Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,261
- 12,620
Kwahiyo unataka kusema usafi haupo?Vijana muache kuandika maneno bila kuzingatia usahihi na mpangilio wake. Nikikuuliza dhati ya Usafi ikoje au marejeo ya usafi ni wapi ?
Kwahiyo unataka kusema usafi haupo?Vijana muache kuandika maneno bila kuzingatia usahihi na mpangilio wake. Nikikuuliza dhati ya Usafi ikoje au marejeo ya usafi ni wapi ?
Ibada kilugha ni maombi,na kuabudu ni kuomba kwa kufata utaratibu wa kiimani husika na maombi hayo yanafungamana na imani na kutarajia kupewa kile unachokiomba, sio uombe peni, sababu hili hata mwanadu mwenzako ukimuomba anakupa, ushawahi kumuomba Messi uhai akakupa au rizki akakupa ? Sasa acheni utoto.Lina maana gani
Mwenye usafi = msafiKwani nani amesema msela wako ni mungu, mbona unajihami mzee ?
Thibitisha hilo, isiwe kisa ni jina geni kwako ukajiamulia tu kupayuka. Huna kipimo cha kujua lipi baya hapo na lipi zuri.
Rekebisha kwanza sentensi hii, hakuna kiswahili cha sampuli hii. Unasema "mwenye usafi" hiki nini kijana ?
Wapi nimesema hilo wala kuashiria hilo, soma kwanza uelewe ninacho kiandika.Kwahiyo unataka kusema usafi haupo?
Uthibitisho uko hapo hapo, uthibitisho utaupata baada ya kuona jina la mungu ambaye wewe unamuabudu ndio utagundua kua hata hiyo mingine iliyobaki ni kundi moja na wakoKwanza sio kila dini inaamini Mungu wengi wanaamini miungu mingi.
Nithibitishe kwamba hiyo yote ni miungu ili ndio niweze kuchagua.
Ushawahi kumsikia mswahili akiongea hivi ulivyo andika ?Mwenye usafi = msafi
Mwenye upendo = anapenda
Nithibitishe nini?Thibitisha kauli hii.
Siijui.
Linafahamika na nani na kwa muktadha upi?Tamko mungu halina muktadha mzee, ni neno maalumu hili, linafahamika.
Ulijibuje?Hii achana nayo niliijibu tena upya.
Umelijibu vipi?Nimeshakujibu hilo swali kwa quote nyingine ya aya zako mbili za juu, bila kujumuisha hiyo list.
Ongeza umakini kijana, au husomi naxhokiandika nini, nimeshakujibu hili swali kwamba wengi siwajui humo.
Mwalimu,sidhani kama kuabudu ni kuomba kwa kufata utaratibubwa kiimani labda kama hiyo ni maana yako personalIbada kilugha ni maombi,na kuabudu ni kuomba kwa kufata utaratibu wa kiimani husika na maombi hayo yanafungamana na imani na kutarajia kupewa kile unachokiomba, sio uombe peni, sababu hili hata mwanadu mwenzako ukimuomba anakupa, ushawahi kumuomba Messi uhai akakupa au rizki akakupa ? Sasa acheni utoto.
Hicho ndio kitu nilichotaka ueleze ulipoweka list ya majina nakusema ni miungu.Aah nimekupata,hilo neno lina maana gani?
Unahakika gani kama uliyemkoti siyo mswahili?Ushawahi kumsikia mswahili akiongea hivi ulivyo andika ?
Mwenemye upendo hili halina shida, sababu tumewasikia na tunawasikia waswahili wakisema hivi kila siku.
Post ya 673Wapi nimesema hilo wala kuashiria hilo, soma kwanza uelewe ninacho kiandika.
NdiyoUshawahi kumsikia mswahili akiongea hivi ulivyo andika ?
.
Hawezi kuwa mungu.Linafahamika na nani na kwa muktadha upi?
We unajua kua eminem ni mungu?
Unajua kama kuna Kiswahili fasaha yaani sanifu kilichokubaliwa na wataalamu wa Kiswahili kitumike kama marajeo ? Unajua ni Kiswahili cha wapi ?Ndiyo
Hiyo habari ya kufunika kombe inafanya kazi kwa opponent uliyefinga naye utaniUnanirudisha nyuma kijana, ambako tukirudi nitazidi kupoteza muda zaidi, nilifunika kombe mwanaharamu apite, yaani kwa lugha nyingine nilijifanya mjinga ili ujibu hoja yangu, lakini kwa ulivyo mjinga ukadai nimekiri wakati unajua kabisa Jurjani/Zurri siwezi kukiri ujinga huo.
Naona umeishiwa cha kuandika maana hata hoja huna.
Tafuta majibu niliyokujibu baada ya ku quote hizo nukta mbili juu kabla ya list ya majina ya hao miungu.Ulijibuje?
Unaweza kuweka jina la kiume katika list ya majina ya kike ila haifanyi kuwa hilo jina la kiume kuwa la kike au hayo majina ya kike kuwa ya kiume, umeweka list ya majina na kusema yote ni miungu hivyo nachotaka mie uthibitishe kuwa hiyo list ni miungu.Uthibitisho uko hapo hapo, uthibitisho utaupata baada ya kuona jina la mungu ambaye wewe unamuabudu ndio utagundua kua hata hiyo mingine iliyobaki ni kundi moja na wako
Kama wewe unasema hiyo sio miungu basi tuthibitishie hapa kwamba hiyo sio miungu na utuwekee yako ambayo wewe uaniamini
Chagua wako hiyo mingine iache watakuja wenye nayo kuichagua na kuitolea maana