Nani anafahamu jinsi ya kusali Novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anisaidie?

Habari zenu watu wa Mungu,

Naomba mwenye kufahamu namna ya kusali/kufunga novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anipe maelezo yake jinsi ya kufanya.

Natanguliza shukrani.
Unatakiwa ufunge huku unasali,weka list ya mambo unayotaka yatimie kwenye karatasi and be specific unataka nini hasa maana unachoomba Mungu ndicho unachopata,mfano kjpona maradhi ya moyo,kurudisha amani na upendo kwenye ndoa yangu nk.ama unaweza eka shida moja ndo uiombee hadi mwisho
Kabla ya yote siku ya mwanzoni funga yako uombe toba na rehema na msamaha wa dhambi zako
Achilia vinyongo na waliokukosea samehe.
Mfungo si unaweza kuwa siku 9.ndani ya siku unaweza kufunga kwa kadri ya uwezo wako mfano mwisho saa 12,ama tatu kavu unaenda.
Ndani ya siku moja usali hiyo novena mara 15.unaingia faragha unasali kisha unaendelea na mambo mengine.hakikisha mara 15

Uwe unasali kwa moyo wako wote na kwa kumaanisha.
Kurahisha zaidi toa sadaka,toa sadaka hata kwa yatima ni sadaka.ni lazima hili

MFUNGO,MSAMAHA,SADAKA zingatia haya

Mi nliipata hii mahali na watu wanajibiwa.sema nina uvivu natarajia kuanza siku.
 
Nina PDF yake sema ndio nataka kufahamu unaitumiaje. Ya siku 9 nafikiri ndio itanifaa, hii inakuwaje?
hii sala ina jibu kwa wanaoamini, sali kwa imani ukiambatana na kufunga/kujinyima na kutoa sadaka kwa kile unachojinyima, kutoa sadaka sio lazima iwe kanisani, toa kwa wahitaji.
 
Attachments

  • novena-kwa-mt-rita-wa-kashia-omjg68 (1).pdf
    534.5 KB · Views: 44
  • novena-kwa-mt-rita-wa-kashia-omjg68.pdf
    534.5 KB · Views: 32
Nina PDF yake sema ndio nataka kufahamu unaitumiaje. Ya siku 9 nafikiri ndio itanifaa, hii inakuwaje?
Kama unaweza kufunga funga hata 3days nzima omba toba
Week inayofata Anza kusali novena muda ule ule mf usiku tu
Jitahidi wakati wa novena kuepuka vikwazo na dhambi
Unaweza kuwa na Nia kadhaa kwenye novena zitoe zote wakati wa novena

Haikwepeshi hiyo novena
Kila la heri
 
Unatakiwa ufunge huku unasali,weka list ya mambo unayotaka yatimie kwenye karatasi and be specific unataka nini hasa maana unachoomba Mungu ndicho unachopata,mfano kjpona maradhi ya moyo,kurudisha amani na upendo kwenye ndoa yangu nk.ama unaweza eka shida moja ndo uiombee hadi mwisho
Kabla ya yote siku ya mwanzoni funga yako uombe toba na rehema na msamaha wa dhambi zako
Achilia vinyongo na waliokukosea samehe.
Mfungo si unaweza kuwa siku 9.ndani ya siku unaweza kufunga kwa kadri ya uwezo wako mfano mwisho saa 12,ama tatu kavu unaenda.
Ndani ya siku moja usali hiyo novena mara 15.unaingia faragha unasali kisha unaendelea na mambo mengine.hakikisha mara 15

Uwe unasali kwa moyo wako wote na kwa kumaanisha.
Kurahisha zaidi toa sadaka,toa sadaka hata kwa yatima ni sadaka.ni lazima hili

MFUNGO,MSAMAHA,SADAKA zingatia haya

Mi nliipata hii mahali na watu wanajibiwa.sema nina uvivu natarajia kuanza siku.
Nashukhuru sana bwana na mimi, kufunga inabidi nianze kufunga saangapi na mda wa kula uwe saa ngapi?
 
Asante sana, nakuombea ubarikiwe kwenye kila nia yako.
 
Nashukhuru sana bwana na mimi, kufunga inabidi nianze kufunga saangapi na mda wa kula uwe saa ngapi?
Nilivyomuelewa kufunga kwa kadiri unavyoweza kujinyima. Unaweza funga mpaka saa 12 jioni ukafungua kwa siku 9.
 
Back
Top Bottom