Nani aliyemuumba Mungu?

Nani aliyemuumba Mungu?

Umelijibu vipi?
Rejea utaona, usiwe mvivu, fanya kuitafuta kama mimi nilivyo itafuta quote yako kwangu ambayo niliipuza ila nikaipata na kuijibu. Komaa.
 
Hicho ndio kitu nilichotaka ueleze ulipoweka list ya majina nakusema ni miungu.
Ndo na Mimi nikasema kila mtu/ kundi la watu/jamii fulani lina sababu zake maalum za kumuita mungu huyo wamuitaye mungu.
Wewe ungeniambia labda specifically mungu yupi unataka nikuambie kwanini huitwa mungu
Mathalani nimeshakuambia kwanini messi ni mungu

Nadhani unataka definition ya 'mungu' ifit kwa mungu unayemuamini wewe..ndomaana nkasema mtaje labda tutatoa definition yake usiogope
 
Unajua kama kuna Kiswahili fasaha yaani sanifu kilichokubaliwa na wataalamu wa Kiswahili kitumike kama marajeo ? Unajua ni Kiswahili cha wapi ?
Hii ishu ya ufasaha wa lugha hapa sio sekata yake, hii ishu ilitakiwa ijadilowe jukwaa la lugha huko.

Hapa tunataka tujue katika hiyo list niliyokupa unawajua hao miungu?
 
Mwalimu,sidhani kama kuabudu ni kuomba kwa kufata utaratibubwa kiimani labda kama hiyo ni maana yako personalView attachment 1461955kwa maana hizo,mimi humuabudu messi
Nakufundisha sasa, maama ziko sahihi ila kuna upenyo wameacha kuuziba, tamko ibada ni tamko lenye asili ya kiarabu, lenye kufata mtiririko wa ibada, kuabudu, na huwa lina maana ya sala na sala kilugha ni "Dua" yaani kuomba. Asili huwa inakidhi haja na kutoa maana sahihi kuliko wale wanao tohoa kwani hukengeusha baadhi ya maana.

Hao wameweka maana ya kusujudu wakaibabatiza kwenye ibada, na kama ni msomaji wa kamusi za Kiswahili hasa katika maneno ya kigeni huwa wanakengeusha sana maana za asili.
 
Anauliza kuhusu mswahili wakati hata wewe unaweza kua mswahili. Hivi nfivyo anavyopenda yani akutoe kwenye mlolongo wa maswali magumu ambayo umemuuliza
Hatolewi mtu kwenye mlolongo, nachunga adabuza mjadala, subiri uone.
 
Tafuta majibu niliyokujibu baada ya ku quote hizo nukta mbili juu kabla ya list ya majina ya hao miungu.
Nimetafuta sijaona, so eidha uweke kumbukumbu namba ya hiyo post au lah ujibu tena
 
Nakufundisha sasa, maama ziko sahihi ila kuna upenyo wameacha kuuziba, tamko ibada ni tamko lenye asili ya kiarabu, lenye kufata mtiririko wa ibada, kuabudu, na huwa lina maana ya sala na sala kilugha ni "Dua" yaani kuomba. Asili huwa inakidhi haja na kutoa maana sahihi kuliko wale wanao tohoa kwani hukengeusha baadhi ya maana.

Hao wameweka maana ya kusujudu wakaibabatiza kwenye ibada, na kama ni msomaji wa kamusi za Kiswahili hasa katika maneno ya kigeni huwa wanakengeusha sana maana za asili.
Kwani mimi ni mswahili au muarabu?? Hapa tunajadiliana kwa kiswahili au kiarabu?
Kama ni kiswahili basi ndo waswahili tinamaanishaga ivyo tukisema kuabudu na rejea yetu kuu ni kamusi ya kiswahili
ishu ya kiarabu nadhani tuwaachie waarabu...

Au basi twende kiingereza
I worship Messi na apo unasemaje mkulungwa?
 
Hii ishu ya ufasaha wa lugha hapa sio sekata yake, hii ishu ilitakiwa ijadilowe jukwaa la lugha huko.

Hapa tunataka tujue katika hiyo list niliyokupa unawajua hao miungu?
Hujui lolote katika adabu za mijadala, lugha uhukumu, ndio maana hata mkubwa wenu miongoni mwa wa kubwa wa falsafa ya kale ya magharibi, Aristoto alijishughulisha na lugha sana na kujenga hoja kwa lugha, hasa "Kiima/Subject/Mubtadaa" na "Kiarifu/Predicate/Khabari" rejes zile "Ten Categories/Ashara Maaqulaat" uone alivyo mili katika lugha. Nyinyi vifaranga wa leo hamuoni umuhimu wa lugha katika mijadala ndio maana mnakosea kosea sana.
 
Anauliza kuhusu mswahili wakati hata wewe unaweza kua mswahili. Hivi nfivyo anavyopenda yani akutoe kwenye mlolongo wa maswali magumu ambayo umemuuliza
Pole pole,mzoee tu kaka. tutafika
 
Hatolewi mtu kwenye mlolongo, nachunga adabuza mjadala, subiri uone.
Sasa twende sambamba

Umedai kua hakuna uthibitisho ambao mimi nimeuweka, na kwasababu huwezi kusema kitu flani hakipo bila uthibitisho

Thibitisha hakuna uthibitisho niliouweka hapa kuonesha mungu hayupo ili kuyafanya madai yako yawe kweli
 
Muogope Mungu, acha kujifanya hujui jibu la swali hii, Mungu anakuona.
 
Unaweza kunipa ushahidi wa hilo ?
Mimi mwenyewe ni muunguja kwahiyo ni ushahidi tosha...au wewe una ushahidi kuwa hawajawahi kusema hivyo waunguja wote duniani?
Ulishakaa na waunguja wote?
Ulishasikiliza kila neno wasemalo?
 
Nimetafuta sijaona, so eidha uweke kumbukumbu namba ya hiyo post au lah ujibu tena
Sababu sisi huwa tunajua tunachokiandika, soma post #642.

Na wewe tuwekee namba ya post uliyo thinitisha ya kuwa Mola hayupo, ukiweka hiyo namba ya post, naomba kwa "mods" huu uzi waufute au waifute hii "Id"yangu.
 
Back
Top Bottom