Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 597
- 1,278
Askari wazembe sana huyo jamaa alifanikiwa kutoka akiwa salama
Tatizo hazina ubora kabisa. Ni wajinga tu wanaweza kuzishabikia tena kwa muda mfupi tu. Kilangila.Nishaona bado askari wetu wanaigiza film za kibongo
Tayari nishafanya kama ulivyoelekeza.Unajitega mwenyewe jifutike dole kwenye o yako unuse
Wewe endelea na kejeli za nyuma ya keyboard ila ipo siku utatamani hata huyo unaemuona boya ajitokeze kukuokoa.
Kuanzia leo jua hivi mwenye mapaja kuna mishipa ya damu mikubwa ingeguswa hiyo hata Emergency asingefika na lile sehemu kungekuwa na mafuriko ya DamuHawezii kufa risasi ya upaja kudanja ngumu
Katika principal za matumizi ya silaha za motoTataizo Sio kiapo.
Tatizo ni umepewa mbinu za kum attack adui huku wewe ukijilinda halafu huzitumii..
Katika Mafunzo yao Sheria namba Moja ni kulinda usalama wako kwanza, Maana Askari asipokua salama tayari amehatarisha Maisha yake yeye Mmoja na Raia zaidi ya 1000(Kutokana na ratio)..
Sasa yule anamfuata adui Mwenye Miguu ya kuku Minne, as if kashika magunzi na mbaya zaidi katika open space kama ile na zaidi huna protection yoyote ile kama bullet proof n.k, No wonder alikua anaita wenzake waje hawakwenda.
Hakuna kiapo cha kumfuata adui kichwa kichwa na kufa kizembe.
Hawa si wamezoea kuwakamata kina Mbowr?Sijamwelewa kabisa huyu askari hii mbinu ya kumsogelea mhalifu hatari bila kuchukua tahadhari, utafikiri anamvizia mtu mwenye kisu ndio maana akatandikwa.
View attachment 1908287
View attachment 1908288
Huyu mzembe apewe nishani?Huyu askari kama yu hai apewe nishani ameonesha utayari wa kufa kwa ajili ya wengine.
Sikujui Hilo ila mbona wanasema huyo police alikufa maskiniKuanzia leo jua hivi mwenye mapaja kuna mishipa ya damu mikubwa ingeguswa hiyo hata Emergency asingefika na lile sehemu kungekuwa na mafuriko ya Damu
Hebu angalia tenaLabda tuangalie tena video mkuu, mambo haya hua yanafanyika kwa haraka sana.
Wala hilo bomu hakulitupa yeye lilitumwa kwa kutumia bunduki na Askari aliyekuwa upande wa pili wa barabara.Bomu la machozi ni lazima ulipeleke kwa mikono?
Kumbeee...Ndiye aliyemrushia tear gas ndio akatoka kwenye kibanda baada ya kuzidiwa na moshi.
Bange na ushujaa wa kwenye bongo movie...Hiyo ndio mbinu ya kupandishwa cheo
Hakuna Cha ushujaaa Wala Nini Hamza alichanganywa na mirindimo ya risasi kutoka pande zote alimojificha.Sasa ndio akamshindwa kumtandika huyo soja na angepigwa Chuma angekufa angelaumiwa mwaka mzimaSijamwelewa kabisa huyu askari hii mbinu ya kumsogelea mhalifu hatari bila kuchukua tahadhari, utafikiri anamvizia mtu mwenye kisu ndio maana akatandikwa.
View attachment 1908287
View attachment 1908288