Mbasembase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,056
- 4,608
Mbona mzee wa shanga mlimuandama wakati na yeye ni mkurugenzi mtendaji na mwandishi nguli pia muajiliwa wa Twaha wakati fulani. Hapa JF ni jadi yetu kuhoji elimu za watu mpaka marais hivyo sioni sababu ya huyu mtoa mada kushambuliwa kama mna CV ya Twaha iwekeni kama zinavyowekwa zinginetuanze hapa
lipumba ana elimu gani ?
kipanya masoud ana elimu gani ?
kusoma kuelewa sio kupanda vidato