Nani alijenga Mapyramid ya Misiri ya kale?

Ni watu kutoka sayari ya Nibiru, na ndo syari iliyo na tabia sawa na dunia, ndo sayari yenye nguvu kuliko zote. Na hawa watu ndo waliowaumba binadamu na hii sayari huwa inapita karibu na dunia kila baada ya miaka arround 2000 na ikipita huwa inaharibu kila kitu na maisha hianza upya na sasa miaka 2000 imekaribia and nafikiri ndo maana wanasayansi wanahaha kwenda mars ili ikip8ta wafe waliopo then wao watarudi. Tukio la mwisho lilikuwa la garika ya nuhu

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
nasikia walijenga watoto wa yakobo baada ya kuzaana mno kwenye nchi ya watu, ikabidi farao awatafutie kibarua kisicho na malipo, wahenyeke mpaka waishe wote..
 
Hayo mapyramid (majumba) yalijengwa kwa njia ya ufunuo (wahyi) kutoka kwa Mwenyezimungu mwenyewe wakati wa kipindi cha Musa na nduguye Haroun. Na yamejengwa kwa hesabu kali mno ili kiwezesha kufanyika kwa ibada kwa uelekeo wa qibla kwa wakati huo (Masjid Al Aqsa) kabla qibla hakijahamishwa kuelekea Macca. Ushahidi wa hayo ni Qur'an 10:87. Jambo linapofanyika kwa njia ya ufunuo lolote huwezekana.

Povu ruksa na hutaki unaacha.
Mapiramidi hayo yamejengwa miaka elfu moja kabla ya Musa na Haroun kuzaliwa. Na yalijengwa kufuata mpangilio wa nyota.
 
Pyramidi kubwa kabisa lilijengwa na Farao Khufu, miaka mingi kabla hata ya kuzaliwa Abrahamu.
1689238110001.png
 
Hayo mapyramid (majumba) yalijengwa kwa njia ya ufunuo (wahyi) kutoka kwa Mwenyezimungu mwenyewe wakati wa kipindi cha Musa na nduguye Haroun. Na yamejengwa kwa hesabu kali mno ili kiwezesha kufanyika kwa ibada kwa uelekeo wa qibla kwa wakati huo (Masjid Al Aqsa) kabla qibla hakijahamishwa kuelekea Macca. Ushahidi wa hayo ni Qur'an 10:87. Jambo linapofanyika kwa njia ya ufunuo lolote huwezekana.

Povu ruksa na hutaki unaacha.
Mapiramidi hayo yana sifa zingine za kushangaza sana zifuatazo.
1. Yako Earthquake proof
2. Yako alligned to magnetic North to an accuracy of one fifteenth (1/15th ) of a degree
3. Yana eight (8) sides, instead of 4 sides as they appear
4. Each block used wieghing between 2 and 40 tons
5. Ni maajabau pekee ya kale yaliyobaki hadi leo kuwepo hapa duniani. Maajabu mengine yote yalishapotea kutokana na muda mrefu kupita
6. Granite iliyotumika kuya-furnish ilitoka Aswan, umbali wa km zipatazo 800 kutoka Giza
 
Unauhakika!?
Anaweza akawa yuko sahihi. Tetesi ambazo si za Kisayansi zinadai hivyo, na wakati huo huo Sayansi haijui

Kwenye Biblia tunamsoma Nimrodi kuwa ni Engineer ambaye aliwahi kuwaongoza watu kujenga mnara wa Babeli ulioytakiwa kufika Mbinguni, mara baada ya gharika. Kule Baalbek au Babeli kwa sasa ndiyo kuna jiwe kubwa zaidi kuyazidi mawe yote ya kuchongwa yaliyopo hada duniani; lina tani 1600. Kule Aswani nako kuna jiwe jingine lina tani 1200. Mawe haya yote yamechongwa kama Tofali

Vile vile tunasoma kwenye Biblia kwamba baada ya Ma-Farao waliokuwa wanamfahamu Yusufu kufariki, walikuja kufuata Ma-Farao wengine ambao walikuwa hawamfahamu Yusufu na hivyo kuanza kuwatesa wa-Israel ili wasiongezeke kwa idadi na hivyo kuwa na nguvu ndani ya nchi ya Misri

Kwenye mkakati huo wa kuzuia idadi yao, watoto wa kiume walianza kuuawa na pia IDADI YA TOFALI KWA SIKU MOJA ILIONGEZWA KWA WAISRAEL TU
Nabii Mussa alipokuwa mtoto mchanga wa siku au miezi kadhaa, alinusurika kuuawa kwenye mpango huo ila akanusuriwa na binti Farao na kupelekwa kwenda kulelewa Ikulu
 
Biblia ni hadithi sio uhalisia.

Mambo mengine kama hayo yalikuja kuingezwa na Masoreti karne za baadae kabisa kipindi walipoamua kufanya update.

Jihadhari na kutafuta ukweli wa jambo kwenye vitabu vya imani.

Hapa muktadha nlionao sio wa kiimani.

Tena baadhi ya source za historia zinasema wayahudi hawakuhusika kabisa hapo. Timelime inakataa katakata
 
MAAJABU YA PYRAMIDS ZA MISRI

Mojawapo ya pyramid refu zaidi huko Nchini Misri (Egypt) lina urefu wa futi 481 sawa na jengo lenye ghorofa 48.Lina uzito wa tani million 14.5,limechukua eneo la mraba hekari 13 sawa na viwanja kumi vya mpira wa miguu.Inaaminika kua lilianza kujengwa mnamo 2540BC na kumalizika miaka 23 baadae.

PYRAMID kubwa zaidi MISRI (Egypt) lilitumia matofali (majabali,) 2,300,0000 (million mbili na laki tatu) na inakadiriwa kua kila tofali/jabali/jiwe lilikua na uzito wa tani 7, kwenye kilele cha pyramid hilo jiwe lililotumika kufunika juu kabisa lina uzito wa tani 50 mpaka leo wazungu wanajiuliza ni kina nani walilipandisha jiwe hilo na ilifanyika vipi jiwe la namna hiyo kupandishwa juu urefu wa futi zaidi ya 400 na binadamu jambo ambalo ni gumu kulielewa

Pande zote tatu za PYRAMID zipo sawa na unaambiwa huwezi kuona kimvuli cha pyramidi hata ukae upande gani hii inamaana kuwa hata jua likae upande gani huwezi kuona kimvuli cha pyramid , Hesabu zilizotumika kujenga pyramid hilo ni pasua kichwa Hadi Sasa.
zitto junior pitia hapa.....

Inawezekana hao jamaa walikuwa majitu (Giants) kweli kweli...maana kujenga hivyo kwa teknolojia ya wakati ule sio mchezo.
 
Biblia ni hadithi sio uhalisia.

Mambo mengine kama hayo yalikuja kuingezwa na Masoreti karne za baadae kabisa kipindi walipoamua kufanya update.

Jihadhari na kutafuta ukweli wa jambo kwenye vitabu vya imani.

Hapa muktadha nlionao sio wa kiimani.

Tena baadhi ya source za historia zinasema wayahudi hawakuhusika kabisa hapo. Timelime inakataa katakata
Haya yote Sayansi haina majibu wewe mwanasayansi wetu majibu yako haya umeyatoa wapi?
Timeline ya wana wa Israel tangia wawepo Misri hadi kuondoka kwao unaijua?
 
Ni watu kutoka sayari ya Nibiru, na ndo syari iliyo na tabia sawa na dunia, ndo sayari yenye nguvu kuliko zote. Na hawa watu ndo waliowaumba binadamu na hii sayari huwa inapita karibu na dunia kila baada ya miaka arround 2000 na ikipita huwa inaharibu kila kitu na maisha hianza upya na sasa miaka 2000 imekaribia and nafikiri ndo maana wanasayansi wanahaha kwenda mars ili ikip8ta wafe waliopo then wao watarudi. Tukio la mwisho lilikuwa la garika ya nuhu

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
aisee...jeiefu raha sana
 
But gharika la nuhu hadi sasa ni zaidi ya miaka elfu 5!! How?
 
Haya yote Sayansi haina majibu wewe mwanasayansi wetu majibu yako haya umeyatoa wapi?
Timeline ya wana wa Israel tangia wawepo Misri hadi kuondoka kwao unaijua?
Ndiyo ninaifahamu ndo maana nnaongea hapa.

Unadhani kuwa mimi ni mtu wa hearsey kama wewe!?
 
Back
Top Bottom