Nani amewaruhusu Waislamu kuanzisha Mahakama ya Kadhi mkoani Singida?

Status
Not open for further replies.
Serikali haitoiweza struggle ya mahakama za kadhi maana eventually zitakuwepo tu kwa sababu hoja za waislamu zina mashiko, serikali inachoweza kukifanya ni kuzicontain tu kupitia BAKWATA, otherwise hii demand itakuwepo siku zote na hii steam ya mahitaji ya hizi mahakama isipopatiwa safe escape itasumbua!!

Mahakama ya Kadhi haiwezekani ikawa sahihi kuwepo Zanzibar lakini ikawa Haramu Bara wakati nchi ni ileile moja!. Ni contradiction hiyo!!
Hahaha hawajielewi hao raia wenzetu pumzika mzee. Hebu nikumbushe ile ibada iliyofaradhishwa kabla yetu tumebakiwa na siku ngapi tuianze mzee?
 
Umelishwa chuki ya kichawi ww!!! Na hamtaweza kuuangusha Uislamu!!! mlifanikiwa kuuangusha ujamaa tu,

LAAILLAH ILAA ALLAH MUHAMMAD RASSUL' LLAH, mkifanikiwa kuipoteza hii kalma basi na Uislamu unaanguka siku hiyo!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Duniani hapa, yaani hakuna watu wenye chuki na ubaguzi kama Waislam

Yaani Muislam afadhali hata makaburu, mtu anayembagua mtanzania mwenzake kisa sio wa Dini yake, mtu ambaye yupo tayari kumuua ndugu yake kisa kabadili Dini

Yaani Muislam yupo tayari hata kyangamiza Dunia nzima kwa ajili ya Dini yake tu
 
Kama waislamu nchi hii wangekuwa wanawachukia Wakiristo basi wasingemkaribisha Nyerere kwenye chama cha TAA na hatimaye kumpa uongozi ndani ya TANU, chama kilichokuwa na viongozi wengi waislamu ( baraza zima la wazee wa TANU 90% walikuwa waislamu tupu)

Kama Waislamu nchi hii wangekuwa wanawachukia Wakiristo basi
Wakiristo walipotoka huko bara kwa mara ya kwanza kuja Jijini Dar wasingepangishwa kwenye nyumba za kupanga za Waislamu hapa Dar

Ukitaka kujua sura halisi ya Waislam ni wawe majority sehemu fulani kisha wawe na power, Msio waislam mtapata tabu zaidi ya watumwa..!

Sura halisi ya Waislam haipo mbali, ipo Zanzibar..

Zanzibar wasiokuwa Waislam wanapata tabu sana, wanalazimishwa kufunga biashara zao za migahawa eti kisa Waislam wamefunga..!

Walikuwa wameshaanza kuuwa Wakristu kule ila Serikali ya bara iliyokuwa na mchanganyiko wa Wakristu wengi ikawadhibiti, isingekuwa muungano Wakristu Zanzibar wangekuwa wanachinjwa kama kuku hadi leo

Nenda nchi zenye waislam wengi kama Misri, Sudan, Comoro, Mauritania au Mali ndio utaniambia kuhusu uvumilivu wa Waislam
 
Kwani wewe inakuhusu, au utashitakiwa wewe?, mbona watu vihelehele?.
Mahakama hayo ni kwaajili ya Waislamu wewe nawe unawashwa nini.
Ilishasemwa yatajengwa kwanguvu za Waislamu pia hayataingiliana na mahakama za serikali.
Kihelele unaishi wapi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wanaiendesha wao kwa fedha na rasilimali zao, hakuna taabu. Isipokuwa hizo hukumu hazitatambulika katika mfumo wa kisekulari, na kama kuna hukumu inayotolewa humo inaenda kinyume na sheria za nchi, si tu haitatambulika kiserikali, bali hata watakaoitekeleza wanaweza wakaingia matatani dhidi ya Jamhuri. Mfano itolewe na itekelezwe hukumu ya kumpiga mawe mwanamke mzinzi, hapo watafungwa Segerea kuanzia kadhi, mtoa mashtaka, mwendesha mashtaka hadi mashahidi
 
Mzee haiwezekana unachukiwa na kila mtu, jiulize kwanza kwa nini wewe?
Na kwa nini nchi mlizojaa nyie hata kwa 100% zimejaa ugomvi na udikteta?
Haya mafundisho yenu yana uwalakini mkubwa sana rafiki

Mafundisho ya kumtenga au kumuua asiye wa imani yako, mnaleta utengano sana kwenye jamii
Aliyewafundisha muislam anatakiwa amuue asiye muislam mnayapata wapi? Hakika mmefanikiwa kuzusha vya kutosha lakini haitasaidia na hamtafanikiwa.
 
Aliyewafundisha muislam anatakiwa amuue asiye muislam mnayapata wapi? Hakika mmefanikiwa kuzusha vya kutosha lakini haitasaidia na hamtafanikiwa.
Dah hicho kitabu chenu kinatafsiri sijui ngapi sina uhakika, lakini hili ni jambo linalofanywa na Waislam wengi tu..Kule Saudia kwenyewe kuna binti kakimbia juzi tu kisa walitaka kumuua kwa kutofuata Uislam ipasavyo
 
Serikali ilishatoa kibali cha kuanzishwa kwa mahakama hizi muda mrefu. Aidha Mufti alishateua makadhi wa kila mkoa. Mahakama hizi zinafanya kazi nchi nzima na hazigharimiwi na serikali, hivyo hakuna kosa kuwa na majengo ili kuwezesha kazi za kimahakama kufanyika kwa ufanisi!

Hongera BAKWATA ya Singida kwa kuonyesha njia.
 
Miafrika sijui ikoje yani yenyewe kwa yenyewe humu inabaguana na kuchukiana halafu ikitoka hapo inalalamika inabaguliwa na watu weupe,mimi ndio maana ubaguzi naona ni jambo la kawaida sana maana hakuna maisha ambayo hayana kubaguana na haitowahi kutokea maisha hayo.
 
Mleta mada unajiridhisha kuwa picha hiyo haijachezewa...! nimechunguza texture zake naona zinashida ya kuaminika. Vinginevyo, utudhibitishie kuwa ni kwa mkono wako umefyatua picha hii kwa kamera yako.
 
Hoja ilikuwa Waislamu waanzishe wenyewe lakini isiwe chini ya serikali na isigharamiwe na serikali, na zideal na yale mambo machache tu kama vile mirathi, ndoa na talaka etc, sasa kama wameanzisha wenyewe bila hela ya serikali shida iko wapi?

Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda kwenye mjadala wa mahakama ya kadhi bungeni alisema kwa jinsi anavyofahamu ni kwamba waislamu( BAKWATA) wameshazianzisha tayari na zinaoperate!!

Ndugu mleta mada, Ni vigumu sana kuwazuia waislamu wasitekeleze dini yao, kwao dini yao ni muhimu kuliko demokrasia, Trilion 1.5, kodi, ushuru, digrii, uchaguzi sijui na makorokoro gani!. Wanaweza kukuacha hata ukiamua kuwa mfalme katika nchi lakini Ukigusa yale ambayo wanayathamini katika katika dini yao basi umetangaza struggle ambayo eventually watakushinda, maana kamwe hawatokubali!

Kwa hilo huwa nawaheshimu sana wenzetu waislamu!.
Mkuu unaa akilii kulikoo unavyojitambuaa we ndoo umemaliza mjadaa

Mm naamini mgalatiaa hata akijaza container la digiriii na vyetii mbalimbali Badoo hanaa akilii na chukii ndoo msingii mkuu wa galatiaa yyt

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom