Israel inawetesa sana Waarabu Mashariki ya Kati

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,661
46,349
Waarabu hasa Wapalestina wamekuwa wakipambana kutotaka kulitambua kabisa taifa la Kiyahudi la Israel. Iran mpaka leo wanasema wazi taifa la Israel halina uhalali wa kuwepo juu ya uso wa nchi. Karibu kila taifa la Mashiriki ya Kati ama limewahi kuingia katika mgogoro au kupigana vita kabisa na Israel.

Kwa nini Waarabu hawawataki Wa-Israeli Mashariki ya kati? Historia ya miaka karibu 3500 inaonyesha uwepo wa taifa la Israel.

Kwa nini Waarabu wa Palestina hawataki kabisa kusikia wazo la uwepo wa taifa la Israel katika eneo asili la Wa-Israeli?

Inasikitisha sana mpango wa mataifa mawili tangu 1937 ambao Israel iliukubali mwaka 1947 na kwa muda mrefu wakiuridhia huku Wapalestina na Waarabu wengine wakiukataa kabisa mpaka kupelekea kupoteza kila kitu leo hii na vita visivyokoma.

Kwangu naamini uwepo wa taifa la Israel ambalo ni stable, lenye demokrasia imara na maendeleo ya juu sana katika eneo gumu la Mashiriki ya Kati ni jambo la manufaa sana kwa ukanda huo na dunia kwa ujumla.
 
Mtanzania, mwijukuu wa mtumwa alie-slimu kwa kulazimishwa uku kabebeshwa pembe za ndovu anasema wayaudi pale si kwao..yupo tayali kuongea uongo ili kuwatete walio mletea dini na kumtesa babu zake.
Nchi yako haina hata miaka mia 1 ila moja ya miji yenye majina ya kiyaudi ina miaka zaidi mia 9 alafu unasema pale si kwao!!.
Wayaudi wana Roho nzuri sana aiseee..l
 
Hahahaaaa.......utumwa mbaya sana.

Shida ya utumwa hauishii kwenye physical torture tu bali hadi kwenye spritual thing
 
Back
Top Bottom