- Thread starter
- #81
Inahitaji wanasheria wa Katiba na Haki za Binadamu kama Issa G. Shivji na Chris Maina Peter ila nahisi JK atampa Palamagamba Kabudi!
Chris maina anaweza kuwa mwenyekiti, makamu mwenyekiti atatoka Zanzibar au vice versa
Inahitaji wanasheria wa Katiba na Haki za Binadamu kama Issa G. Shivji na Chris Maina Peter ila nahisi JK atampa Palamagamba Kabudi!
nimekumbuka jaji dorado vp ?
nnadhani kama anatufaa tena ni mweledi sana wa sheria