Samuya na Kikwekwe bila shaka.Bakht mbaya tume haikutupa majibu ya nani alisimamia zoezi Zima la kuwafyatulia risasi za moto na kuwauwa wandamanaji wasokuwa na silaha.
Mimi katika family yangu Kuna kijana wa miaka 20 alipigwa risasi ya mbavu na kuwawa maeneo ya mbauda pale sina uhakika kama tume ya chande ilimuhesabu ktk wale 518 kama sikosei
Tunataka kusahau yalopita na kuganga yajayo
Tunataka kuingia kwenye maridhiano tukiwa tunajua nani aliamrisha watoto wetu wafyatuliwe risas za kichwa.
Kuna mtu kila akipanda jukwaani lazima amalizie na kibwagizo cha mimi ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nawahakikishieni kuwa hakutakuwa na nywinywi wala nywinywinywi, hiyo ilikuwa ni amri kwa majeshi yote kuwapiga na kuwaua wate watakaompinga na kweli walitekeleza amri hiyo kwa wivu mkubwa sana kumridhisha CIC.Bakht mbaya tume haikutupa majibu ya nani alisimamia zoezi Zima la kuwafyatulia risasi za moto na kuwauwa wandamanaji wasokuwa na silaha.
Mimi katika family yangu Kuna kijana wa miaka 20 alipigwa risasi ya mbavu na kuwawa maeneo ya mbauda pale sina uhakika kama tume ya chande ilimuhesabu ktk wale 518 kama sikosei
Tunataka kusahau yalopita na kuganga yajayo
Tunataka kuingia kwenye maridhiano tukiwa tunajua nani aliamrisha watoto wetu wafyatuliwe risas za kichwa.
Sio poaKuna mtu kila akipanda jukwaani lazima amalizie na kibwagizo cha mimi ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nawahakikishieni kuwa hakutakuwa na nywinywi wala nywinywinywi, hiyo ilikuwa ni amri kwa majeshi yote kuwapiga na kuwaua wate watakaompinga na kweli walitekeleza amri hiyo kwa wivu mkubwa sana kumridhisha CIC.
Kuua waue wao halafu wanataka maridhiano pasipo kuwajibika.Sioni hoja ya kuingia maradhiano yoyote kwani nani hakuona kilichotokea kwamba maridhiano ni kutaka nini hasa
Najiuliza iwapo serikali inahofu ya kutokuwepo maridhiano.Sioni hoja ya kuingia maradhiano yoyote kwani nani hakuona kilichotokea kwamba maridhiano ni kutaka nini hasa
Majeshi yetu yanafunzwa kutisha na kupigana na raia. Na wanalishwa itikadi ya kuogopa watawala na kutete maslah yao. Mfanyakaz ya vyombo vya ulinzi na usalama ukikutana nae katika nyumba ya kiongozi hata kumaza mate mpaka aambiwe ndo amezeJWTZ hawakupaswa kukaa kimya hadi leo. Tuna jeshi takataka kabisa.
Hii kauli tume iliiongelea kama mojawapo ya vichocheo vya machafuko ?mimi ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nawahakikishieni kuwa hakutakuwa na nywinywi wala nywinywinywi,