Ambaye ameshawahi kulanguliwa mapenzi na anyoshe mkono

Ambaye ameshawahi kulanguliwa mapenzi na anyoshe mkono

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
15,902
Reaction score
40,199
Ni hivi. mapenzi au ngono ni kitu ambacho kinapaswa kutolewa bure.

Sisi binadamu kama wanyama wengine, tuna haki ya kufurahia matunda na mema ya nchi.

Ni sawa, unapaswa kubembeleza na kushawishi, kwa sababu wanadamu tuna utashi na siyo kama jogoo ambaye anatembeza moto to kwa mtetea yoyote mbele yake. Lakini, kuna wakati unajitafakari unaona kama ushawishi umekua ghali sana, na unahisi una languliwa.

Hii mara nyingi inanikuta mimi kama ushawishi haulingani na mshawishiwa au huduma niliyoipata. Ni rai yangu kwa washawishiwa wote, TAFADHALI MUWE NA UHALISIA.

SITAWAFUNDISHA TENA.
 
Back
Top Bottom