rechungura1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 376
- 125
habari wanajf kuna hizi nafasi za andela ambazo huwa zinatoka kila mwaka ambapo mtu akiipata huwa anakuwa enroled kwenye andela learning comunity
baada ya miezi sita wanaofanya vizuri huwa wanakuwa interviewed na andela ,then ukipita unapewa ajira ambapo miezi sita unapewa tena mafunzo zaidi juu ya software engineering huku ukulipwa dola 3000 kwa mwezi, baada ya miezi sita unaanza kulipwa dola 5000 kwa mwezi. then ukiendelea kufanya vizuri zaid unaanza kusafiri na kushiriki kwenye project kubwa kubwa za IBM, google,udacity,everplan, microsoft nk
program inadumu kwa muda wa miaka minne.
swali la msingi kuna watanzania ambao wameomba mwaka huu maana hizi nafasi wanazichukua sana wakenya,wanaigeria pamoja na waganda
kama kuna watanzania ambao wameomba naomba feedback please