Nani aliyemuumba Mungu?

Nani aliyemuumba Mungu?

Wewe ndiyo unataka tupotezeane muda..sina muda wa kuanza kuanalyse miungu 135 kila mmoja na wapi ali claim ameumba
Chakukusaidia nenda hapa Category:Creator gods - Wikipedia ujichagulie mungu yupi unamtaka itakudirect wapi anadai ameumba
Maana ya ushahidi unatakiwa kunyambua kile ulichokisema.

Mathalani katika hii link, nimeenda kwa huyu Abira na hiki ndicho kilichoandikwa kumuhusu yeye :

Abira is the creator god in the mythology of the Antioquia people of Colombia.

Hapa kuna maswali mawili, je wanao dai uumbaji na waduasi wa huyo Abira au Abira mwenyewe ? Hapa pia unatakiwa uweke ushahidi.

Huu sio ushahidi, sababu hauonyeshi kile ulichosema kwamba wamedai uumbaji, hapa ulitakiwa utuonyeshe wapi huyu Mungu amedai uumbaji, kwa maana uweke ushahidi toka kwenye vitabu a marejeo ya mungu huyo. Nasisitiza ya kuwa acheni utoto.

Nipo ....
 
Maneno mengi huko na huko, na wewe unapoteza muda tu hapa.

Nasema hivi; mtu anayehoji au kuuliza huyo siye mjinga.

Angalia, kuna hatua hizi ujifunze;

1--- Ignorance
2--- Curiosity
3-- knowledge.

Ignorance ni yule anayeamini na kutenda mambo ya kijinga bila kujua na hataki kujua wala kujishughulisha kutaka kujua.

Curious ni yule aliyetoka kwenye ujinga na anataka kujua, hapa sasa ndipo ule msemo unapo hold kwamba "kuuliza sio ujinga" anayeuliza sio mjinga.

Knowledge hii ni hatua ya mtu baada ya kujua anakuwa mwerevu, lakini akishajulishwaa na akarudia kwenye Ignorance huyo anakuwa ignorant.

Sasa tufanye wewe hukuwa unajua kama Mungu hajaumbwa, na ukawa unahoji kuumbwa kwake, je na wewe ulikuwa; lying (Mdanganyaji), deceiver (Muingopeaji), un intellectual (usiye na taaluma), a sophist nk???--- kwa kuhoji tu unapewa hayo majina???--- je vipi yule ambaye anasema na kuamini kwamba Mungu kaumbwa, tumuite nani???
Hadi hapa ninatafuta ni wapi jamaa anakwama kukuelewa, hata sipaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uungu wao ni upi ndio maana nikauliza ni vp hao ni miuungu?
Kila jamii inasababu zake binafsi za kumuita mungu...wengine kwasababu analeta mvua tukimuomba, wengine kwasababu analeta jua muda wa baridi nk. Nk.
 
Kabla ya kubishana nani alimuumba Mungu ungeanza kwa kusema Mungu yupi...kama ni Allah tunamjua aliumbwa na Muhammad nk. N.k
Labda ungeanza kwa kutuonesha kwa thibati kabisa huyo mungu unayemzungumzia

Lete ushahidi kuwa Allah hakuwepo kabla ya Muhammad s.a.w.lete ushahidi wa kisomi usilete pumba zinzinazo tengenezwa kichwani
 
Maana ya ushahidi unatakiwa kunyambua kile ulichokisema.

Mathalani katika hii link, nimeenda kwa huyu Abira na hiki ndicho kilichoandikwa kumuhusu yeye :

Abira is the creator god in the mythology of the Antioquia people of Colombia.

Hapa kuna maswali mawili, je wanao dai uumbaji na waduasi wa huyo Abira au Abira mwenyewe ? Hapa pia unatakiwa uweke ushahidi.

Huu sio ushahidi, sababu hauonyeshi kile ulichosema kwamba wamedai uumbaji, hapa ulitakiwa utuonyeshe wapi huyu Mungu amedai uumbaji, kwa maana uweke ushahidi toka kwenye vitabu a marejeo ya mungu huyo. Nasisitiza ya kuwa acheni utoto.

Nipo ....
Wanaodai uumbaji ni watu kwasababu huyo Mungu(na miungu yote) hakushuka na kusema 'mimi niliumba'

Au wewe unamjua mungu aliyewahi kuja duniani kutuambia yeye aliumba au aliandika kitabu chake?
 
Aaah! sasa hiyo quran unayoiquote imekuja kabla au baada ya Muhammad?

Kabla ya Muhammad kwanza kabla hujakurupuka kuuliza maswali nenda kasome hapo nilipo quote ndipo utakapo juwa haya maneno yanasemwa hapo ilikuwa kabla ya muhammad au baada. hiyo ndio desturi ya mtu mwenye elimu baadae unajenga hoja mie huwa naepukana nahoja za vilabuni kama unataka kujenga hoja kwanza ukitambue kile unachojengea hoja pia uepukane na ukasuku.
 
Kila jamii inasababu zake binafsi za kumuita mungu...wengine kwasababu analeta mvua tukimuomba, wengine kwasababu analeta jua muda wa baridi nk. Nk.
Na kila neno lina maana yake,mleta jua au mvua ndio anaitwa Mungu?
 
Wanaodai uumbaji ni watu kwasababu huyo Mungu(na miungu yote) hakushuka na kusema 'mimi niliumba'
Kwanini huko juu ulinasibisha madai hayo kwa hai miungu na hapa unakanusha unasema wanao dai ni watu ? Batilisha kauli yako ya kwanza.

Pili, weka ushahudu unao onyesha ya kuwa watu ndio wanao dai uumbaji juu ya hao miungu.

Tatu, ili mungu awepo ni lazima ashuke aje kusema yeye kuwa ndio muumbaji ? Hili sharti umelipata wapi ?
Au wewe unamjua mungu aliyewahi kuja duniani kutuambia yeye aliumba au aliandika kitabu chake?
Niambie kwanini aje duniani ? Unajua kitendo chako cha weee kutaka kuulizwa maswali kuhusu mungu, kwa watu kama sisi kilionyesha ni kwa nanmna ulivyo mjinga juu ya hilo unalo taka uulizwe maswali kwalo. Hiki unacho kiandika kinazidi kuthibitisha hilo.

Mola wetu haitaji kushuka ili kuthibitisha kuwepi kwake japo huwa anashauka kila siku katika theluthi ya mwisho ya usiku. Akili aliyotupa inathibitisha juu ya uwepo wake, milango ya fahamu inaonyesha juu ya uwepo wake, maumbile yanaonyesha juu ya uwepo wake na ufunuo unaonyesha juu ya uwepo wake.
 
Na kila neno lina maana yake,mleta jua au mvua ndio anaitwa Mungu?
Wewe unaweza usimuite mungu ila jamii fulani ikamuita mungu...wagiriki kwa mfano wana miungu mingi(12 main na 400 minor) kila mungu ana kazi yake.
 
Back
Top Bottom