- Thread starter
- #721
Unaweza kuwa muunguja jina, ila sidhani kama kuna waunguja wakana mungu aisee.Mimi mwenyewe ni muunguja kwahiyo ni ushahidi tosha...au wewe una ushahidi kuwa hawajawahi kusema hivyo waunguja wote duniani?
Ulishakaa na waunguja wote?
Ulishasikiliza kila neno wasemalo?
Tunaishi nao, hawaongei kiswahili cha sampuli, wala hakuna lahaja ya kiswahili isemayo mwenye usafi, sasa usiulize maswali yasiyo na faida unazidi kupoteza muda, unachotakiwa ufanye hapa utupe ushahidi.