Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,694
- 3,982
Usifananishe heroism na stupidity thEse are two different wordsKama haujapita hata mafunzo ya skauti kaa kimya!
The guy real played as a hero! Kudos askari
Usifananishe heroism na stupidity thEse are two different wordsKama haujapita hata mafunzo ya skauti kaa kimya!
The guy real played as a hero! Kudos askari
Huyu alikua hajitambui kabisaaaa, alikua kama anatishia nyau.Sijamwelewa kabisa huyu askari hii mbinu ya kumsogelea mhalifu hatari bila kuchukua tahadhari, utafikiri anamvizia mtu mwenye kisu ndio maana akatandikwa.
View attachment 1908287
View attachment 1908288
Alikimbia kijinga sana.Ila ilikuwa ni reckless move, hata alipoanza kukimbia, jamaa angekuwa serious kidogo, huyo shujaa asingekuwepo sasa.
Waliokuwa wanamfanyia covering walikuwa wanapiga off-target by far na pengine wakimlenga yeye wakidhani ndo wanam-cover
Angalau umetoa neno la faraja. Kuna kunguni humu sijawaelewa wanaposema eti alikuwa fara kwa kumsogelea adui.Huyu askari kama yu hai apewe nishani ameonesha utayari wa kufa kwa ajili ya wengine.
nina uhakika polisi waliokuwa pale walikuwa hawamwelewi kwa ishara wao ni kupigapiga risasi ovyooovyoohuyu alikuwa sawa! wa kulaumiwa ni kampuni yake cha kwanza kwa kutompa bullet proof jacket.Lakini pia sheria za makampuni Binafsi za Ulinzi Tanzania zimepitwa na wakati.na kingine Tanzania bado atujawa na Ugaidi au Ujambazi kama Sauz na Kenya! lakini Kamanda was doing his Job kisawasawa na alikuwa anawasiliana kwa Ishara zote kama askari alie kwenye uwanja wa vita.Pitia Video yake na angalia alitumia ishara ngapi kati ya hizi
View attachment 1909973
View attachment 1909974
n mjinga hata kwenye movie sijawahi ona hii kituWatu wameshiba ugali maharage basi wapo nyuma ya keyboard zao wanatema ujinga. Muulize mtu kama ameshawahi kusikia mlio wa risasi just 20m away.
He did what he did, hongera kwake!
Kweli asee! Asiishie kwenda bungeni tu.Huyu askari kama yu hai apewe nishani ameonesha utayari wa kufa kwa ajili ya wengine.
Wabongo kwa uchambuzi tuko vizuri. Vita za mdomoni tunashinda asubuhi tu.Ila ilikuwa ni reckless move, hata alipoanza kukimbia, jamaa angekuwa serious kidogo, huyo shujaa asingekuwepo sasa.
Waliokuwa wanamfanyia covering walikuwa wanapiga off-target by far na pengine wakimlenga yeye wakidhani ndo wanam-cover😅
Ha ha mkuu Inaonesha wewe ni mwalimu wa KingerezaSiyo kweli. Inaonekana wewe hata JKT hujapitia. Siyo kazi ya askari kujipeleka peleka ovyo. Wamejifunza mbinu za kivita/mapambano/kukabiliana na adui. Siku nyingine ukitaka kuandika kiingereza, andika hivi "He is a national hero. He did what a true soldier is expected to do. Kilangila.
hakuna hero hapo mzee,He is the Nation Hero. He did what a true soldier expected to do
io Tear gas alilusha mda gani mzee baba??Ndiye aliyemrushia tear gas ndio akatoka kwenye kibanda baada ya kuzidiwa na moshi.
UmemalizaHuyu Sio atakua huyo wanayedai mlinzi wa kampuni binafsi aliyeuwawa?
Watu Chuma sijui wanaichukuliaje, kama ni hio badge wanivue tuu ila mbele ya chuma Sitaki unifundishe uzalendo bora nionekane kunguru..kaacha Dona kizembe sana...
Nishauri kotee ila Ikifika mahala options ni kifo au uhai, sitaki ushauri.
hilo jamaaa ni lijinga sanaa ....kafa kwa uzembe hata FBI au polisi kokote hawawez fanya hyo mbinu ...yani unapiga risasi km vile hamza ana mawe
Watu wameshiba ugali maharage basi wapo nyuma ya keyboard zao wanatema ujinga. Muulize mtu kama ameshawahi kusikia mlio wa risasi just 20m away.
He did what he did, hongera kwake!
Wabongo kwa uchambuzi tuko vizuri. Vita za mdomoni tunashinda asubuhi tu.
LIVE ndio zero kabisa
Ni kweli mkuu yeye alijitolea ili wenzie waione target kwa urahisi na kushambulia lakini wakafanya chini ya kiwango(jamaa alitoka mara mbili ila akapigwa off target mara kibao) n ibora wangetumia fire and movement palepale kwenye kibanda alipojificha nadhani asingetoboa.Katika Jeshi, huyu ni Hero....!
Yeye ndiye aliemtoa mhalifu alikojificha kwa kumrushia Bomu la machozi (Disgusting/Tear gas)
Mwanajeshi kufa au kuua vitani ni ushindi sio Woga, angekuwa mwoga angelala nyumbani au angegoma kuingia katika mapambano
THINK
Hana lolote sema basi tu.Hamza mwanaume n nusu
mkuu,Ni kweli mkuu yeye alijitolea ili wenzie waione target kwa urahisi na kushambulia lakini wakafanya chini ya kiwango(jamaa alitoka mara mbili ila akapigwa off target mara kibao) n ibora wangetumia fire and movement palepale kwenye kibanda alipojificha nadhani asingetoboa.
Nadhani askari wetu hawajazoea mambo haya ya mapambano, so walijawa na mtero(mawenge/woga) ndo maana walifanya chini ya kiwango ila yote kwa yote tuwashukuru sana mission ilikamilika.Sema hao askar wengine walishindwa kumpa support,kama kungekua na sniper jamaa alivotokeza tu kichwa wange mtandika,na kumsaidia huyo mwenzao,ila jamaa alienda kizembe sana halafu anakimbia anageuka nyuma.Huyo askar alifanya kazi nzur sana japo hakua na tahadhari ya kutosha kama kulikua na mduangaji mzur game ilikua inaisha first half tu..Jamaa mpaka ametoka pale ameenda katikat ya barabara alikoswa na risas nyingi sana,ina maana askar wetu hawana shabaha nzur,risas ni nyingi sana zilizo mkosa..