nani ameapply nafasi za andela wakishirikiana na google pamoja na pluralsight

rechungura1

JF-Expert Member
Jan 19, 2015
376
125
habari wanajf kuna hizi nafasi za andela ambazo huwa zinatoka kila mwaka ambapo mtu akiipata huwa anakuwa enroled kwenye andela learning comunity
baada ya miezi sita wanaofanya vizuri huwa wanakuwa interviewed na andela ,then ukipita unapewa ajira ambapo miezi sita unapewa tena mafunzo zaidi juu ya software engineering huku ukulipwa dola 3000 kwa mwezi, baada ya miezi sita unaanza kulipwa dola 5000 kwa mwezi. then ukiendelea kufanya vizuri zaid unaanza kusafiri na kushiriki kwenye project kubwa kubwa za IBM, google,udacity,everplan, microsoft nk
program inadumu kwa muda wa miaka minne.

swali la msingi kuna watanzania ambao wameomba mwaka huu maana hizi nafasi wanazichukua sana wakenya,wanaigeria pamoja na waganda

kama kuna watanzania ambao wameomba naomba feedback please
 
Mkuu watz ni watu wa story za siasa na porojo za bongo muvi..hizo scientific innovations ni wachache sana na wengi wao hata jf ni nadra kuwaona..
 
Mimi nimejiunga ila sikutilia manani sababu ya bado. Ngoja niitilie manani. Nilichukua Course ya CS
 
Intapretenyuaa

Sijui kwanini huo msamiati ndio umekuja kwenye fikra.
 
Hawajaweka embedded software engineering, ni web na mobile software tupu
mkuu inaonekana kwamba umeshaiva kwenye web na mobile ila nadhani hata kama umeiva bado kuna vitu vingine ungevipata pale kama technical leadership nk
 
habari wanajf kuna hizi nafasi za andela ambazo huwa zinatoka kila mwaka ambapo mtu akiipata huwa anakuwa enroled kwenye andela learning comunity
baada ya miezi sita wanaofanya vizuri huwa wanakuwa interviewed na andela ,then ukipita unapewa ajira ambapo miezi sita unapewa tena mafunzo zaidi juu ya software engineering huku ukulipwa dola 3000 kwa mwezi, baada ya miezi sita unaanza kulipwa dola 5000 kwa mwezi. then ukiendelea kufanya vizuri zaid unaanza kusafiri na kushiriki kwenye project kubwa kubwa za IBM, google,udacity,everplan, microsoft nk
program inadumu kwa muda wa miaka minne.

swali la msingi kuna watanzania ambao wameomba mwaka huu maana hizi nafasi wanazichukua sana wakenya,wanaigeria pamoja na waganda

kama kuna watanzania ambao wameomba naomba feedback please
Vp walishatoa majina ya walio kua selected?
 
Kumbe Jana walinitumia email......uu uzi ningeuona Jana labda ningekua enrolled......
Screenshot_20190601-141550.jpeg
 
Back
Top Bottom