Nani amewaruhusu Waislamu kuanzisha Mahakama ya Kadhi mkoani Singida?

Status
Not open for further replies.
Mwenyezi Mungu akusamehe kwa kuwa kwako Jahir, ila vuta taaswira ya Matukio yasiyo ya Amani Duniani kaanza kuyafanya nani na kwa jamii gani ndipo uongezee Ujahir wako huu. Over.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndio kuna somo tosha! wanajua lkn hawataki kuelewa, washavishwa ile roho ya chuki, wachache wanaokuja kugundua ndio wanakuja kuukubali na kuhamia kabisa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna tatizo hapo, kama watajenga na kuzihudumia wenyewe na kutoa huduma kwa wale wanaohitaji bila kuvunja sheria za nchi au kuingilia uhuru wa kuabudu wa mtu mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mleta uzi huna tofauti na shetani,kwani ndo imejua leo,ya waislamu yanakuhusu nini,mbona una roho mbaya pamoja na waethesolonike wenzio? Kwani singida hamna serkali? Unadhani hawajui? Mbona wako kimya?
Acha chuki dogo,uislamu ni mfumo wa maisha ulio kamili.
Tunataka serikali iwaambie wananzengo kuwa mahakama hiyo IPO au haijaruhusiwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waungwana salaam!
Kama mjuavyo kuwa nchini Tanzania bado mahakama ya kadhi haijaruhusiwa. Mfumo wetu uliopo wa kimahakama hauaccomodate mahakama ya kadhi.

Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwepo habari kwamba mkoani Singida kuna mahakama ya kadhi kama inavyoonekana hapa pichani. Mahakama hii si jengo tu bali inafanya kazi. Cha kustaajabisha zaidi inasemekana ujenzi wake umedhaminiwa na mfanyabiashara mmoja maarufu na mkubwa sana nchini.

Kama hivi ndivyo nani ameruhusu swala hili? Taasisi hii ambayo haitambuliki inawezaje kufanya kazi katika mfumo wa sasa wa kimahakama pasipo kuwekewa utaratibu maalumu.

Nashauri viongozi Singida na taifa kwa ujumla kushughulikia huu mtanziko haraka iwezekanavyo.View attachment 1008117

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kama si muislamu mahakama ya kadhi inakuhusu nini?
 
hahaha... Your honor nikuchukuwe mke wa 13..,watoto we utaongeza mmoja!! kuuana tutasitisha siku ya sherehe !! what do you say..?
Zanzibar mpo 99% na mmeshindwa kujitawala, mmegawanywa mkagawanyika na mnachaguliwa Rais na viongozi wengine muhimu na Wakristo wa Tanganyika.

Mmenyimwa kujiunga na jumuiya za Kiislam na Tanganyika

Huku Bara mnadai mmetuzidi idadi, ika serikali imeweza kuwafuga kupitia taasisi ya Bakwata, itikadi zenu za kijinga hamuwezi

Tukienda katika global scale, Marekani amewagawanya Mashariki ya kati wanegawanyika, Saudia, sijui Iran, Qatar wote maadui

Nyie hamna akili hata ya kujitawala sembuse kutawala Dunia..zalianeni tu mjipe moyo, ndio mnachoweza
 
Hahah....! Unaamini Mungu yupi..? Today are Christian and tomorrow not...??? Unachekesha wewe na kilanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mnahangaika nini na furaha yenu ni waislam kuparaganyika? Hamna lolote husda na wivu unawasumbua. Mtakufa midomo wazi kenge nyie!
Zanzibar mpo 99% na mmeshindwa kujitawala, mmegawanywa mkagawanyika na mnachaguliwa Rais na viongozi wengine muhimu na Wakristo wa Tanganyika.

Mmenyimwa kujiunga na jumuiya za Kiislam na Tanganyika

Huku Bara mnadai mmetuzidi idadi, ika serikali imeweza kuwafuga kupitia taasisi ya Bakwata, itikadi zenu za kijinga hamuwezi

Tukienda katika global scale, Marekani amewagawanya Mashariki ya kati wanegawanyika, Saudia, sijui Iran, Qatar wote maadui

Nyie hamna akili hata ya kujitawala sembuse kutawala Dunia..zalianeni tu mjipe moyo, ndio mnachoweza
 
Hayo mambo wapeleke zanzibar au uarabuni huku bara huu ujinga hatuutaki kbsa. Wafanye haraka vyombo vya dola wabomoe haraka wasije wakaleta Alshabab.
Ndiyo tatizo la kuwa na kiongozi asiyejua kusoma na kuandika. Wamekaririshana ujinga tu
Bongo utabaki unafiki tu hii kitu hawawezi,, wazanzbr wanafirana kila.siku nje ya ndoa ushasikia MTU kapgwa mawe?...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mnahangaika nini na furaha yenu ni waislam kuparaganyika? Hamna lolote husda na wivu unawasumbua. Mtakufa midomo wazi kenge nyie!
Sina chuki, napenda binadamu wote, tena hasa Watanzania
Ila ninapoona watu wapo obssesed na Dini yao kiasi kwamba wanajitenga, wananyanyasa na wapo tayari hata kuua hao watu lazima niwachukie, japo sio Waislam wote
Na sio Waislam tu, wapo pia Wakristo wa mirengo mikali wanatenga wengine kisa Dini, japo hawajafikia kuua, wote huu ni ujinga
 
Mfano mdogo tu: shughuli za Kiislamu zinafanyika mtaani na MTAA mzima utakula birian/pilau na kusaza, na kubeba mnabeba kwenye rambo bila kujali dini wala hali ya mtu!! Ila wakristo mpk kwenye misiba mnabagua watu wa kula!? Tena na kamati zinaundwa!? Wabaguzi wakubwa nyie!!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, wewe unaangalia hayo ya Uswahilini ndio unatoa hitimisho?
Angalia scale kubwa zaidi, angalia mfano nchi zenye Waislam Wengi kama Pakistan, Iran, Somalia au Saudia Wakristo wanakuwa treated vip na uhuru wao wa kuabudu ukoje

Kisha linganisha na nchi kama Ujerumani, Uingereza, Africa Kusini ambako kuna Wakristu wengi waislam wanakuwa treated vip
Zanzibar kuishi tu hapo ni mtiti kama wewe sio Muislam
 
Mkuu wa mkoa Dr.Nchimbi peleka haraka sana tingatinga mahala pale

Sent using Jamii Forums mobile app

Dah wajameni acheni kuleta mpasuko kwenye jamii...maisha ni magumu ati na hapa mnaendelea kukoleza mambo...sasa mnapanda chuki tena ya kuvunja majengo bila kukaa na kujadili hili suala.

Hima serikali fuateni taratibu na hakikisheni haki inatendeka...ikiwa ni kinyume cha sheria basi msivunje jengo bali litoeni kwa taasisi za kiislamu kwa ajili ya shughuli nyingine.

Wakristo wenzangu tuhubiri upendo ktk hali yeyote ile. Kumbuka tumeitwa kwa jina la Kristo, hivyo tuuhubiri upendo na sio chuki na matengano...chuki sio mojawapo ya matunda ya Roho wa Mungu.
 
Nijuavyo mm dini ni imani huru na mtu hakatazwi kungia au kutoka. Hizo mahakama zipo kwenye nchi za wajinga na wapuuzi tu. Kwan mungu wao hana uwezo wa kujisimamia mpaka wamsaidie kuhukumu? Jinsi mungu wao alivyodhaifu watu ukiwatukania wanataka kukuua na kama ukiwa kwenye nchi zao wanataka kukufunga maisha. mungu gani huyo hawezi kujisaidia mwenyewe?
Dini zina sheria zake, na sio kila mtu anazifahamu. Ndio maana kuna wataalamu wa hizo sheria. Na wala hailazimshwi mtu kwenda kwenye hizo mahakama.

Anyway, mada ni nani amewaruhusu watu kufungua mahakama ya kadhi, sio uwezo wa Mungu
 
Wakristo nchi hii mnaweza mkawa mnauchukia uislam kuliko hata roma uislam ni dini ya Mungu na aliapa atailinda yeye mwenyewe

Wewe unae shitaki na hao unao washtakia wote mtakuja kujua ukweli siku mmewekwa kaburini Allah awape shughuri ya kufanya

Na kama mnania mbaya na uisalm basi Allah awape maradhi yasio pona au awachukue kabisaaaaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hutaki wewe na nani??

Mahakama za kadhi zipo tangu enzi ya mkoloni lini uliwahi kuona ama kusikia kuna aliyeuawa,au kukatwa mkono.

Hata kama ni hivyo si wameamua wenyewe,wewe yanakuhusu nini??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hizo mahakama za kadhi zipo toka enzi za mkoloni. sasa kwanini mlikuwa mnalilia muwe na mahakama za kadhi?

Sent from my SM-G950F using Tapatalk
 
Dah wajameni acheni kuleta mpasuko kwenye jamii...maisha ni magumu ati na hapa mnaendelea kukoleza mambo...sasa mnapanda chuki tena ya kuvunja majengo bila kukaa na kujadili hili suala.

Hima serikali fuateni taratibu na hakikisheni haki inatendeka...ikiwa ni kinyume cha sheria basi msivunje jengo bali litoeni kwa taasisi za kiislamu kwa ajili ya shughuli nyingine.

Wakristo wenzangu tuhubiri upendo ktk hali yeyote ile. Kumbuka tumeitwa kwa jina la Kristo, hivyo tuuhubiri upendo na sio chuki na matengano...chuki sio mojawapo ya matunda ya Roho wa Mungu.
Hawaja jamaa mambo yao ni informal sana. Wanaweza kuwa na project kubwa kabisa lakini sjui kwann hua hawafuati utaratibu wa kupata vibali vyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom