donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
Ndo wapi?
Inaelekea hapa ni kwa mganga wa kienyeji...
Kwa aliyewahi kupitia Jkt itende, hii ñi date inaitwa Itaka, ni zaidi ya sorbibo campNdo wapi?
Hapana mkuu, ni date ya kikosi cha itendeInaelekea hapa ni kwa mganga wa kienyeji...
Ndo hapa kasemaNdo wapi?
Bahati yako mkuuNilipita Itende miezi mitatu nikitokea Mafinga lakini sikuwahi kupelekwa huko
Yalllaaaaahhh
Kulia kama umetokea tunduma au kulia kama umetokea mbeya?Itaka ipo Mbozi.. unakata kulia pale Mbozi