Khalfani, unajifanya mjuwaji kumbe hujui lolote hovyoooo.
 
Nyie watoto mna matatizo sana! Mnatia shaka kwa mtu kama Jenerali kuwa msomi? Really? Anaweza kuwa na mapungufu mengine kama binadamu yeyoye lakini sio elimu katika anachokisimamia!
 
Hivi mwandishi wa magazeti hapa Bongo ajulikanaye kama Ulimwengu ana Elimu gani? Kwa maana hakuna mahali ninapoweza kusoma elimu yake, isijekuwa ni Mbowe type!
Mtu anayelipwa for cheap propaganda kama wewe unayeshinda mitandaoni kupost umbea na majungu in the name of kutetea ccm sidhani kama una credibility ya kuhoji elimu za watu wengine let alone Ulimwengu!
 
Na wewe una PHD nini? Naona Bongo hakuna kazi ni ku worship PHD tu. Wakati mnaendelea ku worship PHD nchi za wenzenu zinaendelea. Kagame naye ana PHD eeh? Acheni ushamba jamani mnatia aibu. Bahati nzuri hizi comments zinaandikwa kwa kiswahili, ingekuwa kwa kiingereza naona watu wange tuchora sana.
Missing the point...
 
Mtu kuomba au kujua elimu ya mtu sio kosa na watu wamekosa busara
Anaeza kua ni mtu ambae amefauraishwa na makala za jeneral ulimwengu akaona ni mtu wa namna gani huyu ndio mana akataka amfahamu vizuri kielimu
Kuulizia si shida lakini angalia alivyomalizia swali lake- unategemea ajibiweje?
Watu wa mlengo huu wa kisiasa mnakatisha tamaa hata watu wanàopenda kujadili mambo bila ushabiki, hivi mtu akitoa mawazo yenye kukosoa utendaji wa MTU Wa upande wenu ndo chanzo cha kuanza kutafuta elimu yake, uraia wake, familia yake, marafiki zake, vinywaji anavyopendelea na nini sijui.? Watu wenye Id za sehemu tunazoziheshimu kama yako hukupaswa kuwa na mawazo ya ovyo kama hayo, au umekosoa jina lako halina "wi" baada ya "m"? Na wewe tuanze kutafuta ulisoma shule gani maana umeandika "Generali" badala ya General au Jenerali!! Hatuna Generali kwenye lugha ya kiswahili. Hivi Mara siku hizi wanazaliwa watu Wa aina yako kweli? Masikini Mara!! Ulikuwa unazalisha Viongozi na watu wenye maono Leo "unatotoa" wambea na wachimba chumvi wanaotafuta kasoro za watu badala ya kufanyia Kazi au kukosoa kwa hoja mawazo yao!!? Kama unahusudu umbea badilisha ID uwafuate waliozoea Kazi hiyo, usiwadhalilishe watu jasiri Wa Mara vinginevyo tutakuita m**senge1993 ili uendane na mawazo yako. Haya; "Mzee Ulimwengu ni darasa la 8, hana mke , ana hawala 2, anapendelea konyagi na mvinyo wa Kirusi, hana Kazi maalum, anàongea baadhi ya maneno ya kiingereza kwa sababu alikaa karibu na ubalozi Wa Uingereza" Haya ndo ulikuwa huyajui juu yake.
 
Ndalama you are not right, knowledgeable how? Talk of the talking? Huyu ni Mbowe type tu. Si unaona huwa ni mlopokaji tu na hajui kujenga hoja. Kama angekuwa na elimu ya ukweli, CV yake ingekuwa inajulikana na hata chuo alichohitimu kingejulikana na watu aliosoma nao wangejulikana na gata walimu waliomfundisha wangejulikana. Hili jamaa ni KIHIYO.
Umeandika hivi makusudically because all you questions have already been answered!
 
Katika watu ninao waheshimu na kutambua michango yao katika nchi ya Tanganyika jenerali ulimwengu ni mmoja wapo. Kama ningekuwa mnigeria ningekuwa namwita "igwee" kuonyesha heshima yangu kwake. Siasa za majitaka zinatupofusha macho zinatufanya tushindwe kuona michango ya viongozi wetu waliyotangulia.
 
Back
Top Bottom