COVID-19Wampe yule mke wa kafulila
COVID-19Wampe yule mke wa kafulila
Kwanza unajuwa ana kesi za jinai ngapi mahakamani? Akiongezewa na hii ya kugushi si jela hiyo?Anakuwa mbunge wa Mahakama kwa miaka mitano,
Hapo yy anakuwa amepata faida kuliko ww wala chadema
Sawa hilo ni la kwake..hata akiwa mbunge wa kudumu wa mahakama na Ndugai hadi astaàfu atajua mwenyewe, cha msingi sisi TUMESHAMTIMUA.Anakuwa mbunge wa Mahakama kwa miaka mitano,
Hapo yy anakuwa amepata faida kuliko ww wala chadema
Ukapata faida gani na familia yako?Sawa hilo ni la kwake..hata akiwa mbunge wa kudumu wa mahakama na Ndugai hadi astaàfu atajua mwenyewe, cha msingi sisi TUMESHAMTIMUA.
We unapata faida gani kulamba kengele za jamaa ?Ukapata faida gani na familia yako?
Yule utoto mwingi bado maturedApewe dada.. Newton
Mkuu wako ukumbi gani.Subiri press ya Mdee J2
Yule dada wa Geita Pendo Peneza..anafaa kwa nafasi hiyoHilda Newton au Yoseph Komba ndio wanaofaa na hiyo nafasi
Susan Kiwanga atoshaWakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki, bila kupoteza muda Kamati kuu ya CHADEMA baada ya kutimua wasaliti, imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja, jambo ambalo naliunga mkono .
Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi.
Natanguliza Shukrani.
CHADEMA Ina hazina mpya tele. Apewe Yosta Komb
Ndo naniIkishindikana apewe Mrs. Amsterdamu