Huyu Sio atakua huyo wanayedai mlinzi wa kampuni binafsi aliyeuwawa?

Watu Chuma sijui wanaichukuliaje, kama ni hio badge wanivue tuu ila mbele ya chuma Sitaki unifundishe uzalendo bora nionekane kunguru..kaacha Dona kizembe sana.
Kwamba kaacha dona kizembe
 
Mi naona kosa sio la huyo Askar alikuwa na nia nzuri na plan ilikuwa nzur kosa lilikuwa watoa cover wali delay sana na hakukua na mashambuliz mfululizo .. na walipashwa welenge ndan ya kibanda kumlazimisha jamaa alale chini.. ila wao walikuwa wanapiga ukutan nje na pembeni .. had jamaa ananyanyuka na kumshoot jamaa

unaona kabisa kwenye clip jamaa had anamchungulia askar ili ampige.. Askari wa kutoa cover wetu ndo kidogo waliteleza au cordination kati yao haikuwa nzuri
 
Kuna watu mlio wa risasi anaishia kuusikia kwenye magame huko online, lakini anakuja hapa kumkejeli mtu aliyejitolea kuingia katikati ya milio ya risasi kwa faida ya wengi. Pia ieleweke kwa askari kufa kwa risasi ni sehemu ya maisha yake bila kujali kuna uzembe au hakuna.
watu kwa kukosoa wapo vizuri
 
Sijamwelewa kabisa huyu askari hii mbinu ya kumsogelea mhalifu hatari bila kuchukua tahadhari, utafikiri anamvizia mtu mwenye kisu ndio maana akatandikwa.

View attachment 1908287

View attachment 1908288

Yule mshukiwa wa ugaidi aliyeuliwa Jana ni nani?

-za chini chini na uchunguzi wangu niliokesha nao nimegundua huyu kijana ametokea familia ya madini.

-Baba yake alikuwa na mgodi chunya na mpaka anakufa hakufaidika na mgodi huo lakini pindi alipolifa ndipo neema ilianza kuwadondokea warithi.

-walitokea wachina na kununua kipande chao kieneo na walinunua kwa kiasi kikubwa cha pesa na hapo ndipo walipoenda kununua majengo upanga nk.



Inasemekana juzi kijana huyu alifanya biashara ya dhahabu na mmoja wa mteja na alipovutwa yule jamaa akishirikiana na polisi walimnyanganya Mali zile na kumpa vitisho...huenda alishindwa kuzuia hasira zake japo haiwezi kuwa sahihi moja kwa moja


Kuna mengi kwenye hili fukuto tuachie vyombo vya usalama watupe majibu sahihi


Tayari ndugu zake wawili kutoka chunya wamesafirishwa

Polisi ndio wahusika wakuu ktk drama hii. Ndugu wa huyo kijana watapata shida kubwa ktk juhudi ya polisi kuficha uhusika wao. Mwanamke shuhuda wa tukio hili anasimulia mtuhumiwa aliuawa akiwa amepiga magoti na amenyanyua mikono juu kuonesha amesalimu amri.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sijamwelewa kabisa huyu askari hii mbinu ya kumsogelea mhalifu hatari bila kuchukua tahadhari, utafikiri anamvizia mtu mwenye kisu ndio maana akatandikwa.

View attachment 1908287

View attachment 1908288
Chuo cha polisi wanakata miezi 9, wakati fulani wa uchaguzi walikaa miezi 3, sana walifundishwa kufunga boot na kupiga salute.Polisi imeahidi kutoa taarifa baada ya uchunguzi. Wakati matokeo bado, mkuu wao kesha hitimisha linahusika na uwepo wa askari wetu Msumbiji.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Chadema ndio magaidi, maana wangevaliwa kila kifaa cha kujikinga na magari ya mabomu. Ila gaidi halls tunalifuata kama tunaenda chooni! Weledi wa majeshi yetu ni uonevu tu.
'Gaidi' kanyamazishwa na polisi ili tupokee habari za upande mmoja tu, polisi na serikali yake. Ukweli halisi sio rahisi kumfikia Raisi, akizipata atasoneneka sana na utendaji wa PT kuliko jana alivyo kuwa anawasuta kwenye kikao chale.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Swali la kizushi, walipokonywa au walikimbia na kuziacha silaha ? Kama walikimbia na kuacha silaha basi hawafai kuitwa askari na wavuliwe vyeo vyote, anaytakiwa kupnadishwa vyeo ni waliojitolea mhanga kupambana face to face na mhalifu haswa yule aliyemsogelea mhalifu kwa ukaribu zaidi, japo ilikua ni njia ya hatari sana na hakuifanya kwa umakini, japo ilizaa matunda kwa mhalifu kutoka nje ya kibanda kwa kuzidiwa na tear gas.
Hawakukimbia ila shuhuda, ndugu yangu huyu anayeishi hapo mjini Dar' salaam alinambia kwamba Hamza alishuka kwenye boda akaelekea kwenye kibanda ambacho askari walikuwepo,akajifanya mtu salama anayehitaji msaada wa kipolisi suddenly akatoa pisto na kuwashambulia.Achana na sudden attack(ambushi) aisee mbinu zote huwa zinapotea.Poleni sana polisi wetu.
 
Hakuwa na sababu ya kutoka lile eneo na kumpa kisogo yule muuaji

Alitakiwa abaki pale pale huku akimuwinda iliotokea sura amlipe
Kukimbia kwake limemsababishia madhara makubwa
 
Hawakukimbia ila shuhuda, ndugu yangu huyu anayeishi hapo mjini Dar' salaam alinambia kwamba Hamza alishuka kwenye boda akaelekea kwenye kibanda ambacho askari walikuwepo,akajifanya mtu salama anayehitaji msaada wa kipolisi suddenly akatoa pisto na kuwashambulia.Achana na sudden attack(ambushi) aisee mbinu zote huwa zinapotea.Poleni sana polisi wetu.
Ndugu yako aliyasikia maongezi ya kibandani? Simjui Hamza, wengi wamesha mhukumu japo tayari amesha uliwa na polisi japo alijisalimisha. Nikikumbuka mauaji ya wafanya biashara ya madini wa Mahenge kule Mabwepande, utekwaji na upoteaji raia, vifo vya raia mikononi mwa polisi, polisi wanavyotenda kwa weledi wa chini bila kufuata sheria, maelezo yoyote toka kwao polisi kwa tukio la jana yatakuwa ni uongo mtupu.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sema hao askar wengine walishindwa kumpa support,kama kungekua na sniper jamaa alivotokeza tu kichwa wange mtandika,na kumsaidia huyo mwenzao,ila jamaa alienda kizembe sana halafu anakimbia anageuka nyuma.Huyo askar alifanya kazi nzur sana japo hakua na tahadhari ya kutosha kama kulikua na mduangaji mzur game ilikua inaisha first half tu..Jamaa mpaka ametoka pale ameenda katikat ya barabara alikoswa na risas nyingi sana,ina maana askar wetu hawana shabaha nzur,risas ni nyingi sana zilizo mkosa..
Jamaa shabaha wako shallow sana
 
Back
Top Bottom