deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 520
Habar wadau,Chanel tajwa hapo juu siioni kwenye kisimbuzi changu huko wenzangu kulikoni?
Hata kwangu leo kama siku ya 3 haipo
Wametoa wamepeleka azamHabar wadau,Chanel tajwa hapo juu siioni kwenye kisimbuzi changu huko wenzangu kulikoni?
Bora ikakae huko maana ilizidi kujipendekeza ccm! But ngoma ataumia sana kwa kutazamwa na watu wachache!Haipo imehamia Azam tv.
Wasubili wajuzi watakuja kukujuzaSiku ya tatu leo siioni clouds tv katika king'amuzi cha startimes ,tatizo nini?
Watuweke wazi kama imeondolewa tujue mojaHao jamaa wapo kibiashala,labda wameona startime ailipi.
Mie Jana asubuhi nimetizama clouds live, lakini kufika mchana hio Jana, siku ya moto Moro nikataka nione urushaji wao wa matukio nikaona empty 497 haipo WAMENIUDHIHabar wadau,Chanel tajwa hapo juu siioni kwenye kisimbuzi changu huko wenzangu kulikoni?