Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,252
- 125,002
East African Got TalentHivi kuna kipindi kipi kizuri clouds [emoji848]
East African Got TalentHivi kuna kipindi kipi kizuri clouds [emoji848]
Serious????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Wamejiondoa Startimes. Wako DSTV na AZAM
Ndiyo mkuu, hawatapatikana tena startimesSerious????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Nunua azam auta jutiaHabar wadau,Chanel tajwa hapo juu siioni kwenye kisimbuzi changu huko wenzangu kulikoni?
Zamu yao kula chunga,muwe wavumilivu Kama sisi tulivyokawa wavumilivu.Jamaa wakoa kibiashara na walishawai lalamika kuwa kuondolewa kwao Azam kuliwayumbisha kibiashara Sasa wamepata nafasi wameondoka Mazima.Nunua azam auta jutia
Naaam,kama mpenzi Chanel za burudani itakua pigo sana siye tusiopenda burudani sana hakuna shidaZamu yao kula chunga,muwe wavumilivu Kama sisi tulivyokawa wavumilivu.Jamaa wakoa kibiashara na walishawai lalamika kuwa kuondolewa kwao Azam kuliwayumbisha kibiashara Sasa wamepata nafasi wameondoka Mazima.
Kinahusu nini hasa?East African Got Talent
Poleni sana wadau wa Star times , sisi huku Azam TV mambo Ni Moto. Clouds kwa raha zetu.Wametoa wamepeleka azam
Teh teh teh....haya wapenda ubuyu kazi kwenu..Poleni sana wadau wa Star times , sisi huku Azam TV mambo Ni Moto. Clouds kwa raha zetu.