Nani aliyemuumba Mungu?

😂 unalazimisha kua ninaamini uchawi kwa sababu naamini hewa ipo? We jamaa mbona una reasoning mbaya hivyo?

Siamini uwepo wa mungu wala uwepo wa uchawi na si kwa sababu sivioni, ni kwa sababu hakuna njia ya kuprove sio kwa macho wala sense nyingine zozote. Hewa ina njia nyingi sana za kuprove kua ipo, nakushangaa wewe hadi utumie macho ndiyo unajua kua kitu kipo? Hehe kuna pua zinanusa, ngozi inahisi, sikio linasikia, sauti mbona huioni ila unasikia? Hahaha we jamaa, kuna vitu hatuwezi sense kwa sensor tulizonazo ndiyo maana tunatengeneza sensor kwa kutumia sayansi sio kukaa na kusema tenganisha maji yakaachana.

Hahaha watu mnaoamini mungu mnachekesha, njoo na argument nzuri hiyo uliyotoa hapo ni bs
 
[emoji23] unalazimisha kua ninaamini uchawi kwa sababu naamini hewa ipo? We jamaa mbona una reasoning mbaya hivyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama unaamini hewa ipo why usiamini Mungu yupo???? Ni upumbafuu ujueee.... Kibaya na uchawi pia unaamini ila Mungu ana kazi sana kuumba viumbe kama hiviii...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama unaamini hewa ipo why usiamini Mungu yupo???? Ni upumbafuu ujueee.... Kibaya na uchawi pia unaamini ila Mungu ana kazi sana kuumba viumbe kama hiviii...
Pumbavu wewe hapo, siamini hewa ipo, uwezo wa kuprove uwepo wa hewa ninao. Wewe una uwezo wa kuprove uwepo wa mungu? Chizi kabisa
 
Hewa Umeiona wapi mkuu???? Maana kama kuprove Mungu yupo kuna matukio mengi sana yanayoonesha hilo pia maandiko ya kiscience yanayokuaminisha hewa ipo lakini Huioni ni sawa tena weak zaidi ya maandiko yaliyoandikwa Juu ya uwepo wa Mungu toka vizazi na vizazi.. Safari za wana wa israel mambo ya sodoma na Gomora vyote hivi ni Historia ya kweli lakini Huamini kama Mungu yupo.

Si ajabu unaamini Historia ya Vita ya pili ya dunia iliyoandikwa kwenye vitabu lakini huamini Biblia its insane. Labda uniambie una miungu yako unayoamini.
 
Pumbavu wewe hapo, siamini hewa ipo, uwezo wa kuprove uwepo wa hewa ninao. Wewe una uwezo wa kuprove uwepo wa mungu? Chizi kabisa
Unaprove vipi kenge wewe hizo njia zako baki nazo maana hata me kwa kutumia njia zangu naweza kuprove Mungu yupo..! Nataka uishike hewa uniletee niione hizo njia zako me siziamini kama vile ambavyo huamini uwepo wa Mungu wangu na mimi siamini hizo prove zako.

NIIONE HEWAA UNILETEEE MKUU NIIONE NDO NITAAMINI HEWA IPO.
 
Kenge we na familia yako, siina muda na vilaza shenzi, mungu wako anakufundisha kuja kutukana watu? Jinga kabisa masikini halina hela, nenda kaomba hela ya bando kwa mama pumbavu
 
Jamaa akili zao zina vibanzi sio bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni uzi mwingine tena sijaona bado mtu aliyeweza kudhibitisha mungu yupo.
Kwa nini mnashindwa kuthibitisha mungu yupo? Shida inakuja wapi?
 
Kenge we na familia yako, siina muda na vilaza shenzi, mungu wako anakufundisha kuja kutukana watu? Jinga kabisa masikini halina hela, nenda kaomba hela ya bando kwa mama pumbavu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona umejee upepoo...! Huna kazi za kufanya kuja kushupazaa shingo huku jf kuandika Utumbo. Kweli mungu wako hayupo ila Mungu wangu yupo.
 
Huu ni uzi mwingine tena sijaona bado mtu aliyeweza kudhibitisha mungu yupo.
Kwa nini mnashindwa kuthibitisha mungu yupo? Shida inakuja wapi?
Yaani Hawa jamaa sijui wana matatizo gani ' miaka nenda miaka rudi wanashindwa kuthibitisha kile wanacho kiamini kama kipo halafu walivyo kuwa hawana haya bado wana endelea kukiabudu hicho kitu ambacho wao mwenyewe wameshindwa kuthibitisha uwepo wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni uzi mwingine tena sijaona bado mtu aliyeweza kudhibitisha mungu yupo.
Kwa nini mnashindwa kuthibitisha mungu yupo? Shida inakuja wapi?
mungu hayupo mkuu ila Mungu yupo
 
Hewa ipo????
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona umejee upepoo...! Huna kazi za kufanya kuja kushupazaa shingo huku jf kuandika Utumbo. Kweli mungu wako hayupo ila Mungu wangu yupo.
Riki mtaharibu Uzi ... Mnashindwa nini kujadiliana kwa ustaarabu mpaka muanze kutukanana ...??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani haukusoma hapa ... Au unajitia upepo riki boy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…