Nani amewaruhusu Waislamu kuanzisha Mahakama ya Kadhi mkoani Singida?

Status
Not open for further replies.

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,393
3,234
Waungwana salaam!
Kama mjuavyo kuwa nchini Tanzania bado mahakama ya kadhi haijaruhusiwa. Mfumo wetu uliopo wa kimahakama hauaccomodate mahakama ya kadhi.

Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwepo habari kwamba mkoani Singida kuna mahakama ya kadhi kama inavyoonekana hapa pichani. Mahakama hii si jengo tu bali inafanya kazi. Cha kustaajabisha zaidi inasemekana ujenzi wake umedhaminiwa na mfanyabiashara mmoja maarufu na mkubwa sana nchini.

Kama hivi ndivyo nani ameruhusu swala hili? Taasisi hii ambayo haitambuliki inawezaje kufanya kazi katika mfumo wa sasa wa kimahakama pasipo kuwekewa utaratibu maalumu.

Nashauri viongozi Singida na taifa kwa ujumla kushughulikia huu mtanziko haraka iwezekanavyo.
IMG-20190129-WA0013.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya udini ni upuuzi wa kiwango cha PHD. Dini siku hizi imekuwa kama vyama vya wachawi, Unajiunga bure lkn unakuwa chini ya mtu halafu anaendesha maisha yako. Mtu akiacha uislamu akaingia dini nyingine anapigwa mawe mpaka kufa au?
Ninavyojua mtu anatakiwa kuwa huru kuhamia dini yyte na kuondoka akijisikia na pia aweze kuoa au kuolewa na mtu yyte. Ndiyo yale yale mambo ya zenji ukila hadharani unapigwa. Upuuzi mtupu
 
Waungwana salaam!
Kama mjuavyo kuwa nchini Tanzania bado mahakama ya kadhi haijaruhusiwa. Mfumo wetu uliopo wa kimahakama hauaccomodate mahakama ya kadhi.

Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwepo habari kwamba mkoani Singida kuna mahakama ya kadhi kama inavyoonekana hapa pichani. Mahakama hii si jengo tu bali inafanya kazi. Cha kustaajabisha zaidi inasemekana ujenzi wake umedhaminiwa na mfanyabiashara mmoja maarufu na mkubwa sana nchini.

Kama hivi ndivyo nani ameruhusu swala hili? Taasisi hii ambayo haitambuliki inawezaje kufanya kazi katika mfumo wa sasa wa kimahakama pasipo kuwekewa utaratibu maalumu.

Nashauri viongozi Singida na taifa kwa ujumla kushughulikia huu mtanziko haraka iwezekanavyo.View attachment 1008117

Sent using Jamii Forums mobile app
CCM ndiyo Wamewaruhusu. Si unajua walishawahi kuiweka kwenye ilani yao.
 
Hahaha!! Wazee wa takbir hapo mwanamke akizaa bila ndoa anapigwa mawe mpaka afe,mwizi anakatwa mkono,mtu akibadilisha dini na kuhamia ukristo anakatwa kichwa,hayo ndo mafundisho ya kibaka mmoja aliyebaka binti wa miaka 9,takbirr,ndo maana Kikwete aliwakatalia mahakama ya kadhi alifanya vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha matusi na dhihakà, mahakama ya kadhi ni muhimu kwa waislam na sio lazima kwa muislam kuifuata kama anaona haitamtendea haki. Na kwa Tanzania mahakama ya kadh inatumika katika ndoa na mirath tu na si katika mambo mengine.
 
Hapa ndio utaona ni jinsi gani hawa wenzetu walivyokuwa na chuki ya dhahiri kwa uislamu.

Sasa mahakama ni kadhi ya waislamu wanaokwenda kuhukumiana ni waislamu wenyewe wewe kinakuuma au kukuhusu nini??

Wewe john umelazimishwa kwenda kuhukumiwa hapo,sasa kiherehere na chuki iliyojaa pomoni ya kazi gani.

Nchi hii ni yetu sote hakuna mwenye haki miliki na katiba inatoa uhuru kwa watu wote kuabudu.

Kuabudu sio kuimba kwaya na mapambio peke yake kwenye uislamu ibada ni pana sana ikiwemo hiyo ya kuhukumiana kwa hukumu ya allah ambaye ni mola mtukufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja ilikuwa Waislamu waanzishe wenyewe lakini isiwe chini ya serikali na isigharamiwe na serikali, na zideal na yale mambo machache tu kama vile mirathi, ndoa na talaka etc, sasa kama wameanzisha wenyewe bila hela ya serikali shida iko wapi?

Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda kwenye mjadala wa mahakama ya kadhi bungeni alisema kwa jinsi anavyofahamu ni kwamba waislamu( BAKWATA) wameshazianzisha tayari na zinaoperate!!

Ndugu mleta mada, Ni vigumu sana kuwazuia waislamu wasitekeleze dini yao, kwao dini yao ni muhimu kuliko demokrasia, Trilion 1.5, kodi, ushuru, digrii, uchaguzi sijui na makorokoro gani!. Wanaweza kukuacha hata ukiamua kuwa mfalme katika nchi lakini Ukigusa yale ambayo wanayathamini katika katika dini yao basi umetangaza struggle ambayo eventually watakushinda, maana kamwe hawatokubali!

Kwa hilo huwa nawaheshimu sana wenzetu waislamu!.
 
He We Ndio Unaona Leo? Mahakama Ipo Kitambo Tu. Ina Maana Mamlaka Za Nchi Hazioni Hilo Jengo Na Maandishi Yake? Tena Hiyo Mahakama Ya Kadhi Ipo Msikiti Mkuu Wa Kati, Katikati Ya Mji. Labda Mamlaka Haoni Hata Hayo Maandishi Makubwa
 
Hapa ndio utaona ni jinsi gani hawa wenzetu walivyokuwa na chuki ya dhahiri kwa uislamu.

Sasa mahakama ni kadhi ya waislamu wanaokwenda kuhukumiana ni waislamu wenyewe wewe kinakuuma au kukuhusu nini??

Wewe john umelazimishwa kwenda kuhukumiwa hapo,sasa kiherehere na chuki iliyojaa pomoni ya kazi gani.

Nchi hii ni yetu sote hakuna mwenye haki miliki na katiba inatoa uhuru kwa watu wote kuabudu.

Kuabudu sio kuimba kwaya na mapambio peke yake kwenye uislamu ibada ni pana sana ikiwemo hiyo ya kuhukumiana kwa hukumu ya allah ambaye ni mola mtukufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya kuhukumiana kufa kwa kupigana mawe hatutaki bro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom